Nimeitwa kweny usaili DUCE ila sijapewa namba ya mtihani.

makalango

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
448
252
Samahani nimeitwa kwenye usaili ambao utafanyika tarehe 14/09/2022 chuo cha DUCE, Kwenye tangazo la walioitwa kwenye usaili nipo kwenye nafasi nne nilizoomba ila mpaka muda huu kwenye akaunti yangu ya ajira portal sijaandikiwa namba ya mtihani nimejaribu kuwapigia lakini simu zao hazipokelewi kabisa. Naombeni msaada .
 
Ikishindikana/wasipoiweka, siku ya usahili nenda watakutatulia huko huko
 
Samahani nimeitwa kwenye usaili ambao utafanyika tarehe 14/09/2022 chuo cha DUCE, Kwenye tangazo la walioitwa kwenye usaili nipo kwenye nafasi nne nilizoomba ila mpaka muda huu kwenye akaunti yangu ya ajira portal sijaandikiwa namba ya mtihani nimejaribu kuwapigia lakini simu zao hazipokelewi kabisa. Naombeni msaada .
Nenda huwa wana list yenye majina na namba
 
Back
Top Bottom