msimbazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Bodaboda ni kero kubwa na chanzo cha ajali kwenye Zebra ya Msimbazi Kariakoo ambazo zimefutika

    Mamlaka za Jiji kwa kushirikiana na Kitengo cha Usalama Barabarani (Polisi) waangalie kwa jicho la tatu namna Bodaboda wanavyotumia vibaya kipande cha Mwendokasi eneo la Msimbazi la Kariakoo, Dar es Salaam. Bodaboda wamekuwa kero kubwa na kusababisha ajali za mara kwa mara kwenye njia hiyo...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Taka zimemwagwa Mtaani Msimbazi B, hii ni hatari sana kwa Watumiaji wa Soko la Kariakoo

    Hali halisi ya Mtaani wa Msimbazi B Kariakoo Kwa hali hii watu tutaacha kupata magonjwa ya tumbo, kuhara au hata kipindupindu? Uongozi wa Soko hauoni hii hali na kushughulikia?
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchimbaji mchanga mto msimbazi unazidi kuleta athari kubwa kwa wananchi. Je, kwanini serikali inatoa vibali vya uchimbaji mchanga mto msimbazi?

    Ili hali makazi ya wananchi yanazidi kupotea? Kaya nyingi kwa sasa zimekosa makazi. Kabla ya uchimbaji mchanga hakukuwa na madhara yoyote.
  4. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji Wa mchanga ndani ya mto Msimbazi Ulongoni B

    Wakuu Habari za uzima? poleni na harakati za kuendelea kulijenga Taifa letu. Kuna jambo nahitaji kuliandika hapa ili wenye mamlaka watusaidie kutupa ufafanuzi. Kwa muda sasa wakazi wa Ulongoni B Karibu na darajani mtakubaliana na mimi kumekuwa na gari aina ya kijiko kikichimba mchanga ndani ya...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Tumelipa fidia Msimbazi, bomoabomoa imeanza

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema tayari bomoabomoa imeanza na inaendelea pembezoni mwa Mto Msimbazi ukianzia Jangwani ambapo amesisitiza kuwa zitabomolewa nyumba nyingi kwakuwa tayari Wakazi wengi wamelipwa fidia. Akiongea Jijini Dar es salaam leo, Chalamila amesema...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema Wananchi 2,102 wanaanza kulipwa fidia ya kuhamishwa Bonde la Mto Msimbazi

    Mratibu wa Miradi ya Ushirikiano kati ya Benki ya Dunia na TARURA, Eng. Humphrey Kanyenye amezungumzia kinachoendelea kuhusu mchakato wa mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Mto Msimbazi Jijini Dar es Salaam. Anasema “Tulianza zoezi la maandalizi ya Mradi huo muda kidogo na ili mchakato ukamilike...
  7. ras jeff kapita

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI mbona mnachelewa kufidia watu wa bonde la mto Msimbazi?

    Kwenu tamisemi. Serekali imeshaweka nia na kutenga fungu mahususi kwa ajili ya fidia ya wakaazi wa bonde la mto msimbazi. Ni wazi kwamba wakaazi wengi wasiokuwa na hati (squatters) wamefidiwa flat rate shs mil 4. Pamoja na fidia ya majengo. Pale kwenye bonde kuna hati nane(8)ambazo serekali...
  8. Dr Shekilango

    JamiiForums Tanzania Serikali ibadili mchoro wa Daraja la Jangwani mto msimbazi

    Nimeona Waziri wa TAMISEMI anasema kero ya mto msimbazi itatuliwa kwa miaka 100 ijayo! Ila iko hivi; Eneo la Jangwani ni muhimu sana kwa muonekano wa Jiji la Dar Es Salaam, Pamoja na serikali ya Rais Samia kukosa maamzi, ni serikali isiyofanya maamzi kwa muda na yenye watendaji wavivu sana...
  9. Lole Gwakisa

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu fikirini nje ya box, mto Msimbazi unawaumbua!

