Hiki ni kiswahili ama kibantu neno SENTASenta ni sehemu yenye vibanda vingi haichagui eneo
humu sio kila mtu kasoma lakini haizuii watu kuuliza maswali, kuomba mawazo na kutoa ushariHiki ni kiswahili ama kibantu neno SENTA
Sawa haya toa ushauri mkuu.humu sio kila mtu kasoma lakini haizuii watu kuuliza maswali, kuomba mawazo na kutoa ushari
toa ushauri, mambo ya lugha au uandishi yape uzito mdogo
senta kamaanisha centre
Unaweza ukawa upo sahihi ila binadamu tuna uelewa tofauti,ulichokielewa wewe,kinaweza kisieleweke kwa mwingine,humu sio kila mtu kasoma lakini haizuii watu kuuliza maswali, kuomba mawazo na kutoa ushari
toa ushauri, mambo ya lugha au uandishi yape uzito mdogo
senta kamaanisha centre
Inategemea na aina ya biashara na aina ya wateja wakoHivi kufanya biashara mtaani na sokoni au sehemu ya senta yenye vibanda vingi ipi ndio sehemu nzuri zaidi? ?!!
Kama hlo soko, n kubwa, na hzo senta wanahemea hapo sokon n bora ufanyie sokoni watu n wengi.