Mtandao wa barabara nchi nzima umeanza kuporomoka!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,552
Reaction score
30,788
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.

Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.

Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbovu kabisa.
Somanga pale, matengenezo kila miezi sita mvua na mito ikikata barabara.

Huko kaskazi hakuna uafdhali.

Kazi nzuri iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
 
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.

Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.

Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisaHuko kaskazibi hakuna uafdhali.

Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.

Barabara zote ulizozitaja zilianza kuharibika kabla hata hazijamalizika kujengwa, ni moja ya kandarasi za kitapeli
 
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.

Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.

Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisaHuko kaskazibi hakuna uafdhali.

Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Weka Picha tukuamini ulichoongea pengine umeota usiku weka picha tuchambue mimi juzi nimepita uko safi Lindi to Dar..
 
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.

Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.

Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisaHuko kaskazibi hakuna uafdhali.

Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Kwa kuwa wahuni wameshika hatamu,hadi pale tutakapolimia meno akili zitarejea kwenye mihimili yake.Alaaa!
 
Mimi ni dereva mzoefu nina neno la kutia, barabara ya arusha-singida kiwango cha lami ya uhakika kinaishia pale daraja la mto bubu jirani kidogo na dareda center, kuanzia pale mpaka singida ni aggregates ndogo ndogo maarufu kama kokoto zimebandikwa juu ya gundi ya lami na kiwango ni kibaya sana, ukitaka kujua hilo utaanza kusikia mvumo wa tairi za gari kuanzia hapo mpaka singida, na inaongeza friction sana hivyo tear and wear ya matairi inachukua nafasi kwa haraka.

Hichi kiwango cha kokoto ndio hichohicho kuanzia singida mpaka dodoma na ndio hicho hicho kwenye barabara ya dodoma-arusha via kondoa isipokuwa baadhi ya sehemu walikuwa wanaweka lami, na nyingi wameweka kokoto.

Singida-tinde-kahama-shinyanga-mwanza huku sasa ni majanga kwanza barabara nyembamba sana, na ina mashimo sio ya nchi hii na kiwango ni hikihiki cha kokoto, niseme kwa uwazi aliyesimamia huu ujenzi ni mwendazake, sema sasa miaka imesogea na ule uchakavu na mvua nyingi nyingi zilizopita hapo miaka ya karibuni zimespeed up hilo zoezi, kiukweli sehemu nyingi zinahitaji kufumuliwa upya na kuwekwa lami, naona sasa hivi sehemu nyingi kuna miradi ya kufumua madaraja hata sehemu korofi kama pale mtanana-kibaigwa panapojaa maji tangu enzi ya uhuru naona wamesuka madaraja sio chini ya 10 ya maana na barabara imeinuliwa wacha tuone, ila huko kusini hali ni mbaya sana ile lami ni ya aina gani? pale somanga tunakesha kila mara msimu wa mvua, naweza kusema dar-kusini ni njia mbaya sana na unaweza kupata ajali mbaya sana kama sio mzoefu.

Wacha niishie hapa.
20250805_140935.jpg
 
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.

Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.

Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisaHuko kaskazibi hakuna uafdhali.

Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Tulia Mama Hanaaaa Denii wewe ni mwanaharakati wa Taifa.
 
Tatizo kubwa ni 30% na hii sio TANROADS pekee ni kila organ ya serikali
 
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.

Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.

Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisaHuko kaskazibi hakuna uafdhali.

Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Kwanza sio kweli na kama ni kweli basi elewa kwamba mtandao wa Barabara umeongezeka zaidi kuliko kuongezeka Kwa kasi hususani Barabara Mpya at expense of zile za zamani zinazohitaji maintenance.

Pili idadi ya magari kimeongezeka sana Kwa sababu ya kujua Kwa Uchumi hivyo ku exert pressure kwenye Barabara chache zilizopo kiasi kwamba imekuwa rahisi zaidi Barabara kuharibika.

Aidha Barabara nyingi zimeshazeeka hususani Barabara kuu ,ila Barabara za Mitaa za mjini zimeongezeka sana na ni nzuri mfano hizo unazozitaja zimeshazeeka.

Kila awamu wandarasi walikuwa na madeni makubwa ambayo yalikuwa yanalipwa mdogo mdogo so hakuna tofauti na Sasa.

Pia uwepo wa miradi mikubwa ya Sgr umesababisha uwekezaji wa Serikali kwenye miundombinu ya Barabara kuu usiwe wa kurudisha Kwa miaka yote Toka 2015.

Nimefanya observation Toka 2015 Serikali inajenga Barabara Mpya chini ya km 300 wakati awamu zilizopita ilikuwa ni wastani wa km 400-500 Kwa mwaka na traffic haikuwa kubwa sana kama ilivyo Sasa.

Mwisho sio kweli kwamba wakandarasi hawalipwi Bali hawalipwi Kwa wakati ishu ambayo ipo hivyo miaka yote.

Kazi zinaendelea site

View: https://www.instagram.com/p/DNdtC__smET/?igsh=MWJqaGs4aGU3am05Ng==

Kwa wale wasiojua ,Kuna ujenzi wa madaraja zaidi ya 150 makubwa Nchi nzima ambayo yaliharibiwa na El nino na yanatumia pesa zilizokuwa za maintenance ya kawaida ya Barabara ndio pia imechangia kutatiza malipo kutokuwa Kwa wakati.

View: https://www.instagram.com/p/DNcXB86IqOf/?igsh=MTR0cW9uMzh2NHpqOQ==
 
Back
Top Bottom