msomi

  1. Jagina

    Nusu ya Agano Jipya limechakachuliwa, asema msomi wa Biblia

    Mwanaume dhaifu ameketi akiwa amefungwa kwa minyororo ndani ya seli ya gereza yenye unyevunyevu na baridi. Amewahi kuponyoka kifo hapo awali, lakini sasa anatambua kwamba kuuawa kwake kunakaribia. “Ninakwisha kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, na wakati wa kuondoka kwangu umefika,” anasema...
  2. ngara23

    BAKWATA mbona mnachelewa kumjibu msomi, jaji na Waziri mkuu staafu, Mzee Warioba

    Assalam Alyekum! Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba. Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru Njoo mpe majibu huyu Mzee Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
  3. J

    Simulizi ya maisha: KABURI LA MSOMI

    KABURI LA MSOMI. Karibuni sana wapenzi wa simulizi, leo naitambulisha kwenu simulizi hii iitwayo KABURI LA MSOMI. Ndani ya simulizi hii utakutana na visa, mikasa na matukio ya maisha kwa ujumla, vimbwenga, mapenzi wivu, usaliti, chuki na mauaji. Mwandishi anakukaribisheni kutoa maoni ushauri na...
  4. The Palm Beach

    Wakili Peter Madeleka: Siku Mange Kimambi akimamatwa, akashitakiwa na kutiwa hatiani kwa kesi hii, basi hiyo siku ndiyo YESU atarudi rasmi duniani😀

    Huyu Peter Madeleka huyu, sijui kwanini anaongea kwa mafumbo (rhetorically) badala ya kusema kwa uwazi tu ili Hamza Johari na Nassoro Katuga waelewe kirahisi🤔🤔😀😀 Fumbo mfumbie mjinga lakini mwerevu............................(malizia) #D9 #SAMIAMUSTGO
  5. The Father of All

    Msomi yoyote chawa alipoteza muda shuleni

    Usominwa kweli siyo vyeti wala shahada bali kujitambua na kuwatambua na kuwaelimisha wengine. Yeyote aitwaye msomi na akakubali uchawa si msomi wala mjinga bali mpumbavu na zwazwa wa kunuka. Tumzomee popote tumuonapo hata kumpiga mawe., Naanza na maprofedheha Paramagimbi Kabundi na Kitwila...
  6. H

    GE2025 Jimbo la Kigoma mjini limeenda kwa B.Levo imekuwaje msomi kashindwa?

    Ukweli humuweka mtu huru haya wale wasiyojua siasa na wenye mihemko ya kisiasa yako wapi msomi wenu kashindwa na amekubali kushindwa. Uongozi siyo elimu bali kipawa kutoka kwa mwenyezi Mungu ndiyo maana bado kuna watu wanawaheshimu wazee ktk maamuzi kuliko WASOMI. JIFUNZENI NA BADILIKENI...
  7. Mshana Jr

    MUGABE: Mfungwa aliyekuwa Rais msomi kuliko marais wote duniani

    Inaelezwa kuwa alikuwa ndiye Rais aliyekuwa na elimu kubwa kuwazidi Marais wote duniani alikuwa ni Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Mugabe alizaliwa 21 February 1924 kule Kutama, Southern Rhodesia (Zimbabwe) miezi michache baada ya Southern Rhodesia kuwa koloni la Uingereza. Watu wake...
  8. The Father of All

    Kati ya Profesa Kabudi na Daktari Samia nani msomi?

    Profesa Kabudi anasiika kwa kusifia marais. Alianza na Magufuli. Alipokufa amehamia kwa Samia. Ajabu Samia hamsifii kama alivyowahi kufanya Magufuli. Je kati ya wawili nani msomibkuliko mwenzake?
  9. Prof_Adventure_guide

    Msomi usikate tamaa – badilika, usibadilishwe

    Wasomi wengi wameishia kuwa na huzuni ya ndani, hali ya kisaikolojia inayoitwa existential frustration, kwa sababu waliaminishwa kuwa vyeti ni tiketi ya maisha bora. Ukweli ni tofauti – dunia ya sasa haiangalii tu cheti, bali uwezo wako wa kutatua matatizo na kuleta thamani. Elimu uliyonayo ni...
  10. W

    Bro to bro advice, Usimgeuze mke kuwa kitu alichokuwa sio, Kama ulitaka msomi, mfanyabiashara, mwanasiasa, ungemtafuta mwenye sifa hizo toka mwanzo

