mtazamo

  1. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko 7 ya Mtazamo Yanayoweza Kubadilisha Maisha Yako

    Mafanikio yako yanategemea sana mtazamo wako. Wazo hili nililipata katika uzoefu wa Richard Yu. Alikimbia China ya Kikomunisti, akaanza maisha upya Marekani (yeye na wazazi wake), na baadaye akajenga biashara kadhaa zenye mafanikio—ikiwemo online school (shule ya kidigitali). Safari yake...
  2. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Wasabato badilisheni Mtazamo

    Wasabato kazi yao nikusubiri RC ieneze injili wao waje nyuma nyumba kuipondea RC ili wavune kwenye kapu la RC,wasabato ni wana ujinga na upumbafu mwingi sana,wao ukatoliki ndio adui yao kuliko hata shetani. Mpinga kristo ni yule asiyemtangaza kristo,unamwitaje RC mpinga kristo wakati ndio...
  3. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Eneo la Siri la Serikali (ESS) pokea mtazamo wa Kalooism kuhusu madaraja ya hapa kazi tu

    Ndg wanajamvi,Habari za majukumu,Wapo poleni na wapo hongereni,mimi mwenzenu bado ni mzima wa Afya. Kama ilivyo kawaida kwa watu wa asili moja,nchi moja bara moja lazima na ni bora tuwe na mtazamo wa dunia moja katika ulimwengu tuishio,Hapa Nina mtazamo wa kalooism kuhusu namna fulani inayoweza...
  4. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Pili: Si Kila Mvutaji Bangi Ni Mhalifu – Tujifunze Kutojiharakisha Kuhukumu

    Katika dunia ya leo yenye kasi na mitazamo ya haraka, mara nyingi tumekuwa wepesi wa kutoa hukumu dhidi ya watu kwa misingi ya taswira au taarifa za juu juu. Mojawapo ya maeneo haya ni matumizi ya bangi. Ni kweli bangi imeorodheshwa kama kitu haramu katika sheria nyingi, lakini je, hiyo inatosha...
  5. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtazamo Wangu Kuhusu No Reform No Election

    Ni mara chache sana huwa naandika kuhusu Siasa,na niweke wazi huu ni mtazamo wangu kama ambavyo nawe unaweza kuwa na mtazamo wako Binafsi naona hii movement ingesubiri kwanza kwasababu moja kubwa,ni hivi majuzi tu Mheshimiwa Tundu Lissu ndio amechukua madaraka ya Uenyekiti wa Chama cha...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Utawala wa Sasa watu wengi hawana amani pesa ipo kwa wachache na mfumuko wa bei uko juu

    Sina mengi ya kusema ila kiukweli Utawala huu watu hawana furaha hawana amani, maisha magumu pesa na maisha mazuri viko kwa wachache na hakuna anaejali. Mfumuko wa bei uko juu, usafi kwenye mitaa na barabarani, kwenye mitaro , harufu hovyo hovyo kwenye miji mingi nchi haina Serikali za mitaa...
  7. Daby

    JamiiForums Tanzania Inafurahisha saana kuona jamii ilivyobadilisha mtazamo kuhusu watoto wa nje. Well done.

    Sasa hivi utaratibu ni njoo na wawili nilete wawili kisha tuongeze mmoja maisha yaendelee. Weekend baba yupo kwa baby mama na mama yupo kwa baby daddy wanaita kucooparent. Role model wao ni Chibu. Well done...ili kuwa ni suala la muda. Wewe uliye pata watoto kabla ya kuoa/kuolewa watoto ni...
  8. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: G55 (Mpox) wana hoja dhaifu, mtazamo usioeleweka na mikakati ya duni dhidi ya CHADEMA

    Mwanzoni nilidhani labda ni hisia zangu lakini baada ya kuwasikiliza nikagundua nilikuwa sahihi kwa 100% kuhusu kundi la watia nia wa ubunge 55 kupitia CHADEMA maarufu kama G55 ama Mpox ambao wameamua kuja kinyume na msimamo wa Chama chao kuhusu agenda ya No reform, No election. Hapa chini ni...
  9. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Ni ngoma gani kati ya mtazamo ama Darubini kali ilimpa sifa Afande Sele ya kuitwa mfalme wa Rhymes 2004?

