Samahani kwa Kuuliza hivi Daraja Jipya la Mto Wami limeshazinduliwa? Na kama bado ni Kwanini?

Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu, ila popote pale ulipo Hayati John Pombe Magufuli Roho yako ilale mahala pema peponi. Amen.
Tunapenda sana kila kitu sijui kuzindua sijui nini, je watu kwa sasa wanapita wapi ? Siyo kila kitu tuzoee kuzinduliwa wananchi tunataka kuona maendeleo na matatizo yetu yameisha au kutatuliwa hivo kama tayari linatumika ni vizuri maana limesaidia punguza ajali.
 
Tunajua hamjataka Kulizindua kwa Mikogo kwakuwa mnajua Sifa nyingi zitaenda kwa Hayati JPM na Wengine hawatakuwa na cha Kuwabeba kwani mpaka sasa hakuna Walichofanya zaidi ya Kuigiza Filamu tu kama hii mpya ijayo ya Kijiji cha Milele.

Hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom