Siku ile Serikali inatangaza kuongeza mshahara walisema wanaongeza 23.3% kwa kima cha chini

Wazolee

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
2,699
3,083
Uhuru wa kuongea ukizidi sana unachafua hali ya hewa.

Serikali ilisema itaongeza mshahara kwa 23.3% kwa kima cha chini na hao watumishi wa kima cha chini wote wamepata hiyo 23.3% sasa shida ipo wapi?

Yani serikali inashindwa kusimamia msimamo wake inabaki ujiumauma tu Mara vikao sijui Mara vikao na TUCTA mlisema na mmefanya mlichokisema simamieni mlichokisema na mlichofanya sasa vikao vya nini?

Au mlisema mtaongeza 23.3% kwa watumishi wa kima cha juu cha mshahara?
 
Naunga mkono hoja yako. Serikali isimame hapo hapo. Kinacholeta kelele ni kwamba serikali imepiga wakubwa ikainua wadogo ndo maana makelele yamekuwa juu. Mbona sisikii anayetetea kima cha chini angalau kiwe laki 5?
 
Back
Top Bottom