    Leave her kama ulivyomkuta, ukichokonoa nyaya zitazidi volti utapigwa shoti mwanamke ukimuoa mwache aishi kama ulivyomkuta usiingie mtego wa huruma au kwasababu una vijihela na connections umpeleke chuoni kuongeza elimu, kumfungulia duka kubwa, kumuingiza kwenye siasa, n.k. hatakuwa tena...
  11. JanguKamaJangu

    Wakili Msomi Aloyce Komba: Uchaguzi wa TFF hauwezi kuwa huru, kunahitajika reforms

    Wakati zoezi la uchukuaji fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania [TFF] linaendelea, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF, Wakili Msomi Aloyce Komba anasema kuna namna Kamati ya Uchaguzi inaweza isiwe huru na kuainisha sababu...
  12. Setfree

    Msomi huyu ameduwaa kusikia kwamba huoni haja ya kwenda Kanisani kesho Jumapili

    I’m really perplexed—how can any rational soul, endowed with both reason and revelation, deliberately choose domestic repose over the divine encounter that tomorrow’s sacred Sunday demands? What curious apathy, what spiritual amnesia, compels one to ignore the sacred rhythm of worship appointed...
  13. SankaraBoukaka

    Msomi Unapataje Muda wa Kulumbana na Wanasiasa? Heche Yuko Sahihi. Tunazalisha Mabingwa wa Kukariri

    Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka. Vijana machawa walijikusanya na kutoa majibu kwa kauli hiyo, wakidai kuwa amekosea na kuidhalilisha Elimu ya Tanganyika. Na...
  14. Right Marker

    Kipimo cha Msomi wa Afrika ni Kiingereza

    Huku Afrika hata kama unaweza kuzungumza lugha ya kabila lako na lugha 10 za mataifa mbalimbali isipokuwa Kiingereza, Utachekwa. Hata kama unazungumza vizuri Kiswahili, Kihindi, Kiarabu, Kichina, Kithailand, n.k - lakini ukishindwa kuzungumza Kiingereza nchi nzima watakucheka. Watakucheka...
  15. Tlaatlaah

    Naona kama ni fedheha kwa msomi kukaa bungeni muhula mzima bila kuteuliwa waziri japo sio lazima wala muhimu na jimboni pakiwa pakavu tu hakuna kitu

    Yaani watu wa kawaida tu bungeni wanafanya kazi nzuri kwenye majimbo yao, wanafanya kazi nzuri wanapopewa dhamani serikali kuu, wanahamishwa kutoka wizara moja kwenda nyingine, huku wasomi na ubobevu wao wakishindwa hata kua na ushawishi wa kua wenyevikiti wa kamati za bunge, na jimboni pake...
  16. M

    Tundu Lissu ni msomi mzuri lakini hana maarifa hata kidogo

    Ndio maana ameogopa kukutana na gwiji wa siasa nchini Steven Wassira, Lissu ukiondoa sheria ambako nako ni wa kawaida sana lakini hana maarifa ya kijamii.Yeye ameng'ang'ania sheria tu mwanzo mwisho, watu wanajaa kwenye mikutano yako sio kwamba wanakupenda bali wanataka kukuona hali yako tangu...
  17. Pascal Mayalla

    Hakuna Ubishi Kuhusu Wasomi Kusoma VETA!, Kila Msomi Anayeendesha Gari, Udereva ni Ujuzi wa VETA, Hivyo Hakuna Ajabu Wasomi Kusoma VETA!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu katika gazeti la Nipashe la leo. Paskali
  18. EvilSpirit

    Kuna msomi wetu yeyote wa Computer Science amewahi hata kutengeneza simple computer games kama hizi?

  19. Kipenzi Changu

    Force Account: Darasa laporomoka Same, lajeruhi 30

    Wanafunzi 30 pamoja na Mwalimu mmoja wa Shule ya Sekondari, Tumaini Jema, iliyopo Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya jengo moja la darasa walilokuwa wakisomea kuanguka kutokana na upepo mkali. Wanafunzi hao pamoja na Mwalimu wanaendelea kupatiwa matibabu katika...
  20. Messier 31

    Mwanamke msomi ni faida kwa ndugu zake na sio mume

    Bro, chukua hii. Usijidanganye huyo mwanamke msomi na mwenye kazi uliyeoa kwamba hiyo elimu na kazi yake itakuwa na faida kwenye ndoa yenu Bro, wanawake ni wachoyo na wabinafsi kupita maelezo, huo mshahara wake utaenda kwa wazazi na ndugu zake, kinachobaki atakitumia kwenye vipodozi, nguo...
Back
Top Bottom