mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Faith Hewitt Kapilima achaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya NNC Uingereza

    Katika tukio la kipekee linaloangazia nguvu ya uongozi wa wanawake na wahamiaji katika siasa za kimataifa, Faith Hewitt Kapilima, Mtanzania mwenye asili ya kabila la Wangoni kutoka Songea, amechaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya NNC nchini Uingereza kupitia chama cha kihafidhina cha Conservatives...
  2. Mr C Kauli huru

    JamiiForums Tanzania Kuwa Mtanzania ni kazi kama kazi nyingine

    Nawasilisha. Kuna mambo ndani ya nchi yanakera hadi kumtoa mtu kwenye uwepo. Umeme haujatulia sjui wanataka watuunguzie vitu?. Unakuwepo dk 10 unakatka kwa dk 1 na gafla unarud afu unakata tena Ingia tik tok had kuna watu washaufanyiq igizo au content ( mara wanakata eee mara wanawasha heee...
  3. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Akacheeka! akawaambia 'mimi nitabaki kuwa Mtanzania bakini na ujinga wenu

    Haya ni maneno ya Bwashee anawaambia watu wa UHAMIAJI,,,,Huyu Bwashee yupo mamtoni anatafuta maisha na mambo kadha wa kadha kwa ajili ya kusaidia familia yake,jamii inayomzunguka(OFCOZ) anapojenga wana wanapata dili za hapa na pale katika kupunguza ukali wa maisha yaani kimsingi bwashee kaleta...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa anavyo pendwa' na kila mtanzania, Rais Samia angekuwa mkristo hali ingekuwaje?

    Huwa nachukia udini japo siwezi kujitenga na uwepo wa ushabiki wa kidini nchini na humu JF. Tangu apate madaraka kwa mkono wa Mungu, rais Samia anaonekana kuwaridhisha mashehe hadi wengine kama shehe mmoja kusema kuwa ni mtu bora baada ya Yesu na Muhamad. Akiwa mwanamke, ambaye kisheria hapaswi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni furaha isiyo kifani kuona kila mtanzania anamudu mahitaji yake ya kila siku

    Nitoe wito au ushauri wa viongozi waliopa madarakani, serikali inayoongozwa na Rais Samia Hassan Suluhu. Tanzania kuna kila aina ya resources ambazo zinamudu kumfanya kila MTANZANIA awe na uwezo wa kumudu MAHITAJI yake ya kila siku maishani mwake. Tutangulize uzalendo, mtanzania mwenzako ni...
  6. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya CCM ni kuona kila Mtanzania anakuwa Mjinga

  7. S

    JamiiForums Tanzania TUSEME UKWELI >Kauli ya Tundu>> Kama Mtanzania au wewe ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Tuachane na siasa , watoto wadogo wanahitaji kauli ya WaTanzania kwa kile alichokitamka Mheshimiwa Tundu Lisu. Watoto wetu wanasoma mashule na wengine husikia na kusoma habari ,wanaposikia kuna mtu ameshitakiwa au kutuhumiwa kwa kosa la Uhaini ,wanahitajia jibu lako kwanza waelewe hilo kosa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mtanzania, lakini kwa huu msimamo wa Bashe kwa Malawi huu sio uungwana wala ujirani mwema

    Tanzania inaonekana hatuna sera ya mambo ya nje, tupo tupo tu. Lakini hata hivyo, kauli za Bashe kwa Malawi juu ya Malawi kuzuia uingizaji wa bidhaa za kilimo sio ya kiungwana, na haiakisi -Utanzania tulio nao. Tukio liko hivi, katika kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni na kukuza kilimo ndani...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watanzania wengi ni wanachama wa CCM wenye furaha sana na uhakika wa kila kitu maishani mwao tofauti na walio vyama vingine?

    Wana uhakika wa amani ya kutosha kimwili na kiroho, wanakua ni wenye furaha, ana matumaini na uhakika wa kesho yao na siku zijazo. Wana uhakika wa kutimiza ndoto zao za maisha bila wasiwasi. Tofauti na mtu akiwa vyama vingine vya siasa, anakua na wasiwasiwasi sana, anakua na hasira, mihemko...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtanzania asie wa Chama chochote cha siasa moyoni mwake ili awe Mwenyekiti wa Tume Huru ya taifa uchaguzi kwa mujibu wa mapenzi ya CHADEMA?

    Yupo wapi huyo? Hivi ni wapi Africa Mashariki kwa mfano, Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi hateuliwi na Rais? Ni nchi gani Africa michakato ya teuzi za umma kitaifa hazipitii kwa rais na mkuu wa nchi? Hivi kwa madai ya chadema mtu huyo ateuliwe na nani sasa kwa mfano? Au ateuliwe na...
  11. KABAKA28

    JamiiForums Tanzania Hivi kampuni kongwe inayomilikiwa na Mtanzania (mweusi) ni ipi? Ina miaka mingapi?

