msosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania Wife huwa haniachii msosi wa usiku

    Heri ya jumapili nyote!! Nina kesi yangu hapa,kila nikirudi usiku sikuti chakula cha usiku,nikimhoji wife anasema eti alijua nimekula kwenye ulevi wangu. Jana nimerudi na ubao sio poa,lakini sikukuta msosi mezani. Wakuu,nafanyaje hapa?
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tujifunze biashara ya msosi ni kama ubunifu wa test

    Hii mada sikuweza kuwasilisha vizuri ila nitarudia ili kuachana na uchawi na akili za fulani kanifungulia. Biashara za misosi kitaalamu tunaita kemia ndio maana mtu anaweza kujua hii Pepsi na hii coca cola. Uwezi kwenda sehemu moja kila mtu wanapika kina fanana kama hupo gerezani. Yani leo...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mi Kataa Ndoa. Ila kama ikikulazimu Kuoa, Hakikisha shemeji Anajua Kupika. Vingine vinavumilika, ila sio msosi m’baya!

    Kichwa kimejieleza totally. Vingine vinasameheka, vinavumilika, vinasahaulika. Kasoro chakula.
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Unaupatia msosi huu asilimia ngapi?

    Umeingia zako Restaurant na kuletewa huu msosi je unaupa asilimia ngapi?!
  5. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Thamani ya TSH imeshuka huu ndio msosi wa buku nne

    Wakuu mjini pagumu
  6. Magical power

    JamiiForums Tanzania KALIBUNI MSOSI YA USIKU WAKUU

    Kalibuni fans wangu wote
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake huwaambii kitu kuhusu P2. Wanatumia Kama msosi mara Kwa mara

    MADHARA YAKUTUMIA P2 mara kwa mara Dr mwasola ✏️ P2. Emmergency Contraceptive Pills' ni vidonge maalum vinavyotengenezwa kwa lengo la kutumika kwa dharura kuzuwia mimba isiyotarajiwa ✍️P2 ni kifupi na Postinor-2, ni dawa inayotumika kwa dharula tu. Vidonge vya P2 havitakiwi kutumika kama njia...
  8. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Mtanzania na unafki ni sawa na tumbo na msosi..

    Wakuu Kwa watu wa mataifa mbalimbali wana sifa zao kila taifa.. Mathalani ukienda India aslimia kubwa ni uchafu, Ukienda China wao wanakula kila kitu kinachotembea ardhini na kupaa. Ukienda Jamaica wao wanasifika kwa matumizi makubwa ya mmea (bangi). Hivyo hivyo inakwenda kwa wabongo ambao...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Mheshimu anayekuwekea msosi mezani

    Sijui ni wanadamu wote au ni sisi wabongo ila tukubaliane Moja Kwa Moja kuwa mbongo mwenye njaa ana hasira kishenzi. Hii imekuwa kawaida mbongo kumbwatukia aliyemletea msosi kwamba,mbona wali umekaa hivi,mara hii nyama mbona kama haijaiva wakati huo hata hajala ila anaminya minya na vidole...
  10. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kujikuta mjuaji kwenye maakuli ukaongeza kiungo fulani kwenye chakula ukaishia kuharibu?

    Habari wazee wa masotojo, Moja kwa moja kwenye mada. Hii sikufanya mimi, alifanya dogo nyumbani. Alikuwa anataka kutengeza juice amazing ili aoneshe ujuzi wake. Basi akachukua maembe na pensheni freshi, akatia ka hiliki vizuri na sukari safi, sasa kwenye kuongeza madikodiko si akaweka na...
  11. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje kukaanga nyama au samaki bila mafuta kukurukia?

    Wakuu katika vitu vinanifanya nisile nyama au samaki za kuunga ni vile unavyokaanga halafu mafuta yanakurukia. Yaani unakuwa unapika sura umeweka Magharibi mkono unaogeuza mboga kwenye mafuta uko mashariki. Mimi huwa napaka unga wa ngano, lakini wakati mwingine huwa sitaki kupata ladha na...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumeleta umeme Kigoma ili kuvutia Uwekezaji

    Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kigoma, leo Jumatatu Oktoba 17, 2022 Akizindua Umeme wa Gridi ya Taifa na Uzimaji wa Jenereta katika Mkoa wa Kigoma - Kasulu Mjini. Rais Samia amesema lengo la kuleta umeme kigoma ni kuanza kuvutia wawekezaji kwenye mkoa huo ulio pembenzoni mwa nchi...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Bondia Karim Mandonga alikuwa baunsa wa kundi letu, alipenda msosi kuliko bia

    Zamani bondia Karim Mandonga alikuwa 'baunsa' wa Watu Pori, kundi la Afande Sele. Alikuwa anapenda msosi kuliko bia, kila wenzake wakiagiza bia moja naye anaagiza sahani ya chips. Afande Sele anasema Mandonga mtu wa kazi kweli.
  14. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Utalii wa msosi

    Umewahi toka matembezi ili kufuata msosi? Vitu vidogovidogo maishani vinaweza kukuletea furaha sana. Mi nilikua natoka mpaka feri. Nikifika naingia mle wanakaanga samaki. Nanunua pweza wa moto au samaki yeyote mkubwa, tena bei cheap tu. Wananiwekea kwenye bahasha. Hapo naenda beach pale nyuma...
Back
Top Bottom