Uchimbaji wa michanga mto msimbazi

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,923
1,325
Leo nilipokea wito wa kuitwa kituo kikuu cha polisi cha stakishari , Nikapita njia ya Segerea senior Seminary, wakati navuka mto msimbazi nikakuta maroli zaidi ya 7 yanajaza mchanga toka mtoni hapo.

Nikaangalia kwa masikitiko sana , huu uharibifu wa mazingira unaweza kuzua shida kubwa mbeleni .

Serikali ya Wilaya Ilala lazima isimamishe hii kinachoendelea kabla hatujayavuna mabua .
 
Acha wachimbe.mvua ikija inakuja na mchanga wake.kumbuka daraja la jangwani lilikuwa lipo juu.ila kuna kipindi walikataza kuchimba mchanga.
Mchanga ukaanza kujazana na kusababisha mafuriko.
 
Shida segerea ni high altitude , so speed ya maji ni kubwa tofautI na Jangwani, ukifanya river bank kuwa tifutifu unaruhusu mmomonyoko kirahisi
 
Leo nilipokea wito wa kuitwa kituo kikuu cha polisi cha stakishari , Nikapita njia ya Segerea senior Seminary, wakati navuka mto msimbazi nikakuta maroli zaidi ya 7 yanajaza mchanga toka mtoni hapo.

Nikaangalia kwa masikitiko sana , huu uharibifu wa mazingira unaweza kuzua shida kubwa mbeleni .

Serikali ya Wilaya Ilala lazima isimamishe hii kinachoendelea kabla hatujayavuna mabua .
Huo mchanga unapelekwa Zanzibar.
 
achen mambo ya kiwaki::=msichafue mtaa wa stakishari, hamuoni social hall na, pale kwa mzungu swimming pool kuogelea.
Stakishari, Ukonga ni pazuri watu wake wametulia...makamanda wanafanya sehemu ya wajibu wao kuhakikisha mambo yanazidi kuwa shwari
 
Leo nilipokea wito wa kuitwa kituo kikuu cha polisi cha stakishari , Nikapita njia ya Segerea senior Seminary, wakati navuka mto msimbazi nikakuta maroli zaidi ya 7 yanajaza mchanga toka mtoni hapo.

Nikaangalia kwa masikitiko sana , huu uharibifu wa mazingira unaweza kuzua shida kubwa mbeleni .

Serikali ya Wilaya Ilala lazima isimamishe hii kinachoendelea kabla hatujayavuna mabua .
kamanda nguvumali:: ukiona ngumu kumeza peleka lori lako na, ww ukalijaze mchanga::=lipate site mazima hapo mto msimbazi

Mkate wa kila siku shida kwelikweli kuupata, kumeza napo ngumu
 
Back
Top Bottom