msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chuo gani Zanzibar kinachotoa Degree ya saikolojia

    Je Chuo gani Zanzibar kinachotoa Degree ya saikolojia nimesoma HKL je nitakubaliwa mwenye experience naitai msaada
  2. JamiiForums Tanzania Ommy Fitness: Kukimbia ni zoezi baya sana lisilofaa kufanywa. Halina msaada

    Kwa mujibu wa huyu mtaalamu wa mitandaoni KUKIMBIA ni zoezi baya sana lisilofaa. Sababu aliyotoa ni kuwa mbona wanyama hawafanyi mazoezi ya kukimbia na wana spidi kali kuliko sisi?.. Unakubaliana naye? https://www.facebook.com/share/v/1ZnKNHuYMT/
  3. JamiiForums Tanzania Aliyefanikiwa kutumia Dawa za kuongeza Uume, nahitaji msaada

    Aliyewahi tumia dawa za kuongeza uume na kufanikiwa nahitaji anipe recommendation. Kama hutaki kucomment unaweza kuja PM Kama hujawahi tumia tafadhali achana na hii thread 🀣🀣 Ushauri wa kipuuzi sihitaji. Side effects nazijua kwahyo sitaki comment zakijinga
  4. JamiiForums Tanzania Sheikh Matimbwi hizo Tende za Msaada umezibinafsisha unakula wewe na familia yako tu. Huo ni Ukorofi

    Hili tatizo la ulafi litaisha lini? Tende zimetolewa msaada toka Uarabuni. Sisi hizi ndo zinatufanya tutembee tukisema tumefunga ili tuje zipata. Wewe unakula tende na wake zako na watoto. Unanywea chai, unalia ugali. Si sawa. Hizo tende walitakiwa wapate watu wote. Zigawiwe msikitini hapo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nipo Chuo, najijenga kiuchumi lakini mahusiano yananipiga Chenga, msaada!

    Hofu yangu kubwa ni kuendelea kukaa single naona kama sijakamilika bila kuwa kwenye mahusiano wala kuwahi kuchakata mbususu hadi namaliza, naamini kuna jf experts mliowahi kuvuka hii hatua naombeni muongozo. Ahsanteni sana.
  6. JamiiForums Tanzania Trump aomba msaada kwa mataifa waungane kupigana na Iran kupita Homuz, mataifa nengi yamekataa

    Wanaukumbi. Trump anataka mataifa yaungane washirikiane na Marekani kupeleka majeshi Iran wakapigane kupita mlango wa Homuz Japan imekuwa ya kwanza kukutaaa. Trump alianzisha vita ambavyo sehemu kubwa ya dunia ilikuwa dhidi yake, na sasa anaomba China, Uingereza, Ufaransa, Japan na Korea...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba ya tatizo la kushindwa kubana mkojo

    Habari za uzima wana JF! Mpenzi wangu amepata changamoto ya kiafya hivi karibuni. Hawezi kubana mkojo hata kwa dakika moja, ile feeling ya kukojoa ikifika mkojo unatoka wenyewe tu, hawezi kuuzuia. Hii changamoto ni nini, na inaweza kutatuliwa vp?
  8. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S

    Habari zenu ndugu zangu, Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S anisaidie ndugu zangu. Nina miaka 29 Nina mafunzo ya JKT - Miaka miwili (volunteer). Uwezo wa kutumia silaha. Elimu - Shahada ya kwanza Nazungumza Kingereza fasaha. Uzoefu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wenu kuhusu PEP ( dawa za kuzuia ukimwi baada ya ngono)

    Wanazengo nimemvaa mwanamke mmoja ila na wasiwasi sana na mbaya zaidi nilipiga kavu. Kwa mwenye ufaham hivi zile dawa za kuzuia maambukiz baada ya kupiga demu mweny ugonjwa yaan PEP zinapatikana kweny hii hospital ya sinza Palestine???
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa kwa anaejua!

