Kwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli.
Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la...
Hii nimeikuta mahali Jakaya Kikwete akizungumzia mtandao wao akimtaja Edward Lowassa, Samuel Sitta na Rostam Aziz.
👇
Jee kwa maelezo haya nani alianzisha matumizi ya neno mtandao kwenye kundi lao?
Sallam Sk na Majani ndio watu wanao ogopwa sana na wasanii sababu ya misimamo yao kwenye kazi, ukizingua wanakwambia bila kucheka na ukileta masihara kwenye kazi wanakupiga chini. Mwanamuziki yeyote aliyewahi kufanya kazi na Sallam atakwambia jamaa alivyo mtata na mwanamuziki yeyote aliyefanya...
Tumemsikia rais Samia akionya kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje.
Kauli hii ni pana na kubwa mno katika diplomasia ya kisiasa.
Rais Samia anajibu gani kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa Wanamtandao?
Tunawaona
Tunawajua
Hawajifichi.
Atupe majibu maana...
Sina uhakika kama uteuzi wa Rose Migiro unakusudia nini? kuimarisha safu? kubadilisha sura na taswira ya chama kimataifa? kuvutia na ushawishi kwa akina mama? au kuboresha kikundi mtandao kinachotajwa na HPolepole. Kimkakati ni nini hasa? Tujadili. Mimi sina majibu kwa hili
Hao watu wamejipanga siku nyingi kuandaa media mbalimbali endapo tu wanapoguswa maslahi yao hushambulia watu kwa kuwapa kashifa mbalimbali.
Kwa sasa media hii iliyopo huko x zamani tweeter kazi yake kubwa ni kusifia serikali na yeyote anayeonekana yupo kinyume na serikali hushambuliwa kwa matusi...
Kuna jambo nimeona kwenye kutumia huduma za fedha mtandao (Yas, kwa case yangu) likanitatiza. Wakati nikifanya malipo ya serikali kutumia app yao, sikuwa na namna ya kuingiza senti kuendana na nilichokua nalipia. Badala yake, mfumo ukafanya ukadiriaji wa juu (rounding up) na kunilazimu kulipia...
Sekta |Wakala
Kipengele
Urefu | Idadi
Gharama (Tsh)
Hali | Tarehe
TANROADS
Mtandao wa barabara
1,201.81 km (kuu 594.46, za mikoa 607.35)
-
-
Barabara Kimkakati
Mpanda–Tabora
352 km
273,829,309,854.29
Imekamilika
Barabara Kimkakati
Mpanda–Sitalike
35.9 km
38,042,000,000
Imekamilika...
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.
Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.
Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbovu kabisa.
Somanga pale...
Barua ya Lissu kwenda kwa Dr William Leo.
Dr William habari, sitaweza kuandika mengi kwenye barua hii sababu sina karatasi za kutosha, ila kama ujumbe utafika naomba uwatumie na watanzania wote mimi nikiwa bado kwenye nondo za gereza.
Siku ambayo nilisema nitasimama na taifa langu la Tanzania...
Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika
Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za uchumi wamezishikilia wao! Wana sauti na maamuzi kwenye kila kitu.. Huu ni ukweli mchungu na wa...
Tarehe 12.8.2025 itaingia kwenye kumbukumbu za Tanganyika kwa mambo mengi
1. Majigambo ya nguvu ya mtandao kwamba wana watu wazito na wana ukwasi wa kutosha
2. Ithibati kamili kwamba chama kimetekwa na kundi maslahi linalojumuisha wevi, mafisadi, ma tycoon wa rushwa, watakatishaji pesa na...
Nimemsikiliza Polepole kwa umakini mkubwa inaonekana ameibua dhana ya CCM mtandao na Chadema Masalia yaani G 55 waliokimbilia Chaumma je kuna uhusiano wa dhana au narration hizi mbili polepole tuambie tujadili nini kilichopo.
Kwa Watanzania wenye umri wa makamo kama wangu, tunakumbuka kuwa, tangu Awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu baada ya Bunge kuvunjwa madaraka ya Wabunge na Mawaziri yalikuwa yana seize mara moja huku nchi ikiendeshwa na Makatibu Wakuu.
Pia mfumo wa kukaimu madaraka ya Urais uliwatambua Spika na...
Hivi karibuni, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amezua mjadala baada ya kudai kuwa ndani ya CCM kuna “mtandao” unaodhibiti mchakato wa uteuzi wa wagombea urais. Anasema mtandao huu umekuwa ukijitokeza mara kwa mara tangu mwaka 1995, na mara nyingine hufanikisha...
Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi.
Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi.
Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi...
Moshi bado unaendelea kufuka ndani ya Jumuiya ya wanawake ya Chama cha mapinduzi(UWT)baada ya wanachama wake walioenguliwa katika kinyang'anyiro cha kusaka nafasi ya ubunge wa Viti maalumu kufichua mtandao uliotumika kutawanya rushwa kwa wajumbe .
Miongoni mwa wanaotajwa kutawanya rushwa kwa...
Nashauri kesi hii kubwa nayo isikilizwe kwa njia ya mtandao.
Pia ikibidi CCM isitishiwe ruzuku na izuiwe kufanya shughuli zake hadi kesi ya msingi iishe ili Mgombea anayelalamikiwa asije akavuruga ushahidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.