    Naomba kujuzwa, kampuni gani kongwe inamilikiwa na mtanzania na ina miaka mingapi? Nini sababu za kampuni kudumu muda mrefu? Nini unapaswa kufanya kurefusha uhai wa kampuni yako? Nimeona Japan kuna makampuni yana miaka zaidi ya 500. Sisi kampuni kongwe lina miaka mingapi? Asanteni.
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Huu kama sio ukoloni ni nini? Wachina waanzisha hoteli ambazo Mtanzania huruhusiwi kuingia

    Wakuu, Tunaposema kuwa Wachina ni existential threat kwa jamii yetu ya kitanzania huwa tunamaanisha Hapa ni GUangdong Hotel, Dar Es Salaam, huyu jamaa kasimamishwa getini anakatazwa kuingia kwenye hii hoteli na mlinzi. Akihoji kwanini anaambiwa hiyo hoteli ni "special" kwa Wachina. Ngozi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 INEC: Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na zaidi au ambaye atafikisha umri huo siku ya uchaguzi ndiye anatakiwa kujiandikisha

    INEC: Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na zaidi au ambaye atafikisha umri huo siku ya uchaguzi ndiye anatakiwa kujiandikisha Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetoa tangazo kuhusu watu wanaohusishwa kwenye zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limeanza kufanyika...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wassira: Kufikia mwaka 2030 kila Mtanzania atakuwa na umeme

    Wakuu, Miaka 63 ya Uhuru na bado CCM wanazungumzia masuala ya umeme? Seriously? Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza na wakazi wa mji wa Tunduma uliopo wilayani Momba mkoani Songwe akiwa katika ziara mkoani humo, alisema kuwa katika Ilani...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Naima Omary anashikiliwa na polisi Uganda kufuatia kifo cha Mchezaji wa Nigeria Abubakar Lawal

    Jeshi la Polisi nchini Uganda linamshikilia Mtanzania Naima Omary kufuatia kifo cha Mchezaji soka wa Kimataifa wa Nigeria Abubakar Lawal (39) aliyekuwa anaichezea Vipers SC ya Uganda. Naima anashikiliwa kwa uchunguzi kwakuwa alikuwa Mtu wa mwisho kukutana na Lawal February 24,2025 kabla ya...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dereva Mtanzania anayeshikiliwa Sudani Kusini kwa kugonga mtu aendelea kusota gerezani, familia ya aliyegonjwa yataka fidia

    Dereva Mtanzania Juma Ally Maganga (45) anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi katika Mji wa Juba tangu Februari 14, 2025 kwa tuhuma za kugonga na kusababisha kifo cha Mtu, imeelezwa familia ya aliyefariki imetoa maelekezo ya kudai fidia ili Juma aachiwe. JamiiForums imewasiliana na Mmiliki wa...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Geay avunja rekodi ya Daegu Marathon, South Korea

    Leo tarehe 23/02/2025 huko nchini Korea Kusini bendera ya taifa imepeperushwa vyema na kijana Mtanzania Gabriel Geay kwa kuvunja rekodi ya mbio za Daegu Marathon (course record) kwa kutumia muda wa masaa 2:05:20 na kuibuka wa kwanza. Ikumbukwe Geay ndo anashikilia rekodi ya taifa ya marathon kwa...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Patel sio Mtanzania, media za Tanzania acheni kupotosha umma

    Mtanzania ateuliwa kuwa Mkuu wa Shirika la Ujasusi la FBI nchini Marekani. Hii ni hatua ya uundaji wa serikali wa utawala mpya wa Rais Trump. Kash Patel amezaliwa Marekani lakini Baba yake ni Mganda na Mama yake ni Mtanzania walioamua kuhamia Marekani ambako huko ndiko Kash Patel alikozaliwa...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dereva Mtanzania anashikiliwa Sudan Kusini baada ya kugonga mtu, inadaiwa Polisi wagoma kumuachia wanataka hela

    Kuna Mtanzania mwenzetu anaitwa Juma Ally Maganga ambaye ni dereva wa magari makubwa, inadaiwa anashikiliwa na Watu ambao wanadai wao ni Askari Polisi Nchini Sudan Kusini, sababu ya kumshika ni kwamba wanamtuhumua amemgonga mtu na kusababisha kifo wakati alipokuwa katika safari zake akipita...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Niliuziwa pasi feki ya phillips kwa shilingi elfu 45, epuka haya kuuziwa mbuzi kwenye gunia

    Mwezi uliopita nilienda kutafuta pasi dukani, pasi yangu pendwa ni PHILLIPS, nilipoambiwa bei ni elfu 45 nikawa na imani kitu nachonunua ni original kumbe nimuziwa chambi, nashukuru alieniuzia ni mwelewa alinitafutia nyingine duka lingine Nafika nyumbani nikalinganisha pasi yangu ya zamani na...
Back
Top Bottom