Huwa nachukia udini japo siwezi kujitenga na uwepo wa ushabiki wa kidini nchini na humu JF. Tangu apate madaraka kwa mkono wa Mungu, rais Samia anaonekana kuwaridhisha mashehe hadi wengine kama shehe mmoja kusema kuwa ni mtu bora baada ya Yesu na Muhamad.
Akiwa mwanamke, ambaye kisheria hapaswi...
Nitoe wito au ushauri wa viongozi waliopa madarakani, serikali inayoongozwa na Rais Samia Hassan Suluhu.
Tanzania kuna kila aina ya resources ambazo zinamudu kumfanya kila MTANZANIA awe na uwezo wa kumudu MAHITAJI yake ya kila siku maishani mwake.
Tutangulize uzalendo, mtanzania mwenzako ni...
Tuachane na siasa , watoto wadogo wanahitaji kauli ya WaTanzania kwa kile alichokitamka Mheshimiwa Tundu Lisu.
Watoto wetu wanasoma mashule na wengine husikia na kusoma habari ,wanaposikia kuna mtu ameshitakiwa au kutuhumiwa kwa kosa la Uhaini ,wanahitajia jibu lako kwanza waelewe hilo kosa...
Tanzania inaonekana hatuna sera ya mambo ya nje, tupo tupo tu. Lakini hata hivyo, kauli za Bashe kwa Malawi juu ya Malawi kuzuia uingizaji wa bidhaa za kilimo sio ya kiungwana, na haiakisi -Utanzania tulio nao.
Tukio liko hivi, katika kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni na kukuza kilimo ndani...
Wana uhakika wa amani ya kutosha kimwili na kiroho, wanakua ni wenye furaha, ana matumaini na uhakika wa kesho yao na siku zijazo.
Wana uhakika wa kutimiza ndoto zao za maisha bila wasiwasi.
Tofauti na mtu akiwa vyama vingine vya siasa, anakua na wasiwasiwasi sana, anakua na hasira, mihemko...
Yupo wapi huyo?
Hivi ni wapi Africa Mashariki kwa mfano, Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi hateuliwi na Rais?
Ni nchi gani Africa michakato ya teuzi za umma kitaifa hazipitii kwa rais na mkuu wa nchi?
Hivi kwa madai ya chadema mtu huyo ateuliwe na nani sasa kwa mfano? Au ateuliwe na...
Naomba kujuzwa, kampuni gani kongwe inamilikiwa na mtanzania na ina miaka mingapi?
Nini sababu za kampuni kudumu muda mrefu?
Nini unapaswa kufanya kurefusha uhai wa kampuni yako?
Nimeona Japan kuna makampuni yana miaka zaidi ya 500. Sisi kampuni kongwe lina miaka mingapi?
Asanteni.
Wakuu,
Tunaposema kuwa Wachina ni existential threat kwa jamii yetu ya kitanzania huwa tunamaanisha
Hapa ni GUangdong Hotel, Dar Es Salaam, huyu jamaa kasimamishwa getini anakatazwa kuingia kwenye hii hoteli na mlinzi.
Akihoji kwanini anaambiwa hiyo hoteli ni "special" kwa Wachina. Ngozi...
INEC: Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na zaidi au ambaye atafikisha umri huo siku ya uchaguzi ndiye anatakiwa kujiandikisha
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetoa tangazo kuhusu watu wanaohusishwa kwenye zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limeanza kufanyika...
Wakuu,
Miaka 63 ya Uhuru na bado CCM wanazungumzia masuala ya umeme? Seriously?
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza na wakazi wa mji wa Tunduma uliopo wilayani Momba mkoani Songwe akiwa katika ziara mkoani humo, alisema kuwa katika Ilani...
Jeshi la Polisi nchini Uganda linamshikilia Mtanzania Naima Omary kufuatia kifo cha Mchezaji soka wa Kimataifa wa Nigeria Abubakar Lawal (39) aliyekuwa anaichezea Vipers SC ya Uganda.
Naima anashikiliwa kwa uchunguzi kwakuwa alikuwa Mtu wa mwisho kukutana na Lawal February 24,2025 kabla ya...
Dereva Mtanzania Juma Ally Maganga (45) anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi katika Mji wa Juba tangu Februari 14, 2025 kwa tuhuma za kugonga na kusababisha kifo cha Mtu, imeelezwa familia ya aliyefariki imetoa maelekezo ya kudai fidia ili Juma aachiwe.
JamiiForums imewasiliana na Mmiliki wa...
Leo tarehe 23/02/2025 huko nchini Korea Kusini bendera ya taifa imepeperushwa vyema na kijana Mtanzania Gabriel Geay kwa kuvunja rekodi ya mbio za Daegu Marathon (course record) kwa kutumia muda wa masaa 2:05:20 na kuibuka wa kwanza. Ikumbukwe Geay ndo anashikilia rekodi ya taifa ya marathon kwa...
Mtanzania ateuliwa kuwa Mkuu wa Shirika la Ujasusi la FBI nchini Marekani. Hii ni hatua ya uundaji wa serikali wa utawala mpya wa Rais Trump.
Kash Patel amezaliwa Marekani lakini Baba yake ni Mganda na Mama yake ni Mtanzania walioamua kuhamia Marekani ambako huko ndiko Kash Patel alikozaliwa...
Kuna Mtanzania mwenzetu anaitwa Juma Ally Maganga ambaye ni dereva wa magari makubwa, inadaiwa anashikiliwa na Watu ambao wanadai wao ni Askari Polisi Nchini Sudan Kusini, sababu ya kumshika ni kwamba wanamtuhumua amemgonga mtu na kusababisha kifo wakati alipokuwa katika safari zake akipita...
Mwezi uliopita nilienda kutafuta pasi dukani, pasi yangu pendwa ni PHILLIPS, nilipoambiwa bei ni elfu 45 nikawa na imani kitu nachonunua ni original kumbe nimuziwa chambi, nashukuru alieniuzia ni mwelewa alinitafutia nyingine duka lingine
Nafika nyumbani nikalinganisha pasi yangu ya zamani na...
Wakuu mimi ni mwalimu natamani nikafundishe kati ya Nchi tajwa hapo juu tafadhali mwenye miongozo anipatie hapa jukwaani mimi na wanajukwaa wenye shida kama yangu tutashukuru sana
Ahsanteni
Kwenye haya maisha hakuna namna kazi zako zote wewe mwenyewe kuzifanya ,soo unahitaji wasaidizi, nimesoma trend ya wafanyakazi wangu aisee kama hakuibii lazima awe ni mvivu, nimeajri sasa nimechoka nimeanza kuajiri watu wasio watanzania ndio at least naona mambo yanaenda japo kwa tabu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.