Umewahi pitia maisha magumu kushinda ya Mchungaji Moses Magembe ukiwa mtoto tuelezee

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
Kuna watu wanapitia maisha magumu mno wakiwa watoto wadogo kisa hiki cha Mchungaji Moses Magembe wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Majumba sita, Ukonga, Dar es salaam kitakuliza machozi .Je kuna aliyepitia maisha magumu kumshinda huyu? tupe kisa chako

Msikilize mwenyewe akijieleza historia ya maisha yake ya utotoni

 
Sina hakika kama huyo amepitia maisha magumu kuliko wengine ila nakumbuka mimi baada ya kumaliza shule ya msingi sikuwa na mtu wa kuniendeleza kielemu miaka hiyo nikaingia mashimoni kugonga kokoto huku nalala kwenye machimbo nikiwa na umri wa miaka 14 natafuta hela ya ada kujisomesha ila baada ya kupata ada nikaona nifungue genge la nyanya nikaanza na mtaji wa elfu 20 ebu fikiria nikiwa kwenye umri huo natoka maeneo ya kipunguni b kule nakuja kupanda gari mombasa hapo lerini unakutana na maiti ya mtu kachomwa kisu huku mwanamke kabakwa mida ya saa tisa na katika hiyo biashala nilikuwa najinyima kula nakula mlo mmoja tu mpk nilipofanikiwa maisha ila yote kwa yote kila mtu ana siri yake na usije ukasema mtu ni mtakatifu machoni pako ila nyuma ya pazia kuna mengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom