mtaani

  1. JamiiForums Tanzania Mtaani wizi umeshamiri sana, nini kifanyike?

    Hali ya usalama mikoa mbalimbali sio nzuri! Wizi ni kama umerudi kwa kasi sana, sasa hivi usalama wetu na mali zetu uko mashakani sana! Hata hapa JF kila siku lazima ukutane na nyuzi za watu kuibiwa hiyo ni ishara tosha kuwa hali ni tete. Jeshi la Polisi liko wapi? IGP Sirro yuko wapi? Mbona...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya Uhalifu mtaani kwa sasa inatisha. Waziri Mambo ya Ndani na Sirro mmeamua kushirikiana na majambazi?

    Kwa sasa hali ni ngumu sana mtaani kiusalama hasa sisi wafanyabiashara hali ni tete. Juzi mwenzetu anaeyejihusisha na Mobile money Transction amenusirika kuuawa baada ya kukwepa risasi iliyoelekezwa kwenye paji lake la uso na kwa bahati nzuri ikampata maeneo ya mkononi na paja lake la kushoto...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba nimlete Michael Jackson mpya kwenu nimemwokota mtaani huko

    Naomba nimlete Michael Jackson mpya kwenu nimemwokota mtaani huko.
  4. JamiiForums Tanzania Nimegundua wenyeviti wa Serikali za mtaa ndio walikuja wanaongoza kwa kuwa na mabanda mtaani

    Yale mabanda maarufu ya wamachinga, kwa uchunguzi wangu binafsi nimegundua viongozi wa serikali za mtaa ndio walikuja na mabanda mengi barabarani na ndio walikuja wanapangisha wamachinga barabarani..so tusishangae zoezi hili kusua sua.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais Samia akimsifia Waziri wa Maji, huku mtaani hatuna maji siku ya 3 leo

    Raia Samia huenda ni kweli Waziri wa Maji anafanya kazi vizuri, na ninaungana na Watanzania wengine kumpongeza. Lakini bado wananchi tunapata kero za maji za mara kwa mara. Kwa wiki mbili zilizopita huku mtaani ninapoishi maji yalikuwa yanatoka kwa presha kama ya mkojo, huwezi hata kupandisha...
  6. JamiiForums Tanzania TBS na TFDA okoeni maisha yetu kwa kupima ubora wa unga wa mahindi na muhogo unaosagwa mitaani

    Miaka ya hivi karibuni kumezuka viwanda vingi sana mitaani vinavyosaga unga wa mahindi na muhogo, ubora wa unga huo u atia mashaka kwani viwanda husika haviko kwenye usafi unaoridhisha. Kiwanda ambacho hakiko kwenye usafi hata ubora wa unga wake utatia shaka, ni wazi viwanda hivyo vina mashine...
  7. JamiiForums Tanzania Nape: Sasa hivi vyuma vimelegea, Rais Samia kamwaga pesa mtaani tofauti na awamu iliyopita

    Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia? Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
  8. JamiiForums Tanzania Nimeiona huko mtaani hii imetokea

  9. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei huku mtaani unashamiri, kuna nini kinaendelea?

    Salaamu watoto wa Jamhuri ya Muungano! Kiukweli huku MTAANI vitu vinazidi kupanda bei siku Hadi siku.Nyama saizi 8000 Toka 7000. Juzi nimeenda dukani kununua Colgate naambiwa Sasa ni 5000/= ikiwa hapo awali nilikuwa nanuna 3500/. Kwa ujumla vitu vingi bei vimepanda na sijaona tamko lolote...
  10. JamiiForums Tanzania Si sahihi kufikiri eti komandoo akiwa mtaani ni kama raia wa kawaida

    Wastaafu wa jeshi hasa makomandoo wanapumzishwa tu kwa muujibu wa sheria lakini bado ni reserve army. Inchi ikiingia vitani wanaitwa wote na ukumbuke wanastaafu bado vijana, wenye nguvu na ujuzi wa kutosha. Kwahiyo siye raia tunaposikitika kwanini makomandoo wapiganaji wa nchi yetu tena wengine...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Nilifeli Darasani, nikafaulu Mtaani

