msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa AirBags wakati wa Ajali

    Wakuu, naomba kuuliza ni lini hapa Tanzania mmeshuhudia Ajali ya gari either ya kugongana uso kwa uso or Gari kugonga sehemu kama Mti au daraja na Dereva na abiria wakaokolewa na hizi Airbags kwenye magari yetu? Binafsi naona hizi Airbags hazina msaada wowote kwa magari yetu haya Second hand...
  2. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata katiba ya kikundi cha wajasiriamali

    Wakuu kwema? Nina imani sote tu wazima. Nina shida na katiba ya kikundi cha vijana wajasiriamali wakuu msaada wenu tafadhali Yoyte anaeweza kunisaidia anipe ishara yoyote kwenye koment chini nitamfata inbox Nb. Ningekuwa na chochote ningebainisha hapa, tusaidiane wakuu
  3. G

    JamiiForums Tanzania Msaada haraka Chanjo ya manjano(yellow fever) nataka kusafiri nje ya nchi

    Habari wana jamii, samahani ndugu yenu nimepata safari nnje ya nchi sasa sijui chanjo ya manjano inachukua mda gani kudungwa dosi na kupata cheti chake maana safari ipo karibu sana. Naombeni msaada kwa wazoefu tafadhali
  4. Egbert saka

    JamiiForums Tanzania Kati ya Clinical Medicine, Dentist na Radiology ipi ni kozi nzuri kwa sasa?

    Kati ya Clinical Medicine, Dentist na Radiology ipi ni kozi nzuri kwa sasa?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi naweza kujifunza ufundi Feni, pasi na redio?

    Habari zenu Wakuu, Naomba msaada kujifunza ufundi feni, pasi na Redio/Subwoofer. Nipo tayari kutoa hela ili nipate ujuzi huo kwa muda maalumu.
  6. Dola Iddy Wa Chelsea

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi nitapata kioo cha rising tv inch 43 MWANZA?

    Habari wakuu nahitaji KUjua ni wapi naweza kupata kioo cha tv maeneo ya Mwanza!?
  7. MOSintel Inc

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kupata Award Verification Number(AVN)...Ni mtandao wangu au Mfumo ndio unasumbua?

    Habari wakuu, Poleni kwa majukumu. Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata AVN kwa wale wa Diploma wanao apply mkopo HESLB. Nimeshafanya usajili NACTE, ila kila nikijaribu kuendelea na hatua inayofuata ya kupata CONTROL NUMBER nakwama. Sasa najiuliza ni swala la mfumo ndio haujakaa sawa au mtandao...
  8. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vyuo vya afya ngazi ya Diploma vinavyopatikana mkoani Morogoro

    Naombeni kufahamishwa vyuo vya afya ngazi ya diploma (kwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne) vinavyopatikana mkoani Morogoro, ni muhimu sana
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ayoub Lyanga ni msaada mkubwa endapo Simba mtakuwa naye msimu ujao

    Nimeona Azam wameachana na Ayoub Lyanga, huyu kiungo ni mzuri sana, mwanza anajua kupiga kona, pili, ni mzoefu, tatu bado boli analo, mm bado naamini Lyanga ni moja ya making hatari sana hapa nchini, pale azam amekumbana na akina Kipre junior, Nado, Nk lkn hakuwa chaguo la kocha ila Lyanga ni...
  10. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ili kupata msaada wa bure wa kisheria nchini Tanzania.

    Msaada wa kisheria ni jambo muhimu katika kuhakikisha upatikanaji sawa wa haki kwa wananchi wote wa jamii. Nchini Tanzania, Sheria ya Msaada wa Kisheria inatambua dhana ya “watu maskini,” ikirejelea wale ambao hawana uwezo wa kifedha wa kuajiri wakili binafsi. Watu hawa wanaweza kukabili...
  11. Yofav

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kuhama kutoka kuwa mteja wa benki ya Nmb ni benki gani nzuri kufanya saving?

