mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Jamii Forums, Asasi ya Kiraia inayohamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora na mratibu wa jukwaa la mtandaoni la JamiiForums.com (JF), imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa...
  2. Kuna uwezekano wa kupata pesa mtandaoni......?

    Swali hili watu hujiuliza kwa mda sana nikiwepo na mimi kama kunauwezekano wa kutengeneza kipato kwa kupitia Internet.......... Basi wakat wa zamani kulikua na app nyingi zinazotoa mda wa maongezi baada tu ya kujiunga na unawaza pata hata elf 5 mda wa maongezi kwa siku lakini siku hizi naona...
  3. J

    Kutishia kurusha picha za uchi mtandaoni

    Msaada ndugu zangu, Kuna mtu anamtumikisha mke wangu kwa kumtishia kurusha picha za uchi za mke wangu mtandaoni. Naomba mnisaidie ni wapi nianzie kumdhibiti huyu
  4. K

    Njia 5 za kuwa salama ukiwa Mtandaoni: Faragha ya Mtumiaji

    Njia 5 za kuwa salama ukiwa Mtandaoni faragha ya Mtumiaji Kumbuka - Hakuna usiri uwapo Mtandaoni kwa sababu huenda kuna mtu au mfumo unakufuatia uendapo na ufanyacho. Njia za kuwa salama ni zifuatazo; 1- Tumia Password imara 2- Ruhusa uthibitisho wa njia mbili (Two factor Authentication) 3-...
  5. AY: Kumfungulia Mtoto Mchanga Akaunti Mtandaoni ni Tatizo la Akili

    “Unakuta una mtoto mchanga unamfungulia akaunti mtandaoni, eti mtoto anaandika ‘Mama I love you’ kisha wewe mama unajibu ‘I love you too’, yote hayo unaandika na unajijibu mwenyewe, hilo ni tatizo la akili. “Siku hizi kuna matatizo mengi ya akili lakini hatujayagundua, unamfanya mtoto...
  6. Ugumu wa kuwakamata Matapeli wa mitandaoni na wale wa Kuuza Bata fake

    Wale Jamaaa wa tuma kwa number hii na pia wale wanao uza Bata Bukini fake kwenye Magroup ya Face book kuna ugumu sana wa kuwakamata. Mwanzo sikujua kwa nini Police hawawakamati, na pia mbona wana watapeli hadi Wajeda na hao hao Police? Nina Rafiki zangu Wajeda wamelizwa na pia Police wamelizwa...
  7. Mwanariadha wa Ujerumani ahukumiwa kifungo miezi 6 kwa SMS za vitisho kwa Wanawake waliowatongoza wakamkataa

    Mwanariadha wa Ujerumani amehukumiwa kifungo cha Jela miezi sita au kulipa faini ya Ksh. 70,000 (Tsh. Milioni 1.3) kutokana na kosa la vitisho na udhalilishaji wa mtandaoni Nchini Kenya. Weiss Marvin Valentin, 25, alitenda kosa hilo mwaka 2022 kwa kutoa matamshi ya kukera na kutishia kusambaza...
  8. Kwanini wabongo wanadhani kutafuta mpenzi mtandaoni ni umalaya?

    Mpenzi huweza kupatikana mahali popote iwe klabu, kwenye ngoma, shule, kanisani nk. Ni suala la kupatana tu. Kuna watu wanakesha makanisani na hawapati watu wa kuwa nao na kuna watu wamepatana barabarani na wamedumu. Ukuaji wa teknolojia umefanya zoezi la kutafuta wapenzi kuwa rahisi kwa kuwa...
  9. L

    Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

    Tahtmini ya Utani wa hapa mtandaoni kati ya Wafuasi wa Zelensky (Pro Ukraine vs Pro Putin) Prow Ukraine ni watu poa sana, wengi ni wapenda amani wasiopenda uonevu wa kijinga Pro Ukraine hawashabikii mtu bali wanasimamia facts, wanasimamia haki, hawapendi uonevu. Wengi jata Zelensky hawamjui...
  10. Fahamu mambo kadhaa kuhusu 'kutafuta mwenza/mchumba/rafiki mtandaoni'

    Asalaam aleykum.. Kristu.. Bwana yesu asifiwe Kutokana na maendeleo ya utandawazi karne hii imekuwa ni kawaida watu kutafuta wenza au marafiki kupitia hasa mitandao ya kijamii,kwa zaman kidogo miaka ya 90 na 2000 mwanzani magazeti yalikuwa yakitumika kutafuta wenza au marafiki lakini kwasasa...
  11. B

