mto

Mto wa Mbu is an administrative ward in the Monduli district of the Arusha Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward had a total population of 11,405. The name Mto wa Mbu means " Mosquitoes' River ". Mto wa Mbu has an area of 3,600 square kilometres (1,400 sq mi) of which 1,800 square kilometres (690 sq mi) is for cultivation.
Mto wa Mbu is estimated to be in the midway between the neighbouring Karatu and Makuyuni towns. It is one of the towns in the rift valley in the northern part of Tanzania. It close to lake Manyara and Manyara national park. The town of Mto wa Mbu features lodges, rest houses and camp sites for tourists who visit Lake Manyara and Manyara national park.
Banana is the common and largest agricultural product in the town and the surrounding area.
Mto wa Mbu is can be reached by driving from Arusha. It is approximately 112 km from Arusha city and the road is well repaired with tarmac. Tourists vehicles from Arusha, Nairobi, Moshi and Babati always passes through this town on the way to Ngorongoro crater and Serengeti national park.

View More On Wikipedia.org
  1. Bwawa la Julius Nyerere mto Rufiji: The Silver Lining!

    Watanzania huwa tunatazama mabaya tu ya kila jambo, hatutazami upande unaoweza kutunufaisha kiuchumi. Bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere, mto Rufuji inabidi litufumbue macho. Its time to think big. Kuna miradi kadhaa inaweza kuibuliwa. 1. A Major Waterway kusafirisha mazao na binadamu...
  2. Katavi: DC Mpanda aagiza mwekezaji kurudisha mto

    Wananchi wa Kijiji cha Mtisi kilichopo Kata ya Sitalike, Halmashauri ya Ndimbo Mkoani Katavi wamedai kukerwa na mwekezaji aliyewekeza katika machimbo yaliyo katika kijiji hicho ambapo mwekezaji huyo amehamisha mto ili shughuli yake iende kadri anavyotaka. Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf...
  3. Mto nile umepita Tanzania?

    Je, ni kweli mto Nile umepita Tanzania. Na kama ni kweli umepita mkoa upi Tanzania kama hamtajali mnaweza kunitajia chanzo cha mto nile ni wapi na nchi ambazo mto Nile umepita
  4. K

    Mradi wa umeme utakaojengwa mto Malagarasi mkoa wa Kigoma

    Juzi niliona uwekaji sahihi kuhusu Mradi wa umeme utakaojengwa Mto Malagarasi mkoani Kigoma. Nilijiuliza, kama tutakuwa na Mradi mkubwa Julius Nyerere Hydro Electric Power ambayo itatosheleza nchi nzima na kuuza ziada, Je ni kwa nini tunapoteza fedha tena kujenga mradi wa umeme kule Malagarasi?.
  5. Serikali yasema Wananchi 2,102 wanaanza kulipwa fidia ya kuhamishwa Bonde la Mto Msimbazi

    Mratibu wa Miradi ya Ushirikiano kati ya Benki ya Dunia na TARURA, Eng. Humphrey Kanyenye amezungumzia kinachoendelea kuhusu mchakato wa mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Mto Msimbazi Jijini Dar es Salaam. Anasema “Tulianza zoezi la maandalizi ya Mradi huo muda kidogo na ili mchakato ukamilike...
  6. TAMISEMI mbona mnachelewa kufidia watu wa bonde la mto Msimbazi?

    Kwenu tamisemi. Serekali imeshaweka nia na kutenga fungu mahususi kwa ajili ya fidia ya wakaazi wa bonde la mto msimbazi. Ni wazi kwamba wakaazi wengi wasiokuwa na hati (squatters) wamefidiwa flat rate shs mil 4. Pamoja na fidia ya majengo. Pale kwenye bonde kuna hati nane(8)ambazo serekali...
  7. Serikali ibadili mchoro wa Daraja la Jangwani mto msimbazi

    Nimeona Waziri wa TAMISEMI anasema kero ya mto msimbazi itatuliwa kwa miaka 100 ijayo! Ila iko hivi; Eneo la Jangwani ni muhimu sana kwa muonekano wa Jiji la Dar Es Salaam, Pamoja na serikali ya Rais Samia kukosa maamzi, ni serikali isiyofanya maamzi kwa muda na yenye watendaji wavivu sana...
  8. Samahani kwa Kuuliza hivi Daraja Jipya la Mto Wami limeshazinduliwa? Na kama bado ni Kwanini?

    Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu, ila popote pale ulipo Hayati John Pombe Magufuli Roho yako ilale mahala pema peponi. Amen.
  9. Mto Mwame wafunga barabara

    Mto MWAME unaopatikana wilaya ya misungwi ukiunganisha kata ya misasi na mwanangwa umejaa maji kwa takribani wiki moja sasa na kupelekea mabasi madogo ya abiri (mini bus) na magari mengine yanayotoka salawe Shinyanga na maeneo mengine kushindwa kupita kwenda Mwanza vinginevyo wanalazimika...
  10. Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  11. Kuna askari wa Ukraine walivuka mto Dnipro waliko warusi halafu wakacheka kwa upumbavu wao

    Kikosi kidogo cha askari wa Ukraine hivi karibuni kilifanikiwa kuvuka mto Dnipro oblast ya Kherson kutoka upande wa Magharibi na kuingia Mashariki ambako ndiko ziliko ngome za jeshi la Urusi tangu walipoamua kuachia eneo hilo la mashariki ambalo halina umuhimu kwao kiulinzi. Kikosi hicho...
  12. Ni vizuri Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi na Daraja la Jangwani tungewapa Waholanzi Watujengee

    Nimefurahishwa sana kusikia Waholanzi ndo waliotoa fedha za ujenzi wa Daraja la Jangwani. Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua na kujifungwa yenyewe. Sio hivyo tu wale jamaa nadhani ndo namba moja duniani kwa uwezo wa kujenga...
  13. Simulizi ya Palestina Huru kutoka Mto hadi Bahari

    Mnamo Desemba 1973, rais wa Misri Sadat alitambua kwamba Waarabu hawawezi kamwe kuishinda Israeli kijeshi (baada ya mafanikio yao katika vita vya 1973 ambavyo kugeuka). Saudi Arabia pia ilielewa kuwa haiwezi kugeuza mkono wa Magharibi kiuchumi kupitia kususia mafuta, ambayo ilimalizika Machi...
  14. Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

    Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Serikali itaanza kuwalipa wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi Tsh. Mil 4 kila mmoja kama sehemu ya fidia ili wahame eneo hilo. Malipo haya yataanza kufanyika kuanzia Novemba 16, 2023. === Hisia mchanganyiko za wakazi wa bonde la Mto Msimbazi...
  15. Wananchi washindwa kupita kwenye Mto Kinyerezi kwa siku tatu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaagiza TARURA kuhakikisha wanajenga daraja kwa haraka eneo la Tabata kinyerezi ili wananchi wapate mahali pa kupita na kuepusha maafa kwa wananchi ambao wamekuwa wakikatiza huku maji mengi yakiwa yanapita. Chalamila ametoa maagizo hayo kwa...
  16. Maji Dar ni Shida isiyomithilika wakati Mto Ruvu umejaa!

    Wana jukwaa Kama kichwa cha mada kinavyojitanabahisha hapo juu, wananchi Dar wanahangaika kupata maji mapaka wanathubutu kuchimba visima vya kienyeji katikati ya vijito vilivyojaa uchafu na vinyesi huku DAWASA hawajali chochote wakati mto Ruvu una maji ya kutosha kusambaza. Dar inategemewa...
  17. Uchimbaji wa michanga mto msimbazi

    Leo nilipokea wito wa kuitwa kituo kikuu cha polisi cha stakishari , Nikapita njia ya Segerea senior Seminary, wakati navuka mto msimbazi nikakuta maroli zaidi ya 7 yanajaza mchanga toka mtoni hapo. Nikaangalia kwa masikitiko sana , huu uharibifu wa mazingira unaweza kuzua shida kubwa mbeleni...
  18. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya yafanya operesheni kanda maalum ya Tarime Rorya

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga Taifa, Askari mgambo pamoja na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum mkoani Mara hususani katika kanda maalum ya Tarime Rorya kwenye bonde la mto Mara. Operesheni hii...
  19. Mkandarasi anayetakiwa Kujenga Daraja la Mto Mpiji linalounganisha Mbweni na Mapinga anachelewa nini kuanza Ujenzi?

    Kama kuna Wahusika wa Ujenzi wa Daraja hilo hapa JamiiForums nitashukuru nikipata Mrejesho wao kwani GENTAMYCINE nitapenda hata nyakati za Mvua Kubwa na Mafuriko niendelee kuwa Huru Kuvuka hilo Daraja na Kuwatembelea Makomandoo ( Wanamedani Waliotukuka ) walioko Jirani na Daraja hilo na Kukutana...
  20. Rais Samia nikodie 'Chopper' ikakite Kambi Anga la Pwani ( Chalinze na Bagamoyo ) ili nikague Maji ya Mto 'yaliyochepushwa' kwenda Mashambani

    Halafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa? Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…