    Wakuu wa JamiiForums natumai hamjambo wote humu!kama kuna mwenye changamoto kama mimi basi Mungu ampe uponyaji.Amina! Kwa miezi ya karibuni nimekuwa nikisumbuliwa na kinyama kinashuka kutoka njia ya haja kubwa hata sijui ni ugonjwa gani?wakati kama nimesimama muda merefu au kutembea kwa muda ndo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada nimeambiwa mkojo una protein3+,na leu2+ nimeambiwa ni uti

    Habar wakuu nimeambiwa Nina UTI nimepewa dawa amosclave na Panadol nin nifanye kutoa protein kwenye mkojo na dawa ipi sahihi kwa UTI kali
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wananikataa, nifanyaje ?

    Wasalam Wana JF Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 27 katika harakati zangu zamaisha nimeshakua na mahusiano na wanawake tofauti tofauti na swala la kuchakata lilikua siolakuniumiza kichwa. Mwanzoni mwa mwaka uliopita nilibadili makazi ya utafutaji na mwanamke niliekua nimemweka kwenye malengo...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada

    Kuna hii datting site inaitwa bibo mwenye uzoefu nayo wanatumia mfumo wa credit(coin) aisee credit inaliwa kama maji. Na madem nawaona ni wengi mpaka najiuliza ni watu halisi au ni marobot japo lugha inayotumiaka kiswahili. Mbaya zaidi ukijaribu kufupisha stori ukaomba namba text aiendi Kama...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima msaada wako huku Arusha na hii kesi na ndugu wapewe funzo kupora mali za wajane

    MAMA YETU GWAJIMA SHIKAMOO POPOTE ULIPO KWANZA NIKUTAKIE HERI YA SIKUKUU YA WANAWAKE BORA KTK NCHI HII KUTOKEA UONGOZINI NISIKUCHOSHE NAJUA UKO KTK SHAMRA SHAMRA BADO TUNAOMBA MSAIDIEN HUYU MDADA MJANE MUMEWE KAFIA..NDUGU WAMEPORA HELA ZA MCHANGO NA SASA WANAPORA NA MADUKA NA NYUMBA MBAYA...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ushauri wa kisheria juu ya mgogoro huu wa ardhi

    Habari ndugu zangu. Kuna ndugu yangu ana nyumba huko Mbezi Msakuzi. Leo wameitwa na mwenyekiti wa mtaa na kuelezwa kuna mtu amekwenda ofisini kwake akamueleza anaomba ampatie barua ya kufufua mipaka ya eneo lake. Kwa maelezo ya mwenyekiti, mama huyo anadai mumewe alinunua eneo mwaka 1989 na ana...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ipi ni nzuri ya hospitali ya kukausha uvimbe wa mguu baada ya kuparuliwa na paka? Chanjo ameshachoma.

    Wasalaam aleykum, Twende kwenye mada, Nina mdogo wangu aliparuliwa na paka wiki mbili zilizopita, baada ya hapo tukamchoma chanjo zote za za kuzuia athari ya kung'atwa na wanyama pale hospital... Lakini hadi sasa ameendelea kutumia antibiotics mbali mbali, mguu haupungui uvimbe! Uvimbe...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka jinsi ya kupika Vinamba

    Habari Wamama naomba mnielekeze jinsi ya kupika Vinamba please πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ Monetary doctor
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wairan wanafurahia msaada wanaopewa, Wanafurahia viongozi wao kuuawa, Ina maana sisi wengine ndio tunaijua Iran kuliko raia wa Irani ?

    Nimebaini kuwa kuna kundi kubwa la watu wanaoegemea upande wa serikali ya Iran, huku wakipuuza au kutozingatia kwa kina matakwa ya sehemu kubwa ya raia wa Iran wenyewe. Serikali imenyanyasa sana wairan ikiwemo tukio la kikatili la kuzima internet na kuua wairan zaidi ya elf 40, huku baadhi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wachawi wa nchi hii naombeni msaada wenu

    Kila nikiwaza hatima yangu na ya taifa langu naona njia nyingi haziwezi kutuletea suruhu Mfano njia za Kisayansi/teknolojia Sisi kama taifa bado tupo nyuma sana hatuna mbinu Bora za kisayansi za kutuwezesha kutatua changamoto zinazotukabiri, Kisiasa/kidemokrasia Kwenye siasa naona...
  20. JamiiForums Tanzania Watu wameguswa na msiba wakatoe msaada

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…