    Naanzishaje mfumo wa malipo mtandaoni, kwa kupitia App au kadi

    Juzi kati apa nilipata wazo zuri sana kwenye hii industry ya malipo ya mtandaoni. Na ningependa kujua ni sheria gani natakiwa kupitia au natakiwa niwe na kitu gani ili niweze kuanzisha mfumo huo. Najua hii nchi ina bureaucracy na changamoto na hizo pia ningependa kuzijua.
  12. UTAFITI: Nusu ya Wamarekani wanatamani kufuta akaunti zao mtandaoni

    Utafiti uliofanywa na NordVPN umeonesha kuwa 55% ya Wamarekani wanatamani kufuta kabisa akaunti zao mtandaoni. Huku 18% wakitamani kusingekuwa na internet kabisa. 60% wanatamani kufuta taarifa binafsi. Robo yao wanatamani kufuta picha, video na akaunti zao kwenye mitandao ya kukutana na...
  13. LATRA wafafanua madereva wa taksi za mtandaoni walioandamana kwenda ofisini hapo

    Baada ya Madereva wa taksi za mitandao wameandamana mpaka makao makuu ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Jijini Dar es Salaam kudai kupandishwa kwa bei elekezi ambazo licha ya kupandishwa bado kuna wahusika awazifanyii kazi hali hiyo inatokana na kuendelea kupanda kwa bei ya mafuta...
  14. Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

    Kuna kipindi kiko NatGeo channel 181 DSTV na pia Azam wanayo siko surr ni channel namba ngapi. Hiki kipindi ni mwanadada anakuwa anafuatilia biashara flani haramu to the source anazungumza na clients na wauzaji au wale victims, na watendaji wa uharamia. Ashahoji wauzaji madawa wa mexico, wezi...
  15. Orodha Rasmi ya Watu wanaokaa Mtandaoni Muda mwingi

    Wakuu Kwema! Kuna kasumba moja ambayo watu wasiotumia akili Yao kuchambua mambo wapo nayo, kasumba hiyo ni kudhani watu wanaoshinda Mtandaoni hawana kazi Jambo ambalo sio Kweli. Lazima watu waelewe kuwa, Mtandaoni huwezi ingia pasipokuwa na Bundle, na wote tunajua Bundle ni pesa, Nani asiyejua...
  16. Dkt. Ndugulile aishauri serikali kuruhusu malipo ya mtandaoni kama vile PayPal

    Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ameuliza bungeni kuhusu mikakati ya serikali kufanya mapitio ya ada za usajili wa mifumo ya malipo(fintech apps) pamoja na mikakati ya kuboresha mazingira ya kazi kwa wabunifu wa malipo ya mtandao. Zaidi ya hayo, ameulizia mpango wa serikali kuhurusu...
  17. Muhindi anatangaza picha zangu mtandaoni anadai mimi ni basha wake

    Huyu muhindi amekuwa akiweka picha zangu kwenye Instagram account yake na Facebook huku akiniita mume wangu. Muhindi huyu aliniomba urafiki kisha baadae akaomba tukutane kwa ajili ya kufahamiana, maana yeye anakaa Arusha na mimi Dar, so alipokuja Dar akaniomba tuonane, sikuona ubaya. Tulipiga...
  18. Ni Jukumu la Kila Mmoja Kuhakikisha Mtandaoni ni Mahali Salama kwa Kila Mtumiaji

    Kujua haki na wajibu wako ni muhimu kila wakati, haswa ukiwa mtandaoni. Mtandao unapanua haki yetu ya uhuru wa kujieleza, lakini pamoja na uhuru huo, kuna wajibu wa kuwatendea wengine kwa kuzingatia utu na heshima. Kuwatendea wengine kwa heshima ni muhimu mtandaoni kama tu ilivyo ana kwa ana...
  19. TCRA: Tumia simu vizuri, ukimdhalilisha mwanamke mtandaoni jela inakuhusu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewaonya watu wanaofanya vitendo vya udhalilishaji kwa wanawake mitandaoni, ikisema kufanya hivyo ni kosa la kihalifu kwa mujibu wa sheria za nchi na kunaweza kumpelekea mtu kutozwa faini, kufungwa jela au vyote kwa pamoja. Wito huo umetolewa hivi...
  20. Diamond Platnumz atajwa kuwa mtu maarufu aliyeongelewa zaidi mtandaoni wiki hii Afrika. Rais Samia ashika nafasi ya 15

    Mtandao wa Top Charts wa nchini Nigeria umemtaja msanii Diamond Platnumz kuwa mtu maarufu aliyeongelewa zaidi katika wiki hii. Msanii huyo anakuwa wa kwanza kutoka Tanzania kuchukua nafasi hiyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…