mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Unashauri nini kifanyike ili sekta ya afya iweze kutoa huduma bora kwa kila Mtanzania?

    Je, wajua? Serikali ya Tanzania chini ya Marais toka awamu ya kwanza hadi sasa awamu ya Sita imechukua hatua mbalimbali kuimarisha huduma za afya nchini kwa kujenga miundombinu ya afya. Zikiwemo zahanati, vituo vya afya, hospital za halmashauri, hospital za wilaya, hospital za mkoa, hospital...
  2. Mfilisiti

    JamiiForums Tanzania Mtanzania akionyeshwa bastola au akisikia mrindimo wa risasi basi hata eneo la tukio hatakanyaga na atakimbia mithiri ya kuvunja miguu

    Tafakuri ya leo. Unajiuliza kwanini watanzania tumelala?? matukio ya kutekwa na hatuchukui hatua yoyote?? ili hali mnamuona mtu yule pale anachukuliwa?? Unajiuliza, Kwanini hatuwezi kudai haki zetu?? Jibu ni hili, Mtanzania anaogopa sana neno "bunduki", Mtanzania akishaona bunduki basi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua vitu kadhaa kuhusu "Mtanzania"

    Kuna thread nimeitoa muda kidogo umepita unasomeka "hii imeniuma sana na itamuuma kila mtanzania" Ndugu zangu nimegundua kitu kikubwa sana leo. Tatizo kubwa la sisi wa Tanzania tulio wengi tuna roho mbaya, hatuthaminiani, hatupendi haki, tunatanguliza maslahi yetu na familia zetu. Ukipitia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii imeniuma sana na itamuuma mtanzania yeyote

    Juzi bhna nilienda barbershop kushave. Nilipomaliza ile natoka nje nikaona land cruiser inakuja ikapak upande wangu wa kushoto. Wakatoka jamaa wawili makamu ya miaka 35-40, jamaa walikuwa wanapiga stor kwa furaha sana na wakajisahau wakawa wanaongea Kwa sauti kubwa kiasi kwamba niliweza...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania "Uswahili-Uswahili" ndio umeshakuwa msingi wa maisha ya Mtanzania na kibaya zaidi hata katika issue zinazohitaji professionalism

  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

    Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria. Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini...
  7. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa fedha za haraka: Tunadanganywa au ni kawaida ya kila mtanzania kununuliwa ndoto?

    Kila siku tunazungukwa na matangazo na hadithi za kupata “hela chap chap” – mara biashara ya mtandaoni, mara crypto, mara forex, na nyingine nyingi zinazoahidi mkwanja wa haraka. Kila mtu anatamani kutoka kimaisha, na hivyo ndivyo tunavyovutwa kwenye hizi fursa. Lakini swali ni, ni kweli kuna...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Alitishia mtu bastola na kumjeruhi alitakiwa kusomewa Ph leo kisha mashahidi tuanze kutoa ushahidi maana kila Mtanzania ameona kwa macho yake

    Kwa nini kesi iahirishwe mpaka tarehe 20 Novemba wakati upelelezi umekamilika? Upelelezi ukikamilika kinachofuata ni kusoma maelezo ya awali yaani Ph. Sasa hapa kwa nini kesi itajwe tar 20? Hapa mazingira ya rushwa. Soma Pia: Afisa wa TRA aliyemjeruhi mtu kwa Bastola aachiwa kwa Dhamana...
  9. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Dkt. Wendeline achaguliwa kuwa Mkurungenzi wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika anayesimamia Nchi 22

    Benki ya Dunia, imemchagua Mtanzania, Dkt. Zarau Wendeline Kibwe, kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki hiyo atakayesimamia Kanda Namba Moja ya Afrika inayojumuisha nchi 22 ikiwemo Tanzania, nafasi ambayo Tanzania imewahi kuihudumu miaka 54 iliyopita. Uamuzi wa Dkt. Kibwe kuikwaa nafasi hiyo...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hii Taarifa ya Uandikishaji Ina Ukweli Gani ndg Mtanzania?

