mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Mwaka 2050 Pato la Mtanzania litakuwa Dola 7,000 (Milioni 18.2) kwa mwaka

    Wakuu, Suala la pato la mtanzania pia limetajwa kwenye dira ya Taifa ambapo kufikia 2050 linatarajiwa kuwa Dola 7000 kwa mwaka
  2. Knock life

    JamiiForums Tanzania Sijaona Mtanzania mwenye akili kama Lissu jamaa yupo nondo sana

    Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani . MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana . Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
  3. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Tuweke mishahara kuendana na maisha ya mtanzania

  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali " Wachawi" Wa Tanzania waelimishwe kwamba Mtanzania kwenda Marekani sio achievement

    Ni binti mtoto wa Single Mother masikini mama ntilie. Kasoma kayumba kuanzia primary hadi Six..Kaenda UDSM kapiga first class kapata full scholarship ya Masters in a prestigious University in the USA. Watoto wa kike kama mnavyo wajua tena, alipo fika US akawa anapiga Sana picha yupo Marekani...
  5. African Geek

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna "Mtanzania Halisi" Asiyekuwa na Asili ya Nje?

    Hapana, hakuna Mtanzania halisi ambaye hana kabisa asili ya nje—kwa sababu karibu watu wote waliopo Tanzania leo ni matokeo ya mchanganyiko wa makabila, mataifa, na tamaduni zilizokuja kupitia: Uhamiaji wa kale kutoka Afrika ya Kati na Magharibi (Bantu migration) Wafanyabiashara na waarabu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania MTANZANIA ALIYEPO KIGALI

    Wadau, Mimi leo ni mara ya kwanza kutembelea Nchi hii maridhawa kabisa ya Maj. Gen. PK. Kama yupo "Mswahili"mwenzangu ambaye yuko huku naomba tuwasiliane angalau kupata uenyeji wa kutembea /kulizunguka Jiji la Kigali kwa siku hizi chache nitakazokuwepo huku. Details zaidi njoo inbox.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mtanzania anayeishi Hanoi tuwasiliane

    Habari zenu ndugu zangu watanzania,!? Yeyote aliepo Hanoi city tuwasiliane.
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Dereva mtanzania ajiua nchini Zambia baada ya kukamatwa akiiba mafuta

    Imeripotiwa na CHETE FM. Madereva wa tenki za mafuta kuweni waaminifu. Habari nzima hapo chini. ____________________________ A Tanzanian truck driver working for ANAMOL Transport Company in Dar es Salaam has died after allegedly taking his own lífe by ingèsting an unknown substance moments...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza DG wa MOFAT, ni Mtanzania, msomi na ameeleza uzuri kuhusu mradi na kampuni yake Watanzania tumuunge mkono ataendesha mradi kisasa

    https://www.youtube.com/watch?v=Wdo4iyyC_HA Tanzania ina kila sababu ya kujivunia kwa kuwa na vijana wa aina ya huyu Mohammed Abdalah Kassim ambae ni mtoto wa mjini na mzaliwa wa Magomeni Makuti, jijini Dar-es-Salaam. Akihojiwa na TV ya Millard Ayo Mohamed amejieleza uzuri sana na kuuelezea...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Adui wa Tanzania ni Mtanzania na maadui wa Mtanzania ni umaskini na Uafrika . Uchawa unaliangamiza Taifa , tuukatae kwa nguvu zote

    Uchawa unaliangamiza Taifa hakuna kusema ukweli , hakuna Uzalendo tena . Umaskini,Tamaa ,Uvivu na kupenda madaraka umefanya kuisahau Tanzania , palipo na pesa hakuna haki , hakuna kukemea ubaya na kuimba mapambio ya aliyeshika rupia . Ni lini tutaupinga kwa nguvu Uchawa na machawa wakalijua...
  11. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA matusi hayatawasaidia, si sehemu ya maadili ya Mtanzania

    CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine. Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA? Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata...
  12. sammosses

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa limefura hakuna Mtanzania atakeyegongewa mlango kulilipa

    Takribani miaka minne toka Rais mrithi wa awamu ya tano B apokee kijiti baada ya kifo cha aliyekuwa Rais na mtawala wa Tanzania John Pombe Magufuli. Kipindi cha miaka minne ya mwisho ya Awamu ya Tano B chini ya Rais aliyepatikana kwa mujibu wa katiba,tumeona mambo mengi makubwa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha akili kwa mtanzania ni mjadala wa mechi ya dabi

    Yaani tangu May 8 wanasema hawachezi Kwa msisitizo,wamekuja na matakwa yao manne yatimizwe lakini hakuna hata Moja lililotekelezwa, Leo maamuzi ya rais ya 25 June mechi ichezwe mashabiki yote ya yanga yanafurahi sijui ni kipi kimetekelezwa,yamepost Hadi mitandao yao yote lakini simba wako kimya...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kila Mtanzania anadaiwa takriban Tshs. Milioni 1.66 kutokana na deni la Taifa

    "Mama hana deni" kwa hiyo sisi ndo tuna deni?. Hizi hela zinazokopwa na kuambiwa sisi Wananchi ndo tunadaiwa huwa zinaenda wapi jamani, mkeka wa matumizi ya fedha kwenye miradi hauwekwi wazi tunaambiwa tu kuna miradi imefanyika. Tunataka kujua ni shing ngapi zimetumika? Kufikia Machi 2025...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Viongozi wa Nchi Masikini wanapenda sana ufahari, alichokisema Tarimba si kipaumbele cha Mtanzania

    Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya Kijamii ikiwemo Michezo na Siasa, Edo Kumwembe kupitia Kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM amechambua kauli iliyotolewa na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba ambaye alipendekeza Wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye...
  16. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Kila Mnoreform aweke ushahidi wake hapa kwamba ni mtanzania kweli, kuna tetesi eti wengi wenu ni wakenya?

    Hata mimi napata wasiwasi pengine kweli, so wasijekuwa wanatwanga maji kwenye kinu Manake wenzetu jirani kwa kutumia mitandao wapo vizuriiii, Unajua kwanini? Threads yenye comments zaidi ya 100 lakini wachangiaji ni 16 tu, hapa lazima tupate mashaka kidogo
  17. Uchumi 360

    JamiiForums Tanzania Uchumi 360: Safari ya Kumwamsha Mtanzania Kutoka katika Usingizi wa Kiuchumi

    Makala ya utangulizi katika safu mpya ya JamiiForums Na: Mwandishi wa Uchumi 360 Je, tunaishi au tunapumulia tu? Hili ni swali gumu, lakini linastahili kuulizwa. Tunaamka kila asubuhi, tunatembea mitaani, tunanunua sukari yenye bei inayopanda kila wiki, tunalalamika kuhusu “maisha kuwa...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia ana damu ya kitanzania kweli?

    Naombeni tu kuwauliza waungwana. Mma uhakika kuwa Rais wetu Samia ana damu ya kitanzania. Hivi hizi kauli na matendo yanayoendelea dhidi ya watanzania zinaakisi kuwa yeye ni mtanzania? Naona hata kipindi Mbowe anashtakiwa kwa ugaidi ilikuwa ni hali kama hii tu sema hii ya sasa imekumba wengi...
  19. Financial Intelligence

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Matumizi ya mbolea yameongezeka kwa 100% bajeti ya kilimo imeongezeka mara tano

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu, " Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano" alisema Kwa...
  20. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtanzania amewahi kwenda kutafuta maisha nchini India akatoboa?

    Tulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha. Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu. Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?
Back
Top Bottom