mtandao

  1. L

    JamiiForums Tanzania Pesa Mtandao

    Kwa wale tuliozoea neno 'Tigopesa' na uhusiano wake na huduma inayopatikana ya 'Pesa' kwa njia ya mtaandao wa TIGO, mnaonaje matumizi ya neno jipya la 'Mixx by Yas' lisivyo na uhalisia/ufanani na huduma inayotolewa ya 'Pesa'! Inawezekana wahusika na kubadilika kwa jina hilo wana maana nzuri tu...
  2. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hivi mtandao wa telegram bado umefungiwa Tanzania au vipi? Maana muda sana siupati! Kulikoni?

    Huu mtandao wengi walikuwa wanautumia kwasababu za ngono! Lakini kwa wanaodeal na kutuma package za picha kubwa ulikuwa mzuri! Hapa kwangu ni zaidi ya miezi kama 6 hivi siupati!
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania WAKUU HIVI NI MTANDAO GANI UKIWEKA PESA INAKUA SALAMA

    WAKUU naombeni kujua ni mtandao gani kati ya hii iliyopo nchini UKIWEKA PESA kwenye huduma za miamala Ina ulinzi mzuri yaani ngumu watu kuiba pesa kati ya hii tigo Vodacom Airtel na halotel
  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

    Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa...
  5. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom unasumbua sana kwa sasa

    Wakuu...hivi ni mitandao yote saivi au ni huu voda tu ndio wa kijinga saivi...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania ACP Mwangasa: Sheria ya Makosa ya Mtandao Imepunguza Uhalifu wa Mtandaoni

    SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO IMEPUNGUZA UHALIFU WA MTANDAO- ACP MWANGASA ACP Joshua Mwangasa, Mkuu wa Kitengo cha Makosa ya Mtandao kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Tanzania amesema kuwa kabla ya kutungwa kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 kesi nyingi zilizokuwa zikiripotiwa...
  7. Nehemia Elias

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Taxi Mtandao natafuta kazi. Nina uzoefu wa miaka minne

    Habari za kazi, Natafuta gari ya kufanyia tax mtandao(Uber & Bolt), nina uzoefu wa kuendesha tax mtandao zaidi ya miaka minne, naishi kongowe mzinga kilwa road, nipo tayari kufanya kazi kwa bidii na maarifa. Mawasiliano 0769235120
  8. Soul21

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa mtandao wa X wamefilisika kifikra au?

    Picha: Pinterest Mimi nimeanza kutumia X kwa sasa toka 2017. Niliheshimu mtando huu sana kwa habari nzuri na kwa ufupi kutokwa kwa watu mbalimbali. Leo hii unaingia X unakuta ndio watu wanaongoza kwa kusambaza video za ngono pamoja na kudhalilisha watu na mwisho naweza sema Facebook ni mtandao...
  9. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom wajitafakari

    Kwa siku za hivi karibuni mtandao wa Vodacom umekuwa ukisumbua sana Hali ambayo imepelekea usumbufu mkubwa sana kwa watumiaji wa mtandao huu. Kumekuwa na Hali ya kukatika kwa network au kushindwa kufanya miamala ya kifedha jambo ambalo limekuwa likijirudia rudia na kuzua sintofahamu Kubwa kwa...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Watoto chini ya Miaka 13 kuzuiwa kutumia Mtandao wa "Roblox"

    Kampuni ya Roblox inayohusika na na Michezo ya Mtandaoni (Gaming) imetangaza kubadili Sera zake zinazuhusu Usalama wa Watumiaji wake ambapo kuanzia Novemba 18, 2024 Watoto wenye chini ya miaka 13 hawataruhusiwa kuingia katika Jukwaa hilo Hatua hiyo inafuatia ukosoaji wa muda mrefu uliokuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi au mtandao gani unaweza kunikopesha kwa wakati huu?

    Wadau kama kichwa kinavyosema, nimekwama nahitaji angalau 5k nipate lunch, ni site au app gani inaweza kunifanikishia hilo kwa muda mfupi? Naombeni muongozo wadau, jua ni kali tumbo lina mgogoro.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa kiongozi wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Selemani Kissoki afariki, azikwa Dar

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Suleiman Kissoki amefariki usiku wa kuamkia leo Novemba 6, 2024 nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam. Akizungumzia taarifa hiyo, Katibu Mkuu wa Shiwata, Michael Kagondela alisema hadi jana jioni, marehemu alikuwa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume nendeni katika Mtandao wa Anti Ezekiel wa Instagram muwasikie Wanawake walivyosema kuhusu Sisi kutokuwa na Pesa

    Wa Kwanza kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Sufuria iliyotoboka. Wa Pili kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Jalala Wa Tatu kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Kinyesi Kibichi Halafu kwa haya Majibu yenu / yao Wanawake ndiyo mnataka tukizikamata na Kuwahongeni...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Unyutro wa Mtandao wa Twitter/X wazidi kuzorota siku ya uchaguzi

    Mtandao wa Twitter/X ndio jukwaa maarufu zaidi na pendwa la kimtandao kwa miaka mingi ya hivi karibuni katika kutoa taarifa za mambo ya siasa, katika uchaguzi huu wa Marekani unaondelea wadau wa Democrats wanalalamika X kumbeba Trump na kukandamiza taarifa zao leo siku ya uchaguzi. Leo siku ya...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PPRA: Inapotokea kuna changamoto ya Mtandao katika Mfumo wa NeST huwa tunasogeza mbele muda wa Tenda

    Baada ya Mwachama wa JamiiForums.coma kulalamikia changamoto ya Huduma ya Mtandao katika Mfumo wa NeST, ufafanuzi umetolewa na mamlaka inayohusika Kusoma hoja ya Mdau kwa zaidi bofya hapa ~ PPRA Mtandao wa Manunuzi (NEST) una changamoto sana Afisa Uhusiano wa Umma wa PPRA, Joseph Muhozi...
  16. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi Ya kushare MB Mtandao wa vodacom

    Wakuu habari ,kama kichwa cha habari kinavyosomeka naombeni msaada wa jinsi ya kushare data mtandao wa voda
  17. Tanzanite255

    JamiiForums Tanzania Tigo SME

    kampuni ya Tigo siku ya jana imeanzisha huduma ya SME huduma hii haina tofauti ya na ile ya Airtel changamkien fursa huko kitaan kwenu mm sina access ila kitaan kwa mawakala imeanza + na Tigo shop bora SME kulko post paid inayo limbukiza maden Tigo wameandika kupata huduma 10k
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Slaa aingilia kati sakata la kukosekana kwa huduma za mitandao ya simu. Aiagiza TCRA kuchukua hatua

    Wakuu, Kwa siku mbili tatu hizi kumetokea changamoto kubwa ya mtandao kwenye upande wa MPESA ambapo watu wamekuwa wakipata changamoto katika kutokea na kupokea pesa kupitia mitandao ya simu. Soma pia: Vodacom yafafanua changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Vodacom yafafanua changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo

    Ndugu zangu wana Jamvi mnakumbuka siku chache zilizopita, baadhi ya wateja wamekumbana na changamoto za kutumia huduma ya mtandao wa Vodacom? So Vodacom Tanzania hivi sasa wanafanya maboresho muhimu ya mifumo ya TEHAMA kwa lengo la kuboresha huduma kwa wateja wake. Soma, Pia: Mtandao wa...
  20. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa X (TWITTER) waifunga akaunti ya kiongozi wa kiislamu Ayatollah Khamenei, baada ya kuandika ujumbe wa kuikosoa Israel

    Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei. Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika...
Back
Top Bottom