    Kama ni MTAZAMO sidhani kama alistahili labda Hit song ya Darubini Kali. Historia kidogo. Mwaka 2004, Mfanyabiashara Mwandishi wa Vitabu, Eric James Shigongo, alianzisha Shindano la kumtafuta Mkali wa kughani muziki wa Rap nchini. Shindano hilo aliliita "Mfalme wa Rhymes 2004". Kupitia Kampuni...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu jamaa anaedai kuibiwa vitu na hela milioni tano na alie kuwa mke wake wa ndoa.

    Huenda jamaa kamuua mke wake. Na hii story ametengeneza kama Alibi. Ushauri: Ahojiwe vizuri, anaweza akawa anajua mke wake yupo wapi. Thank me later 🙏🙏🙏🙏
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu;bado Masaki ni bora kuliko Mbweni

    Nikipita Mbweni huwa najiona mjinga sana,mahekalu yale yamejengwa nayaona kabisaaa. Nimezaliwa mjini,nimekulia mjini,shule nimekwenda kiasi chake,lakini sijui nilifeli wapi kumiliki mjengo maeneo hayo. Pamoja na hayo yote,Masaki bado ni the best. Ukitaka kujua kama chuo unachosoma ni...
  12. aise

    JamiiForums Tanzania Mtazamo walionao watu wa Dini juu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu

    Kuna mtazamo potofu wanao watu wa dini, wanaamini mtu ambaye haamini uwepo wa Mungu basi ni mtenda maovu, hana maadili n.k Mtazamo huu ni potofu. Maadili ya mtu hayaamuliwi na imani yake ya kidini, bali misingi yake ya utu, malezi na jamii inayomzunguka. Kuna sehemu tulikuwa tunafanya kazi...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunakufa: Mtazamo wa kisayansi, kidini na kifilosofia

    Kifo ni sehemu ya asili ya maisha ya binadamu, na kila mmoja wetu anajua kuwa siku moja, maisha yetu yatakwisha. Ingawa ni jambo lisiloepukika, kifo bado linabaki kuwa suala gumu na linalozungumziwa kwa aibu katika jamii nyingi. Hivyo basi, maswali kama "kwa nini tunakufa?" au "ni nini...
  14. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Hebu Msikilizeni JK Kipindi Akiwa Rais, Ni Kuhusu Ishu Ya M23 na Kagame. Na Nini Mtazamo Wetu WanaJF

  15. mtimawachi

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu CHADEMA, CCM na Watanzania

    1:Chaguzi Dodoma vs Mlimani city. Hapa naipongeza chadema kama chama,wajumbe kama watoa maamuzi na wagombea Kwa kuwa kuonyesha utayari wa kupokea matokeo yoyote ambayo wangeyapata. PONGEZI zaidi ziende Kwa wajumbe wa chadema Kwa kufanya uchaguzi uwe uchaguzi na sio kikao. HUKU DODOMA Bado tupo...
  16. G.Man

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu Watanzania na Demokrasia

    Miongoni mwa sera bora kabisa kuwahi kusimamiwa na mgombea wa uongozi hapa nchini ilikuwa ELIMU ELIMU ELIMU. Binafsi nimeona mambo yafuatayo kuelekea kumjua Mwenyekiti wa CHADEMA kwa miaka mitano ijayo. 1. Watanzania hasa vyama vya upinzani ambao wana hubiri demokrasia mdomoni: ni watu...
  17. Peter Mwaihola

    JamiiForums Tanzania Utu uzima umebadili mtazamo wangu kuhusu mafanikio

    Nikiwa chini ya miaka 20 nilikuwa nawaza sana mambo makubwa makubwa umasikini na shida niliona kama vitu vya kupita. Nilikuwa najiuliza na kushangaa sana inakuwaje mtu anaishi mpaka anafika miaka 30 hana nyumba, hajaoa hata hawazi kununua gari? Huo ni uzembe bwana nilijijibu mwenyewe. Sikuwahi...
  18. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Jamii ibadilishe mtazamo kuhusu madeni ya hospitali kwa wapendwa waliofariki

    Kumekuwa na mjadala mzito katika jamii yetu kuhusu tabia ya hospitali, iwe za umma au binafsi, kuzuia miili ya wapendwa wetu waliotutoka mpaka familia iweze kulipa madeni yaliyosalia. Wengi hulalamika wakisema kwamba mtu anapofariki, hana tena jukumu la deni, na kwa hiyo familia inapaswa...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maneno saba yatakayobadili mtazamo wako 2025

  20. farfat

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mtu halisi kando yako ni kitu ambacho hakiwezi kununuliwa

    Kuwa na mtu halisi kando yako ni kitu ambacho hakiwezi kununuliwa
Back
Top Bottom