    WAKUU HII BENKI IMENISHINDA TABIA, SASA MTU KUANGALIA TU SALIO LANGU WASHAKULA 3500 SASA KAMA HUU⬆️ SIO UNGESE NI NINI? Naombeni ushauri ni benki gan niwe naweka akiba zangu.
  12. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Netanyahu alia na Marekani kuhusu msaada wa silaha. Miezi minne sasa imepita msaada hakuna

    Leo kwa mara ya pili Waziri mkuu wa Israel katika mtandao wa X amesema yupo tayari kubeba lawala na matusi yote anayotukanwa na wananchi wake ili Marekani waweze kumsaidia silaha ili kuwawezesha Jeshi la IDF. Ni miezi minne sasa imepita bado Marekani hajapeleka silaha Israel. Netanyahu ameamua...
  13. African businesses

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau simu yangu inasumbua google pixel

    Jamani naombeni mwenye ujuzi na hizi simu za google pixel anisaidie, in short nina google pixel 5g a hii ilikua poa tu lakini ikaanza kuna wakati naichaji inaniandikia hili neno liquid debris then inaacha kuchaji nilichokua nakifanya nikuchomoa chaja na kuirudishia tena inaendelea kufanya kazi...
  14. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania msaada wa tafsiri ya ndoto hii.

    nimeota kuwa nipo class na wenzangu mwalimu/msimamizi akatuambia who want do survey?and if there's no any body please join to examination room. mimi binafsi sikuwa na chaguo nikabakia baadae nikaona ndoto imenipeleka sehemu n6je ya chumba tunapanga madawati kwa ajili ya mtihai ila sharti la...
  15. Bongo senior

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani kwa wajuzi

    Habarini za weekend hope mko poa na pole kwa wenye changamoto mbalimbali. My point kwa wenye uelewa je kuna namna naweza kuzuia namba moja itakaponipigia apate taarifa kuwa sipatikani kwa muda huo ilihali nipo hewani a part from call forwarding au call barring au kumblock mana hii uwa inampa...
  16. long live my love

    JamiiForums Tanzania Msaada service ya mitsubishi Outlander 2007

    Wakuu habari,hongera na poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki ya kila siku. Kufupisha habari ni kwamba nina hiyo gari ( Outlander 2007) na siijui vizuri kwakweli. Naomba msaada nataka nikafanye service kwa mara ya kwanza ya vitu vifuatavyo: 1. Engine oil 2. Oil ya gear box 3.Transimission oil...
  17. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Vyuma vya Turubai

    Habari, Nlikua naomba msaada kuhusiana na material/vyuma yanayofaa kutengenezea stendi ya tenti. Msaada kuhusiana na ni urefu gani ni sahihi na ni chuma au aluminium kinachofaa kwa ajili ya kuweka kama stendi. Je ni design gani nzuri ya kuweka, ile turubai yenye flat kwa juu au iliochongoka...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Msaada! Jinsi ya kuacha ngono iliokithiri

    Wakuu naombeni ushuri wenu Wakuu naona nazidi kumkosea mungu kwa Haya ninayoyafanya na pia napoteza pesa nyingi Sana kwenye kula mbususu Wakuu natamani kuacha ila sijui nitaanzia wapi aisee Naombeni msaada Wakuu
  19. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninasumbuliwa na vitu kutembea nyuma ya bega la kushoto

    NImekuwa nikisumbuliwa na vitu kutembea maeneo nyuma a bega la kushoto zaidi miaka 15.. Kuna kipindi nilikuwa nakaa nyumba yakupanga, mama mmoja aliniambiaga mtoto wake mdogo alimwambia Kaka kuna vitu vinamtembea lakini nilipuuzia. Ila sasa naona kama haviishi kwa mwenye experience inaweza...
  20. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: JamiiCheck imekuwa Msaada mkubwa kwa Jamii katika Kuhakiki Taarifa

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema baada ya kutembelea Mikoa tofauti ya Tanzania Bara na Zanzibar, walipata wazo la kuja na mfumo wa uhakiki wa taarifa, ndipo ikawa mwanzo wa kuanzishwa kwa JamiiCheck ambayo ilizinduliwa Mwaka 2022 Maxence ameyasema hayo wakati akichangia...
Back
Top Bottom