    Ujomile? Nimeona hizi taarifa mbili tofauti nikapata swali moja, je na hawa walioandikishwa na daftari kupotea wamo?. 👇🏾👇🏾
  11. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mtanzania anapochoka na kazi uliyompa

  12. 1academ

    JamiiForums Tanzania Mubaarak Naasir kutoka Tanzania aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, asimulia hadithi yake yote

    aisee mazee dah Mubaarak Naasir Saciid kutoka Tanzania, aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, anashiriki nasi hadithi yake yote." mahojiano haya yamrchaiswa na Puntland Security Force kupitia mtandao wa X...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kupiga kura ni haki ya kila Mtanzania, kutokupiga kura pia ni haki ya kila Mtanzania aliyeamua hivyo. Tusibembelezane

    Binafsi nitatumia haki yangu kutokupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025. Kuna watu hata sura moja ya katiba ya JMT hawajawahi kuisoma lakini wanakwenda kupiga kura, safi wanatumia haki yao, Mimi katiba karibu yote nimeisoma nimeamua kukaa nyumbani au kwenda kazini...
  14. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Kila Mtanzania anayeingiza kipato kwa kufanya kazi alipe kodi. Hakuna cha misamaha kwa viongozi wakiwemo wabunge kwani wote tunahitaji huduma bora

    Watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 walipe kodi zote kwa kazi wanazozifanya kihalali Kuanzia Rais na viongozi wengine wote pamoja na wastaafu wanaopata mishahara ya asilimia ya 80% ya walio madarakani. Pasiwe na misamaha ya kodi kabisa. Kiongozi anapata msamaha wa kodi, halafu...
  15. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania HAMNA MTU MUOGA KAMA MTANZANIA MIMI MWENYEWE nI MUOGA

    Katika nchi ambayo raia wake ni manyumbu ni tanzania yaani sisi ni waoga sio mchezo tena kama Mimi ndio muoga hatari hatuwezi kuingia barabarani Ili tufe yaani fikiria unaingia barabarani unapambana na askari unachezea kichapo halafu unakufa Ili wachaga wale mema ya nchi aisee Hilo swala...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kipaumbele cha Mtanzania ni uchaguzi mkuu ambao hufanyika kila baada ya miaka 5.

    Wasomi kwa wajinga, vijana kwa wazee, wanawake kwa wanaume kipaumbele chao ni uchaguzi mkuu. Nilidhani uchaguzi mkuu ni kipaumbele cha wajinga tu kumbe wasomi ndio zaidi. Wateule wanapomsifu Rais aliyewateua mwishoni hugusia uchaguzi mkuu. Wapinzani wataongea yote mwishoni watagusa uchaguzi...
  17. 19911008

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Oral interview zingine zingefanyikia Zanzibar

    Jamhuri ya muungano. Katika moja na mbili nikakutana na kijana anayeishi upande huu wa pili wa shilingi (Zanzibar), akiwa mnyonge sana, mdomo mkavu mithili ya dagaa wa nyasa waliokaushwa, kichwa kingali kimevurugwa kiasi, akasema "natamani Oral interview ifanyiwe huku pia. Nikamuuliza "why...
  18. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Ili mwananchi wa kawaida (asiye na simu janja) atumie Mtandao anahitaji Tsh. 272,000 kununua Simu na GB 3. Pato la Mtanzania ni Tsh. 254,000

    Idadi ya kadi za simu zilizo sajiliwa kufikia 2023 TZ (TCRA) 2020 51.2 million 2021 54.0 million 2022 60.2 million 2023 67.0 million KE(CA) 2020 57.0 million 2021 60.1 million 2022 63.3 million 2023 66.1 million UG(UCC) 2020 29.1 million 2021 30.2 million 2022 31.5 million 2023 32.8 million...
  19. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya 'SAMIA MUST GO' inapaswa kuungwa mkono na Mtanzania yeyote mzalendo

    Kwa Mtanzania mzalendo anayeipenda nchi yake, wala haihitaji akili nyingi wala 'D' mbili kuweza kutambua jinsi nchi ilivyorudi nyuma tangu awamu hii iingie madarakani. Tukiacha suala lililopo mezani la utekaji na mauaji makubwa ya kutisha linalopelekea raia na watanzania kuishi kwa hofu na...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Mtanzania ukiulizwa hili Swali na ama Raia wa Kigeni nchini au ukiwa Nje ya Tanzania utamjibu vipi?

    Tanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo. Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na kuyasikia huku Kwetu? Majibu yenu ni Muhimu sana ili niwajibu na waache Kunisumbua kwa Maswali yao...
Back
Top Bottom