    Viongozi na wafanyakazi wengi serikalini wana sifa ya kutokuwa wabunifu. Mara nyingi kama si zote, wana react kwa matukio, na wako nyuma ya ku pre empt matukio. Agenda ya maendeleo kazi yake ni kuboresha maisha kwa kuyafikiria matukio yanayoweza kutokea baadaye. Mto Msimbazi ni moja ya...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi na Daraja la Jangwani tungewapa Waholanzi Watujengee

    Nimefurahishwa sana kusikia Waholanzi ndo waliotoa fedha za ujenzi wa Daraja la Jangwani. Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua na kujifungwa yenyewe. Sio hivyo tu wale jamaa nadhani ndo namba moja duniani kwa uwezo wa kujenga...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

    Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Serikali itaanza kuwalipa wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi Tsh. Mil 4 kila mmoja kama sehemu ya fidia ili wahame eneo hilo. Malipo haya yataanza kufanyika kuanzia Novemba 16, 2023. === Hisia mchanganyiko za wakazi wa bonde la Mto Msimbazi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Benchika njoo utuletee mpira wa kasi ndani ya Msimbazi

    Karibu kocha mpya wa simba na nakutakia mafanikio katika safari yako ya kuja kulibadilisha soka la simba kutoka kuwa soka la konokono (polepole) na kwenda kucheza mpira wa kisasa wa kasi kubwa. Usiwachekee wachezaji ambao hawataki kuvuja jasho uwanjani.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wanaopewa fidia ili wahame bonde la Msimbazi, itawatosha kununua kiwanja na kujenga?

    Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga? Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)? NOTE: FIDIA NI HURUMA YA RAIS TU Kinadharia hata wasingepewa kwa mujibu ya watoa hela. Vipi...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Mkazi: Siondoki Bonde la Msimbazi bila fidia ya angalau bilioni moja

    Wananchi wanaoishi bonde la Msimbazi waliokumbwa na mafuriko wametoa maoni yao baada ya Rais Samia kutangaza wapewe fidia huku ya ardhi ikiwa milioni nne huku jumla wengine wakipata jumla ya milioni sita wakihoji wanaenda kufanyaje ili wapate kiwanja na nyumba huko wanapoenda. Kijana mmoja...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wanaopisha Ujenzi Bonde la Msimbazi Waanza Kulipwa Leo

    Serikali imesema Wananchi 2,400 wanaopisha uendelezaji Bonde la Msimbazi tayari wameanza kulipwa fidia zao leo, hatua hii inakuja baada ya jana Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa kuongea na Wananchi wanaoathiriwa na uendelezaji wa Bonde hilo kwenye eneo la Jangwani jijini Dar es salaaam na...
  16. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania So, what happened to the Tz5oo Billion World Bank loan to transform the flood-prone?

    In October 2022, the World Bank announced the approval of new financing worth $200 million (more than TZS 500 billion) for the Msimbazi Basin Development Project in Tanzania's commercial hub Dar es Salaam. According to the World Bank, the loan was expected to help reduce the flood exposure of...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mwendo Kasi Msimbazi ni mateso makubwa sana

    Wadau, Tuko kituo cha Msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi. Tumekaa kama masaa 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300. Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nini?
  18. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Nionyeshe picha kama hii kutoka msimbazi niwaonyeshe mbuzi anayetaga

  19. nguvumali

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji wa michanga mto msimbazi

    Leo nilipokea wito wa kuitwa kituo kikuu cha polisi cha stakishari , Nikapita njia ya Segerea senior Seminary, wakati navuka mto msimbazi nikakuta maroli zaidi ya 7 yanajaza mchanga toka mtoni hapo. Nikaangalia kwa masikitiko sana , huu uharibifu wa mazingira unaweza kuzua shida kubwa mbeleni...
  20. 101 East

    JamiiForums Tanzania Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

    Habari za awali: Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana, unaunguza maduka ya wafanyabiashara Kariakoo karibu na kituo cha mafuta cha Bigbon Msimbazi, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea jitihada kudhibiti moto huo, huku wafanyabiashara wakiendelea kuokoa...
Back
Top Bottom