msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Foleni ya mapenzi haiendi, haisogei, shida iko wapi?

    Hii ni kwa wale ambao 1. Wako single Ivi jaman mlio singo mnaona kama mnaelekea kuingia kwenye mahusiano kweli?? Mnaonaje foleni ya kukaa kuwa singo inaenda au haiendi? 2. Mlio kwenye mahusiano Mnaona kama mahusiano yanasomeka kweli au mauza uza? Unaona unaolewa soon au hamna kitu? Ushafumania...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Chachu yangu ni kupata nafasi ya kudumu sekta ya afya ili niendelee kutoa huduma kwa wagonjwa

    Mimi ni kijana ninayejitolea katika moja ya hospital hapa nchini katika kitengo cha mapokezi kwa miaka zaidi ya sita napenda hii kazi ya kuhudumia wagonjwa, changamoto yangu sina uhakika wa ajira kwa hapa nilipo kwa yoyote mwenye mawasiliano hata email ya waziri wa afya tafadhali anisaidie...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimefungiwa Whatsapp account yangu

    Habari wanajamvi Ninaomba Msaada juu ya kufunguliwa Kwa account yangu ya whatsapp iliyofungiwa burned Natumia whatsapp messenger Pelee na sikufanya chochote Kama forwarding SMS wala majibizano na mtu inaandika hivi Msaada tafadhari
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa "User Manuals" kwa ajili ya uhamisho wa waajiriwa/kubadilishana kituo kupitia ESS

    Wakuu..!! Kama mnavyojua sasa Serikali ipo kiganjani kwa kuthibitisha hilo, kwa upande wa utumishi wa Umma mambo yote ya kiutumishi yanafanyika kupitia mtandao(ESS). Hivyo basi nimejaribu kufungua/kupakua "user manuals" zinazohuhusu uhamisho wa watumishi ila mfumo unagoma. Bila shaka humu kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kujua title ya movie hii

    Kuna movie niliangalia miaka mingi kidogo kama 25 iliyopita kuna kijana alimchumbia mwanamke aliyekuwa na uhusiano na baba yake nafikiri yule mchumba wake alikuwa anafanya kazi ofisi ambayo baba yake huyo kijana alikuwa akifanya. Sasa mwisho wa siku kuna watu walimlengesha yule kijana bila...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada hii dawa naweza ipata wapi? Kwa hapa Dar na inauzwa bei gani?

  7. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kuua magugu kweye shamba la mahindi

    Nitumie dawa gani ambayo itaua magugu yote ndani ya shamba la mahindi na kuacha mahind intact (selective one)
  8. JamiiForums Tanzania MSAADA: Utaratibu wa kisheria wa kulipwa fidia na Bima unapopata ajali kama abiria kwenye chombo cha usafiri.

    Habari wanajukwaa, Naomba kujua utaratibu wa kufuata kuclaim fidia unapopata ajali kama abiria katika chombo cha usafiri. Ajali hiyo imemgarimu sana ndugu yangu matibabu na pia imempelekea kupata ulemavu wa kudumu. Je ni utaratibu gani afuate ili aweze kulipwa fidia? Natanguliza shukrani.
  9. JamiiForums Tanzania Nimetuma pesa kwa Wakala asiyestahili, naombeni msaada wa jinsi ya kumfikia

    Naomba msaada anaeweza kunisaidia kumfikia wakala huyu VODACOM LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506 Nililipia bidhaa nikakosea namba moja nikalipa kwake. Nimekosa msaada huduma kwa wateja hivyo kabla ya kuchukua hatua zaidi naomba anaeweza kumfahamu anisaidie wadau. Umetuma TSh 135,000...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom wameniibia hela yangu msaada tafadhali

    Mimi ni wakala wa voda na mitandao mingine pia kwa kutuma na kutoa hela Leo nipo ofisini kuangalia kamisheni yangu nikakuta zaidi ya 50 elfu imekatwa Moja kwa moja nikawasiliana na huduma kwa wateja kitengo cha mawakala nikawaambia mbona mmepunguza kamisheni yangu. Wakaniambia wasiliana na...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kwa mafundi wa kupaua nahitaji msaada wa haraka

    Wanabodi Salaam, Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba, Nyumba ina urefu wa mita 11 na upana wa m 9. Baraza ya mbele na nyuma zina upana wa mita 2.2 na urefu...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo gani naweza soma online?

    Wakuu kama heading inavyosomeka, Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako. Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni kuanza foundation course mpaka nipate PhD ya Computer science. Karibuni tutete jambo hapa. Sonko...
  13. JamiiForums Tanzania Waathirika wa mafuriko Rufiji wapokea msaada kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA)

    Wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani Rufiji wameiona thamani na umuhimu wa uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA baada ya leo Aprili 16, 2024 kupokea misaada mbalimbali kutoka kwa taasisi hiyo yenye thamani ya shillingi millioni 20 ikiwemo tani 6.4 za unga wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuweza kufanya recover wa taarifa katika simu yangu

    Habarini ndugu zangu Niende kwene mada,nina simu yangu ambayo kutokana na uwezo wake kuwa mdogo niliamua kununua memory card Ili niweze kuongeza storage katika simu yangu.Nilipoweka hio memory card katika simu yangu niliiset kama internal storage hivyo baadhi ya taarifa kama picha...
  15. T

    JamiiForums Tanzania CV Clinics: Msaada wa kuandika CV

    Habari wana JF Katika harakati za kusaka ajira, au kibarua au kujitolea, katika mashirika, taasisi, kazi za serikali au makampuni binafsi , kitu muhimu kitakacho kuuza kiufanisi ni wasifu wako wa kazi au Curriculum Vitae inayojulikana kama CV yako. Hii ndio zana muhimu yako itakayokuwezesha...
  16. JamiiForums Tanzania Ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana

    Wasalaaaam Ndugu, jamaa na marafiki Naamini mpo salama na majukumu ya kujijenga kiuchumi na kijamii yanaendelea Mimi ni kijana niliyejiajiri, umri wangu naelekea katika third flow Nina ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana na zinaniumiza sana, Naomba...
  17. JamiiForums Tanzania Pikipiki imegonga gari yangu, ila nimeambiwa kila mtu atengeneze chombo chake kwa hela yake

    Nilipata ajali boda boda kagonga gari langu kwa nyuma na kusababisha uharibifu mkubwa tu. Sasa nashanga naambiwa eti kila mtu atengeneze chombo chake hii wanasheria humu ndani imekaaje? Msaada tafadhali
  18. D

    JamiiForums Tanzania Wabunge/wawakilishi wote wa baraza la mapinduzi Zanzibar wanakuwa wabunge wa Bunge la JMT?

    Naomba kufahamishwa hapo na wataalam, na wanaokuwa sehemu ya Bunge la JMT wanazingatia vigezo gani au wanapatikanaje. Cc Pascal Mayalla
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro

    Am sorry guyz natafuta muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro coz aliye weka huu uzi hakumaliza so anaeweza kutoa msaada atusaidie wote ambao hatukumaliza huu uzi
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Usumbufu wa Makampuni/Mitandao inayokopesha mtandaoni na nini cha kufanya

    Habari za mapumziko wote mtkaopata nafasi ya kusoma hii thread Mada yangu inahusu makampuni au mitandao inayotoa mikopo online, ambayo wengi kwa namna moja ama nyingine wameweza kupata usumbufu. Sio lazima uwe umeshakopa hata pia matangazo yao unapojaribu kuingia kwenye Mitandao mingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…