mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Tabora: Baba adaiwa kuchinja mtoto mchanga akidai si wake

    Bunzali Jidola (30), mkazi wa Kijiji cha Imalanguzu, Igunga mkoani Tabora, anadaiwa kumchinja na kumuua mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili kwa kutumia kitu chenye ncha kali, kumjeruhi mke wake, na kisha kujinyonga. Kamanda wa Polisi, Richard Abwao ameeleza kuwa mwanaume huyo alimtuhumu mke...
  2. O

    Kenya Tuko Serious? Mtoto Anashare Choo na 99 Wengine Hadi NGO Iingilie

    Jamani hii nchi kuna kitu haiko sawa… Shining Hope for Communities wameingia ground kusaidia over 100,000 learners Nairobi informal settlements. Wanajenga ICT labs + toilets kwa shule kama Salama Primary School na Huruma Primary School. Lakini sasa sikia hii ➡️ Mtoto mmoja alikuwa anashare choo...
  3. MamaSamia2025

    Mtoto sio baraka, ni wajibu wa maisha yako yote

    Kabla ya kuwa na mtoto hakikisha una mikakati na mipango thabiti kifedha kuweza kumhudumia mtoto. Kumbuka mtoto toka anazaliwa unawajibika kwake maishani mwake. Hata ukitangulia kufa atakutumia kama mzimu wake umsaidie. Kumleta mtoto duniani na kushindwa kumhudumia ni kinyume na haki za...
  4. Roving Journalist

    Serikali inaboresha miundombinu ili Mtoto wa Kitanzania apate haki yake ya msingi ya elimu bora - Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inaendelea kusimamia uboreshwaji wa miundombinu ya elimu nchini, ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata haki yake ya msingi ya elimu bora katika mazingira...
  5. K

    Hivi ni sahihi mtoto wa kike kumfumania Mzee wake tena kwa yowee kuita watu washuhudie?

    Kuna tukio nimekutana nalo maeneo fulani eti binti kamfumania Baba yake tena anapiga mayowee watu wajae washuhudie akijua anamkomesha baba yake kumtia aibu kingine eti anapambania ndoa ya Mama yake. Nikajiuliza vipi kimaadili hili jambo limekaa sawa kweli? au tuishi kiutandawazi kuitikia mapokeo?
  6. Q

    Wamemuasili mtoto wangu bila kunishirikisha

    Mwanamke aitwaye Juliana Gregory Temu (31) Mkazi wa Mabwepande Jijini Dar es saalam amemuomba Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima, Wadau wa kutetea haki za Binadamu na Wasamaria wote kumsaidia ili ampate Mtoto wake Purity Anthony Njau ambaye...
  7. J

    Je, ni kweli kwamba mtoto wa mkulima asiye na connection hawezi pata kazi kwenye taasisi nyeti/ zenye mishahara minono hapa Tanzania?

    Habarini wana jukwaa,.najua mnaendelea vizuri makundi yote sasahivi mmeshiba pamoja na wale wanaoamini mizimu. Kila mtu huwa na ndoto ya kufanya kazi zenye malipo manono kama B.O.T, TPA, mkuu wa idara safi,n.k kwenye umri mdogo. Nlikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye wazazi wake ni watu wenye...
  8. Dr leader

    Tangazo la kupotea kwa Mtoto wa kike

    ⚠️ TAARIFA YA MTOTO ALIYEPOTEA ⚠️ Tunaomba msaada wa wananchi wote. Mtoto anayeitwa EDITHA ERICK ameripotiwa kupotea tangu juzi saa 1 usiku na mpaka sasa bado hajapatikana. 📍 Maeneo aliyopotelea: Wilaya ya Hai, Kata ya Bomang'ombe. Kwa yeyote atakayemuona au kuwa na taarifa zozote zinazoweza...
  9. K

