mtihani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliye re seat hutumia namba gani ya mtihani wa kidato cha nne kuomba mkopo

    Mwanafunzi aliyelisti hutumia namba gani ya mtihani wa kidato cha nne kuomba mkopo
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Mtihani wa darasa la saba kisiwe kipimo cha mwisho cha uwezo wa akili kwenye elimu

    Ninachukua wasaa huu kuzungumza na nyinyi ndugu zangu kupitia andiko hili, suala la kupima uelewa wa mtu katika elimu isiwe kwa mitihani hasa kwa elimu ya msingi ambayo Watoto bado wanakuwa na umri mdogo. Kwa hiyo wengi wao wanakuwa hawajatambua ni njia gani watumie katika kusoma ili kufanya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wazo duni? Rais Samia atayaweza mengine, Muungano mtihani kwake

    Nimebahatika kufuatilia na kushiriki mikutano na mijadala maeneo mbalimbali kuhusu Muungano wa Tanzania hii. Mitazamo ya baadhi ya watu inaashiria muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar unaendelea kuwa moja ya mambo yenye udonda sugu. Kila inapotokeza fursa ama tukio la kuujadili muungano, mambo...
  4. JamiiForums Tanzania Kulipa deni ni mtihani

    Wanajamvi kama unataka kufanya jambo lako na hela inapungua bora usubiri tu upate hela umalizie jambo lako maana sio poa. Nilikuwa nataka kununua kitu last month hela ikapungua kama laki mbili hivi, basi nikamcheki mshikaji wangu aniongezee then tarehe 21 ntamrefund nikitegemea mshahara kuingia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kongole Yanga kwa kuushinda mtihani wa kwanza point 6 ngumu

    Napenda niwapongeze benchi la ufundi na wachezaji wa yanga kwa kuondoka ugenini na point 6 muhimu, akuna asiyejua namna ratiba yanga ilivyopangwa msimu huu, kamaliza mechi ngumu ya dabi jumamosi ikambidi asafiri km nyingi kwenda arusha jumatatu na kucheza jumanne kwenye mechi ngumu dhidi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Afisa Elimu mkoa wa Tabora usitumie mtihani ya (dhihaki) Mock kulamba asali!

    Mkuu Pole KWA majukumu Nimepata malalamiko kutoka KWA wakuu wa shule za secondari hapo mkoani Tabora kwamba maandalizi ya mitihani ya mock kidato cha nne na cha pili hayakuridhisha! Kuna kasoro nyingi kama hizi;- 1.Mitihani ilichapiwa kule Mwanza matokeo yake ikachelewa kufika mashuleni KWA...
  7. JamiiForums Tanzania Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

    Kenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na chaki na kuanza kuandika na watoto kuandika au kukariri. Huu mfumo wao mpya unafuta pia mitihani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Posho za wasimamizi wa mtihani wa Kidato cha nne hutofautiana kulingana na idadi ya siku walizosimamia

    Baadhi ya Halmashauri zimedaiwa 'kuwapiga' cha juu wasimamizi wa mitihani ya kidato cha nne inayoendelea hivi sasa. Kwa utafiti wangu usio rasmi wa kuwapigia watumishi wa Halmashauri tofauti tofauti, nimegundua kwamba kuna Halmashauri zingine zimewalipa wasimamizi siku 19, zingine zikalipa siku...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya Kidato cha Sita naombeni ushauri wenu

    Mm nimemaliza kidato Cha 6 mwaka 2022 kiuhalisia nimepataje matokeo mabaya yaan Division 3 ya 14 Combination EGM Economics D Geography E Mathematics E Ila na ndoto za kusoma Degree ya accounting ila kulinga na TCU siwez kusoma tena Naombeni ushauri wenu nirudie mtihani, niende diploma au...
  10. JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2022

    Watahiniwa 93,136 (98.97%) wamefaulu Mitihani yao, ikielezwa Wasichana ni 40,907 na Wavulana ni 52,229. Aidha, Baraza la Mitihani (NECTA) limesema jumla ya Watahiniwa 83,877 (99.24%) wamefaulu katika Daraja 1 hadi 3 Ufaulu katika Masomo ya Historia, Kiingereza, Kifaransa, Kiarabu, Physics...
  11. JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya Tanzania sasa ni mtihani

