Nani anamuelewa huyu msanii Grand P?

Dogo GSM

Member
Jul 31, 2021
65
125
Naimani mko buheri marafiki,

Naomba mwenye kuweza kuweka CV au taarifa za kina zitazofanya sisi wengine wa ukanda wa Afrika mashariki huku tumjue huyu bwana.Jamaa namfahamu kama msanii mwenye pesa ndefu sana na anaekubalika sanaa huko GUINEA sababu huwa naona huko u-tube anavyotrend kwa views nyingi na anavyoshobokewa na masister wa huko pia anaheshimika sana kwa ujumla wake.

Nimejaribu kufuatilia nyimbo zake huko u tube kiukweli sijaona anachovutia kabisa huyu bwana kuanzia sauti yake.Hata kucheza kwake jamaa anaenda vice versa na beat.ila vibe analopata si la Afrika.

Mwenye kumjua zaidi kwa kilicho chini ya uvungu kuhusu mafanikio ya huyu bwana aweke hapa sbb mi sjaona Cha maana.
FB_IMG_16278249335473014.jpg
FB_IMG_16278249536755404.jpg
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,052
2,000
Gran P (Sio Grand P) ni msanii wa muziki huko Guinea, mwenye mafanikio sana kupitia kipaji chake cha muziki.

Msanii huu alizaliwa kiwa na ulemavu kama anavyoonekana ni ule ulemavu wa mtu kuonekana na umri mkubwa kuliko umbile lake.

Alikuwa msanii tokea kitambo, ila alipata umaarufu zaidi nchi za nje na mitandaoni (Haswa instagram) pale alipoanzisha uhusiano na mwanadada (Euxodie Yao ) mrefu na mwenye umbo kubwa kuliko yeye, mwanadada huyo aliyetokea nchi jirani na Guinea , nchi ya Ivory coast.
 
Itovanilo

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
1,515
2,000
Kwa hio tumuweke kwny royal tour ya mama?
Sitaki kusema mengi,ila ni kwamba Dunia imebadilika Sana,yaani katika ulimwengu huu,ukitumia kasoro flani na kuzigeuza fursa basi unapiga Hela

Hebu fikiria,mtu anavuta unga kwaajili ya starehe yake,mwisho wa siku akiharibikiwa zipo soberhouse kwaajili ya kuwasaidia

Yaani mtu aliyejiumiza makusudi,
sembuse hao wenye ulemavu wa kuzaliwa
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
8,890

Na mashoga wanadai Haki zao na wakapewa kweli,dunia hadaa.
 
Dogo GSM

Member
Jul 31, 2021
65
125
Gran P (Sio Grand P) ni msanii wa muziki huko Guinea, mwenye mafanikio sana kupitia kipaji chake cha muziki.

Msanii huu alizaliwa kiwa na ulemavu kama anavyoonekana ni ule ulemavu wa mtu kuonekana na umri mkubwa kuliko umbile lake.

Alikuwa msanii tokea kitambo, ila alipata umaarufu zaidi nchi za nje na mitandaoni (Haswa instagram) pale alipoanzisha uhusiano na mwanadada (Euxodie Yao ) mrefu na mwenye umbo kubwa kuliko yeye, mwanadada huyo aliyetokea nchi jirani na Guinea , nchi ya Ivory coast.
Nakubali mkuu..but umefuatilia vionjo vya muziki wake?
 
Juma1967

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
17,919
2,000
Gran P (Sio Grand P) ni msanii wa muziki huko Guinea, mwenye mafanikio sana kupitia kipaji chake cha muziki.

Msanii huu alizaliwa kiwa na ulemavu kama anavyoonekana ni ule ulemavu wa mtu kuonekana na umri mkubwa kuliko umbile lake.

Alikuwa msanii tokea kitambo, ila alipata umaarufu zaidi nchi za nje na mitandaoni (Haswa instagram) pale alipoanzisha uhusiano na mwanadada (Euxodie Yao ) mrefu na mwenye umbo kubwa kuliko yeye, mwanadada huyo aliyetokea nchi jirani na Guinea , nchi ya Ivory coast.
Guinea ipi? Guinea Conakry? Equatorial Guinea or Guinea Bissau?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom