Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema baada ya kutembelea Mikoa tofauti ya Tanzania Bara na Zanzibar, walipata wazo la kuja na mfumo wa uhakiki wa taarifa, ndipo ikawa mwanzo wa kuanzishwa kwa JamiiCheck ambayo ilizinduliwa Mwaka 2022
Maxence ameyasema hayo wakati akichangia...
Habari wakuu naombeni msaada wenu
Nilifukuzwa kazi nikapewa barua ya kufukuzwa na inaelekeza nitapewa madai yangu yote ndani ya siku kumi na nne (14)za kazi, ila Leo ni siku ya 16 sijalipwa chochote je naweza kuwashtaki waajili wangu.
Habari zenyu wataalam,
Nakuja kwenu kuomba ushauri na msaada wa changamoto inayonikabili miezi karibu sita sasa.
Nimekua nikishiriki tendo la ndoa na mademu tofauti tofauti, katika utofauti huo nimekutana na viji mambo mambo ya hovyo hovyo pamoja ya hayo nimechukulia ni tofauti za kimaumbile...
Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema, ninatafuta rice cooker inayoweza kupika angalau kilo 4 za mchele Kwa wakati Mmoja. Naihitaji Kwa matumizi ya hotelini!. Hii itaniepusha na matumizi ya mkaa na hasara ya ukoko mwingi! Huwa napika kati ya kilo 15 na 20 Kwa siku!
Nimekuwa nikijifunza kutengeneza Music ArtWork Cover kwa miezi miwili sasa kwa kutumia android apps. Cha ajabu ninapo-upload on YouTube, zinakuwa na quality duni sana ingawaje wakati nasave project huwa nachagua High Quality, 30fps.
Tatizo linaweza kuwa wapi? Au ni kwa sababu natumia simu...
Habari zenu wadau
Nimekuja hapa kama kichwa Cha habari kinavyosomeka hapo juu naomba msaada wakublock haya matangazo ya mikopo yasinifikie
Mwezi iliyopita nilifiwa na tangazo la mikopo kuwa wanakopesha Hadi millioni moja nika click link kupakua App baada ya kujisajiri nakutana mkopo unaanzia...
Kitabu kinaitwa TOBA na kimeandikwa na Mai Godrey.
Ni kitabu chenye sala za TOBA za aina nyingi ambazo ukizisali kwa Imani na utulivu unatengeneza ukaribu na Mungu wako.
Kuna wakati nilipitia changamoto nzito na nikachagua moja ya sala za TOBA kwa siku 21 nikawa naamka saa 8 usiku na pia...
Wale wenzangu wenye zile NIDA zetu za 2014 ambazo mwenda zake alizikataa zimesha anza ku-expire, naomba kujua kama kuna mtu amesha renew, utaratibu upoje?
Je naweza kwenda ofisi yoyote ya NIDA au lazima niwe mkoa niliojiandikishia? Na maelezo yoyote ya ziada ni muhimu sana.
Asante sana🙏
Wakuu habarini dah naombeni msaada nimehangaika kutafuta contro box ya suzuki kei nimekosa , engine ya waya sita, naomba msaada kwani fundi kajaribu kila aina y contro box gari inakataa , kuwaka ina waka lakini kubadilisha gia ndo kwenye mtihan haikubali, naomba mtaallam anielekeze nitapat...
Kutegemea Us ndio awape silaha kupigana na vikundi vya wanamgambo, taifa teule limeanza kuishiwa silaha za msaada, na sasa wameaanza kutumia silaha za zama za mawe.
Huyu bila msaada wa US angeshakuwa ameliwa kiboga zamani sana
https://www.youtube.com/watch?v=j9MgjZ2sLQM
Mtu anakuja kwako anaonesha shida imembana anakuomba umsaidie iwe ni pesa, nguvu zako, connection zako, n.k.
Yawezekana haupo vizuri kifedha inabidi ukope, umebanwa na ratiba lakini unazivuruga kwajili yake, connection unazo lakini hadi zinyenyekewe kwa kujishusha, n.k. unaamua kujitoa umsaidie...
Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili.
Nilisoma Tanzania kidogo nikahamia Marekani. Nilisoma level zote ke na hadi chuo.
Nimeamua kuja nchi ya amani. Naipenda sana Tanzania...
Habari wakuu
Rejea kichwa tajwa hapo juu,kuna dada anasumbuliwa na huu ugonjwa anawashwa ukeni na tumbo linauma kwa chini.
Naomba dawa nzuri itakayomsaidia.
Hivi tunavyofanya application ya diploma kupitia nacte je ni chuo husika ndo kinachagua wanafunzi au nacte ndo wanakupangia chuo kama ilivyo kwa advance?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.