mshahara

  1. JamiiForums Tanzania Dharau: Mshahara wa Mgunda + Matola haufikii nusu ya mshahara aliokuwa akilipwa Benchikha

    Hii ni dharau, pili mshahara wa Benchikha ulitoka kwa mmiliki wa club ya Simba yaani Mo (alisema kainunua na hajawahi kufuta kauli yake), mishahara ya Mgunda na Matola inatokana na mapato ya club, yaani ikitokea watu wamechelewesha kodi kwenye lile jengo lao, au wanachama wamesusia kulipa ada...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara bora watumish wote wahamie Zanzibar

    Kwa hiki kinachoendelea pole sana watumishi wa umma, haiwezekani mtumishi no. 1 akashindwa kufika kwenye siku ya WafanyaKazi ambayo yeye ni mwenyekiti na ni mwajiri wa watumisho yote. Halafu Cha ajabu wawakilishi wake wanatoa majibu mepesi kwenye maswali yanayohitaji majibu sahihi. Mbona Mh...
  3. JamiiForums Tanzania Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

    Fuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024 https://www.youtube.com/live/ou5SjfKQdUs?si=ZGhP6q5GsAM4R5SS Maadhimisho haya yamehudhuriwa na Makamu wa Rais, Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi mnapata wapi ujasiri wa kuoa mke mwenye mshahara?

    Nawauliza kwa wema tu nyie wanaume wenzangu. Huo ujassiri wa kuoa mke mwenye mshahara mnautoa wapi? Sababu zenu ni dhaifu eti maisha kusaidiana, au ukifa watoto wasiyumbe. Ahahahah Nyie si ndio mnasogezewa maji ya kunawa kwa mguu🤣🤣🤣 Kama kusaididiana mbona kasi ya maendeleo kati ya familia zenu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi CHODAWU hawajalipwa mshahara tangu Oktoba 2021

    Habari, Wafanyakazi wa Chama cha Wafanyakazi wa Majumbani, hifadhi, hotelini, huduma za jamii na ushauri (CHODAWU) hawajalipwa mshahara tangu October 2021. Wafanyakazi wana wakati mgumu sana wa maisha. Watu wamefika umri wa kustaafu ila wamebaki ofisini kwa sababu hawajalipwa mshahara na pesa...
  6. JamiiForums Tanzania Vipi mshahara wa Aprili tayari? Nina jambo langu

    Nauliza tu wazee, Nimecheki kwangu CRDB naona maluelue tu hamna fedha. Vipi kwenu tayari?
  7. JamiiForums Tanzania Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

    Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM. Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Programme Meneja -Ubalozi wa Uingereza Mshahara 5.5M kwa Mwezi

    Job Category 1 Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles) Job Subcategory 1 Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles) Job Description (Roles and Responsibilities) 1 Main purpose of job: BHC Tanzania is looking for a programme manager to work within the...
  9. JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma tulionyimwa mshahara wa Machi kwasababu ya PEPMIS tumeumaliza mwezi salama, hatujawa ombaomba

    Hello! Serikali ilikosea sana kutunyima mshahara wa Machi baadhi ya watumishi wa umma kwasababu ya kutokukamilisha PEPMIS. Nikiri kuwa kazini kwetu hakuna aliyepata semina wala kidudu gani, tuliwekewa tu tangazo Whatsapp tujiunge wenyewe. Mimi binafsi niliona simple nikajiunga nikaona mchezo...
  10. JamiiForums Tanzania Kuongezewa Mshahara

    Habarini wanajukwaa, Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu kwa elimu ya ngazi ya degree kwa mwaka 2021. Mwaka 2022 nilibahatika kupata kazi katika kampuni moja ya BINAFSI ambapo nilipita kihalali katika nafasi moja ya kazi ilokuwa inahitaji watu sabini na kitu hivi. Katika tangazo lao la kazi...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nilishangaa kusikia Rais wa Marekani hukatwa gharama za chakula na mavazi kwenye mshahara wake

    Sikuawahi kulijua hili. Kuna ndugu yangu anaishi USA 🇺🇸 kaniambia Rais wa nchi hiyo hahudumiwi bure labda ulinzi na usafiri na mambo mengine machache. Chakula na mavazi Rais hujinunulia kwa mshahara wake au kuchukua kwa bili na mwisho wa mwezi hukatwa na muuzaji pia hukatwa kodi.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

    11 April 2024 Dar es Salaam, Tanzania (Google translator) Mchengerwa hands over Tshs. 50,000,000 from his salary to help the Rufiji people affected by floods in the River Rufiji delta Member of Parliament for Rufiji constituency Hon. Mohamed Mchengerwa hand over Tshs 50,000,000 (over...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Shabiby analipa kodi yoyote kwenye mshahara na posho zake?

    Shabiby ni moja ya wabunge mabepari ambao wamekwama kabisa kufikiri. Yeye ndiye anayeongoza kushawishi nauli zipande , ndiye aliyesababisha hasara kwenye ujenzi wa reli kwa kulipwa mabilioni kubeba wafanyakazi na hakulipa kiasi chochote cha kodi wala kuwalipa wafanyakazi vibarua malipo ya mifuko...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiwa mtumishi wa umma hakikisha kila wiki unatengeneza fedha sawa na mshahara wako wa mwezi mmoja

    Huu ni ushauri tu kwa watumishi. Kutokana na kupigwa na vitu vizito kichwani kama vile Sheria mpya za kikokotoo, na danadana za ongezeko la mshahara pamoja na serikali kushindwa kukopesha watumishi wake bila riba au kwa riba isiyozidi 5% napenda kuwashauri watumishi wa umma wahakikishe chini juu...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwanini ukimtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la 10% kutoka katika Mshahara wako huku ukiwa na Furaha nae hukubariki maradufu?

    Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni...
  16. JamiiForums Tanzania Nimepandishwa cheo hapa JF Mshahara wangu utakuwaje?

    Kipindi najiunga JF nilianza na cheo cha member, hata mwisho wa mwezi haujafika tayari wamenipromote kuwa Senior Member. Je ifikapo mwisho wa mwezi ntapata mshahara wa cheo cha awali au cheo kipya? Je, madaraja ya mishahara yakoje?
  17. JamiiForums Tanzania Viwango vya mshahara vya TNPSS ndio vikoje?

    viwango vya mshahara vya TNPSS B ndio vikoje najaribu kutafuta naona zingine zingine! Mzoefu anisaidie
  18. JamiiForums Tanzania Licha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka

    Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda. Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu. Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali lipeni mshahara wangu wa Machi

    Serikali kwa tafsiri isiyo rasmi ni viongozi wenye mamlaka ya kutoa maagizo kwa ngazi ya kitaifa. Kazi tumefanya, issue ya error ndogo ndogo kwenye mfumo isiwe sababu ya kutunyima pesa. Kuna watumishi wawili kazini nawajua hawajajisajiri kabisa kwenye huo mfumo lakini mshahara wamepata. Mimi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Posho na mshahara wa mbunge, usizidi milioni 5 Kwa mwezi

    Salaam, Shalom!! Niliwahi kuandika thread isemayo, Wabunge wafanyabiashara matajiri wanasimamia Maslahi ya nani bungeni? Haijaisha miezi SITA tangu kuandikwa thread hiyo, tayari Kuna tetesi kuwa Wabunge wamejiongezea posho na marupurupu Yao Kutoka ml 13 Hadi ml 15 Kwa mwezi. Mbunge anayeona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…