Ni wiki sasa nimeweka kambi Dodoma kufuatilia hati za viwanja vyangu pale kwa maafisa ardhi jiji, urasimu ni mwingi, wanataka pesa, nikiwa DSM kuna mtu nilisema afuatilia baada ya mimi kufanya application mtandaoni manake siku hizi kuna e-ardhi kila kitu unaupload mtandani, lakini nikaambiwa...
Kipengele cha membership number kinahitaji uingize tarakimu 9 wakati huo kwenye kadi kuna tarakimu 12. Hii inakuaje au kuna mahali mimi nakosea?
Msaada tafadhali
CCM is a powerful and strongly party!,who can bend it's majority decision?
Wajumbe wote kwa nguvu moja tulimteua Dr.samia awe rais wetu,pia amalizie nge yake ya pili katika awamu yake ya sita(6).
Sioni lolote linaloweza kufanyika kubatilisha uamuzi uliokwisha fikiwa na vikao vyote halali vya...
Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu.
Suala la kufungia mitandao kwasababu watu wasiongee, linaminya uhuru wa kujielezea na haki za binadamu ungekuwa wewe ungejisikiaje ?
GT
Jambo moja ambalo huwa linanishangaza kwa watanzania ni kupenda kutumia cash katika manunuzi mbalimbali ya vitu. Faida za online transactions ni kama hizi hapa.
1. Kurahisa ukusanyaji waa kodi
Kwa njia ya cash ni mtihani mzito maanake mpaka mfanya biashara awe mwamimifu kwa TRA.Lakkni pia...
Badala ya kukimbia barabarani ,washiri kwa kujiunga kwa kutumia linki ya mtandao huku wakifanya mazoezi haya ya kukimbia marathoni katika maeneo maalumu na mahususi kwa ajili ya michezo na mazoezi kama vile viwanja vya michezo, na wengine wanaweza kushiriki wakiwa hata nyumbani kama wana...
Ninapoangalia mwenendo wa sasa ndani ya chama chetu, nahisi kuna upungufu mkubwa wa viongozi wenye maono. Kiongozi sahihi anapaswa kuwa na "jicho la tatu" – yaani uwezo wa kuona changamoto kabla hazijatokea, na kuchukua hatua stahiki kwa wakati.
Leo hii tuko ndani ya mchakato nyeti wa uchaguzi...
CCM inaweza kuwa inafanya “legitimization” ya maamuzi ambayo tayari yalishachukuliwa bila kufuata Katiba kikamilifu – sasa wanajaribu kusahihisha kiufundi ili yasiwe kinyume cha taratibu.
Pili Kwa chama ambacho ina wanachama wengi vijijini kikao Cha mtandao siyo inclusive kwani bado tuna...
DAR. Watu wanaotajwa kuwa wezi mtandaoni kutoka ndani na nje ya nchi, wameiba zaidi ya Dola za Marekani milioni 49 sawa na takribani Sh bilioni 150 kupitia mtandao wa benki kubwa saba nchini gazeti la Raia Mwema limeeleza.
Tayari Serikali kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, imekamata baadhi...
Kitu ambacho tumejifunza katika siasa za hapa Nyumbani ni kwanba Mzee Lowasa na Mzee Jakaya hawataacha kujitokeza katika Makundi ya Siasa zetu.
Na kama kuna kitu walifanikiwa katika hili Taifa Basi walijenga mfumo wao kwa akili na maarifa katika Kujenga mtandao ndani ya Siasa za Taifa Letu...
Wengi Tunategemea sana kutangaza biashara zetu kupitia mtandao mnazima ili iweje ..nmepoteza hela.
Mmefunga Twitter (x) , sasa hivi mmehamia Facebook. Fungueni hii mitandao, wengine siasa hatuzitaki ni ujinga tu.
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata jumla ya watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na wizi na utapeli wa kimtandao unaojulikana kwa jina la “Halo Halo”, kufuatia operesheni maalum iliyofanyika kati ya Julai 2 hadi 11, 2025.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi...
Inatosha, nadhani hawa wanakuharibia historia yako ya baada ya kutoka madarakani. Inatosha. Fungua kila kitu...Lisu, X, na mengine mengi yaliyowekwa kwenye mikono ya shetani.
Hakuna madhara kwako wakipost wanachotaka kupost. Ni mambo ya kupita katika siasa
Hayapendezi
Kila mmoja atakuwa shahidi wa haya ninayo yasema kuwa, matapeli wa mtandaoni....wale wazee wa " tuma kwa namba hii" wamedhibitiwa kikamilifu.
na hata zile application za kitapeli zimekomeshwa.
Tuwape pongezi wa wafanyakazi wote wa TCRA kwa kazi nzuri sana.
Mwendo huohuo.
Baada Ya Kutia Nia Salim Kikeke Ameanza Kupitia Spana Kwenye Mtandao Wa Twitter.
Kwenye Moja Kati ya Chapisho Lake Ameandika Kuwa ........................
Sometimes change has to be fought from within. Albert Einstein once said “Doing the same thing over and over again and expecting different...
Rais wa Marekani Donald Trump amezindua rasmi manukato mapya ya kifahari kwa wanaume na wanawake.
Trump amezindua manukato hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social na yamepewa jina la “Trump Fragrances – Victory 45-57.”
Kila chupa iliyo na umbo la sanamu ya Trump akiwa amevaa suti...
Kwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.