    Kilimo cha nyanya nchi Tanzania kimekuwa kigumu kutokamna na mambo mengi: uhaba wa mbolea ukiwa kinara. Katika msimu uliopita mfuko wa mbolea kg50 uligharimu takribani USD 20, kwa sasa mfuko mmoja unagjarimu zaidi ya laki moja. Je, mkulima atapata faida?. Wakati Bwana Lossim Lazzaro...
  12. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Elimu ilivyokuwa ngumu na kupata Zero mara tatu katika mtihani wa Kidato cha Nne

    Safari yangu ya Elimu ya Secondary niliianza Mwaka 2011 katika Shule moja Maarufu pale Bukoba Mjini ikiitwa Lake View hakika Maisha ya pale yalikuwa mazuri tulisoma na wahindi huku shule hipo beach yaani kila kitu nilikuwa Safi, hasa ukizingatia nilisoma shule za kawaida katika Elimu ya msingi...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Busara za Myles Munroe na mtihani wa wanasiasa wa Kitanzania haswa Marais wetu

    Nimeitazama video moja ya hayati mchungaji Myles Munroe akiwaongelea wanasiasa wa dunia hii. Nikatamani hawa wa kwetu waisikilize ili waondoke na chochote kitu kitakachowasaidia katika wito wao wa siasa. Ni video yenye kutafakarisha kwa kina juu ya maisha mazima ya mwanasiasa. Anasema kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Steven Gerrad na mtihani wa kumsaidia klop kuboresha CV yake

    Mechi za mwisho za epl ,man City yupo na Aston vila ya Steven Gerrad. Kama tujuavyo Gerrad ni legend wa Liverpool mwenye kiapo Cha damu hivyo atataka kiisaidia timu yake japo hata kwa kupata droo tu . Jee unaiona Nguvu ya Gerrad na Coutinho kuisaidia Liverpool?
  15. F

    JamiiForums Tanzania Baada ya uamuzi wa jana CHADEMA na Halima wana mtihani mkubwa

    Hii sakata ya Halima na wenzake inatoa fursa kwa Chadema kujisahihisha. Kuna uwezekano mkubwa kuwa Halima aliamua kufanya alichofanya baada ya kuhisi kuwa kuna orodha mbadala ilitayarishwa tofauti na ile ambayo yeye na wenzake waliona kuwa ni ya haki. Wasiwasi huo usingekuwa bure kwa sababu...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mtihani wa kuwapata wagombea-wenza sahihi wa kiti cha urais Kenya

    Mtihani mkubwa ulioko mbele ya Wagombea wa kiti cha Urais #Kenya (Odinga na Ruto) ni chaguo la Mgombea-mwenza. Chaguo lao wote wawili huenda likabadilisha mchakato mzima wa siasa na kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu Agosti 9. Ni suala la kusubiri tu.
  17. JamiiForums Tanzania Je, unaujua mtihani wa Mwisho wa Uvumilivu? Ni huu hapa...

    Kumfumania Mke/ Mme wako live alivunja amri ya 6 na ukaamua ku cool inaaminika ni ushindi kwenye mtihani wa mwisho wa uvumilivu. Ukiweza kuushinda huu mtihani basi hakuna uvumilivu utakushinda tena hapa Duniani. Kwenye fumanizi ile moment huwa inaambatana na mambo mengi sana, kiwango cha juu...
  18. JamiiForums Tanzania Uhakiki: Nimehitimu darasa la saba 1992 Nitapaje namba yangu ya mtihani?

    Kuna fomu za uhakiki wa watumishi zikidai kuwekwa namba ya mtihani wa darasa la saba, Enzi hizo 1. Hakukuwa na Google 2. Tulikuwa tukiambiwa tu kwamba umefeli au umefaulu haupewi matokeo yako kamili Nauliza wanajamvi mtusaidie je nakala ya matokeo yanaweza kuwa wapi?
  19. JamiiForums Tanzania Kuwa na namba ya simu iliyozoeleka ni mtihani kwa maisha haya

    Teknolojia ni nzuri na kwa mawasiliano haya ya simu, yamesaidia sana watu kuwa kama kijiji kimoja au familia moja. Ila swala la simu ila kimtazamo naona ni sawa na kufunga pingu pale unapo kuwa na namba ambayo umekaa nayo mda mrefu kwenye maisha yako. Namba hiyo unakuta ndio unatumia kipindi...
  20. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo

    Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo ya Utarajali Tamko hili Limekuja baada ya Wanafunzi kulalamika kupitia JamiiForums kwamba utaratibu wa kusubiri miezi nane ndipo warudiE mitihani inawauimiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…