Na sabasaba imevurugwaSalam.
Je, ninani mshindi kwenye hili?! Ni yule alieitisha maandamano na (hayakutokea), au serekali iliyo apa kuzuia maandamano na (hayakutokea).?
KUMBUKA: serekali imetumia gharama kuzuia,
Alieitisha maandamano hajatumia gharama yeyote..
Amani iwe nanyi.
Imetumia kodi zako, hakuna gharama yoyote waliyoingiaKUMBUKA: serekali imetumia gharama kuzuia,
Hii Kenya leo
Na huko pia wamepigwa pini walitaka kuandamana
View attachment 3624601
View attachment 3624602
View attachment 3624603
View attachment 3624604
View attachment 3624605
Loading…
www.theaustralian.com.au