    Habari, hi ni stori ya kweli inayo nihusu Mimi mwenyewe. Nimeguswa kushea na wanajamii Forums, ili kuwatia moyo vijana na watu wengine ambao wanapambana kutoka kimaisha. Kama Mtanzania wa kawaida nilizaliwa katika familia ya kipato cha chini sana. Nikiwa mtoto wa tatu kati ya watoto sita (kila...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tukiiga tuliyoyaona katika Sinema za akina Bruce Lee, Chuck Norris na Rambo na Kupigwa kikweli kweli Mtaani tutambuane

    Nilikuwa napenda mno Kuiga Kujikunja kama Bruce Lee huku nikirusharusha Viteke vya hapa na pale na mkwara mwingi wa ile Sauti ya Bruce Lee ya kulia kama Paka hivi, lakini kuna Siku niliingia kwa Mtu tukiwa Wawili nakumbuka ukiachia mbali Kuadabishwa nae, ila kama Tanzania siku hiyo ilikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Taarifa ya utekelezaji wa sera ya uongezaji wa ukwasi mtaani kutoka benk kuu.

    Naambatanisha wala wa benki kuu wa tarehe 13.09 .2021 hapo chini
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Suala la machinga Serikali iache kujifungia na kuwaamini tu Watumishi/Wataalamu wake, iwashirikishe Wataalamu wenye elimu ya mtaani

    Nadhani inafahamika namna ambavyo kipaumbele cha kuajiri serikalini huwa ni vyeti bila kujali uwezo wa Watu hao kiutendaji. Labda ndio maana mpaka sasa bado imebaki ni mtihani mkubwa kwa Watendaji wetu hawa kuja na ufumbuzi wa nini wafanye kuhusu suala hili la Wamachinga zaidi ya kutamani tu...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanachuo umemaliza sasa karibu mtaani

    Habari zenu wapendwa... Nimeona ni vyema saana kuzungumza na vijana ambao wamehitimu masomo yao ya vyuo vikuu Tanzania. Mtaani sio pagumu saana kama utajituma na utathubutu kwa kila wazo ambalo utahisi ni nzuri na unawez kulifanikisha(si maanishi kila wazo ni zuri). SANUKA (1) JIKUBALI...
  16. E

    JamiiForums Tanzania IET na ERB zinatuangusha wahandisi

    Wahandisi tutoke vipi? taasisi ambazo zingekuwa zinatusaidia tupige hatua zimesinzia kabisa. Kazi yao ni kuandaa safari za kutalihi tu kwenye miradi. Mimi nilitegemea labda tusikie taasisi hizi zikipendekeza namna gani jamii inaweza kuwatumia wataalamu Mimi nilitegemea kusikia labda...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa serikali juu polisi. Wanachukiwa sana mtaani

    Mara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu. Wiki iliyopita nilijaza fomu la online loss report Kisha nikaenda kituo cha police kuthibitishiwa hiyo loss report...
  18. JamiiForums Tanzania Ukionewa ni sahihi kushika bunduki na kuingia mtaani kuua watu?

    Niki refer na tukio la juzi la Hamza Bado hili swala haliniingii akilini. Wapo watu wanaomtetea Hamza kwa kusema alionewa. 1. What justifies murder kwa kuwa ulionewa? Haya according to the rumors kaonewa na askari wawili. Who will pay for the blood of the other two ambao hawakuhusika. Wengi mna...
  19. JamiiForums Tanzania Rundo la vidonge vimetupwa mtaani, naenda kuwaeleza serikali ya mtaa

    Nataka nipime uwajibikaji wa serikali. toka asubuhi nimeona kuna rundo la madawa yametupwa barabarani kabisa Jambo ambalo ni hatari madawa yenyewe yanafanana na Yale ya minyoo watoto wakiyaona watadhani ni pipi sijui ndo yame expire au vipi. Me siwezi kujitolea kuanza kuyaokota sio kazi yangu...
  20. JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru larudi mtaani, watu kujipatia nakala

    Gazeti linaloongozwa na kupendwa nchini Tanzania na Afrika Mashariki hatimaye limerejea mtaani baada ya kukaa nje kidogo ya ulingo kutokana na kutoa taarifa iliyokuwa haina usahihi. Taarifa za awali zinadai katika baadhi ya vituo vya wauza magazeti katikati ya jiji, nakala ziliisha kuanzia saa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…