    Mtoto wa masikini usiingie mkenge huu wa kwenda Urusi kuipambania

    Huu ni mtego, baki nyumbani pambania haki yako, usiende Urusi kupambania haki ya Warusi Ukrain, usidhubutu. Utapelekwa frontline ukafe. Kwenye hiyo video hapo juu, huyo jamaa anatuambia eti meseji ya mshahara imeingia! Kulikua na umuhimu kutuambia suala hilo?! Eti hakuna shida yoyote, uende...
  10. Mohamed Said

    Wayahudi Hawakuogopa Kumuua Yesu Kristo Mtoto wa Mungu Wataogopa Kumuua Khamenei?

    https://youtu.be/II2yPs0OKOs?si=-69y8t4mAwPS6JVN
  11. T

    Kitabu cha Art of Seduction kimenipotezea mtoto mkali

    Me nilijua kwa kutokuwa predictable mfano siku ya Valentine sikumtumia hata text, ku keep distance kisha unarudi na vibe, kum treat kama victim. Basi ningemsogeza karibu zaidi. Lakini nasikitika kuwaambia kuwa kwasasa anani avoid sana , text hajibu yaani ile connection imepotea, ndege...
  12. M

    Msaada wa dharura mtoto 2yr anajoto kali sana mwili mzima amechemka sana

    Msaada bint yangu ana umri wa miaka2 usiku huu mda huu kapata joto kali sana mwili mzima kachemka haswaa .hapa nimefanya kumpa panadol nakumpaka vitunguu swaumu mwili mzima Msaada wenu wakuu wa tiba ya dharura kushusha joto uku tukisubiria kukuche kumuwahisha hospital
  13. Alloyce PR

    Mtengeneze kijana akiwa mtoto

    I
  14. M

    Ni ipi kozi nzuri kwa mtoto wakike itakayomwezesha kujiajiri na kuajiriwa serikalini

    Kuna Binti amemaliza form four 2025 lakini matokeo yake ni division four Sasa anataka kujiunga na VETA lakini hajui ni kozi gani yakwenda kusoma Ndg wadau naomba msaada wamawazo
  15. Roving Journalist

    Machumu: Rais Samia ameteuliwa kuwa kinara wa Umoja wa Afrika katika masuala ya Afya ya Uzazi Mama na Mtoto

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu amezungumza na Vyombo vya Habari kuhusu Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 16, 2026. Machumu amesema sehemu ya mafanikio ni Rais Samia kuteuliwa kuwa...
  16. W

    KWELI Mtoto mchanga anaweza kuzaliwa na ugonjwa wa Malaria

    Wakuu nimeona hii huko X Je, inawezekana mtoto akazaliwa na Malaria?
  17. Traxtion

    Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29

    Mtoto wa miaka 13, Angel Wariael Noel, ambaye alipata madhara kutokana na tukio la Oktoba 29, kwa kupigwa risasi ya bega iliyomuathiri uti wa mgongo na kumsababishia ulemavu wa miguu. Familia yake inawaomba wadau na watu watakaoguswa kuchangia ili kumsaidia kumudu gharama za matibabu na...
  18. L

    Rais Samia Ateuliwa Kuwa Bingwa Wa Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, huwezi kumshusha aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu,Huwezi Kumpaka matope na kumchafua aliyepewa kibali na Mungu . Rais Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu,ni Mpango wa Mungu. Alizaliwa kwa makusudi maalumu katika Ardhi hii.. ni Rais...
  19. Waufukweni

    TCRA: Wazazi msiwanyang'anye Watoto simu, fuatilieni wanachofanya, ulinzi wa mtoto mtandaoni ni mazungumzo

    Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kadaya Baluhye, amesema kuwa kuwaandaa watoto kukabiliana na ulimwengu wa kidijitali ni njia bora ya kuwalinda kwa pamoja kama kundi na kama jamii. Ameeleza kuwa badala ya kuwazuia watoto kutumia vifaa vya...
  20. M

    Kwa kizazi cha sasa ni kitu gani cha kumwambia mtoto wako ukisikia kala kipigo cha kionezi ?

    Hapo zamani sheria ilikuwa moja tu, ukipigwa rudishia, usipomweza mfanyie hata ambush. Siku hizi utawashauri kitu gani hawa kina junior ?
Back
Top Bottom