Chama Kikuu cha Ushirika cha Lindi Mwambao kimemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva madawati 150,viti mwendo 2 na mataili 4 kwaajili ya jeshi la Polisi, vyote vikiwa na thamani ya shilingi 19,700,000 ikiwa ni kutekeleza msingi wa saba wa Ushirika wa kuisaidia jamii.
Hafla ya...
habari zenu
wadau nasumbuliwa na tumbo upande wa chini kushoto(kwa kulibonyeza ila kawaida haliumi),pia hata nikibonyeza kwa juu napata maumivu au nikifanya mazoezi ya kukimbia hua napata hii shida na hata muda mwengine kichwa kinauma.
Habari Wana JF, Naomba Ushauri
Niende moja kwa moja kwenye hitaji langu.
Mwezi wa saba nilipatwa na uvimbe ghafla upande wa kulia wa shavu chini ya sikio. Uvimbe ulikuwa mdogo na haukuwa na maumivu yoyote hadi nilipougusa na kuuminya minya, hivyo nikaamua kuupuuza.
Hata hivyo, baada ya...
Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili.
Katika taarifa yao, Maaskofu walieleza wasiwasi juu ya kutumia majukwaa ya kanisa kwa faida za...
kanisa
kanisa katoliki
kanisa katoliki kenya
katoliki
kenya
kupokea
laana
maaskofu wa katoliki
makanisa
msaada
pesa
rais ruto
rais wa kenya
ruto
ruto vs maaskofu wa katoliki
shetani
wanasiasa
zao
Wakuu,
Nahitaji msaada wenu! Nina mpango wa kusoma shahada ya mtandaoni kutoka chuo kikuu cha nje. Je, kuna yeyote mwenye uelewa kama nahitaji NOC (No Objection Certificate) kutoka TCU kwa ajili ya masomo ya mtandaoni?
Nimesikia kwamba NOC inahitajika kwa wanafunzi wanaosoma nje ya nchi...
Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Zile taa mnaita beam kwangu usiku hazina mwanga kabisa. Yaani siwezi endesha gari usiku kwa sasa. Maana hazina Mwanga kabisa. Sielewi huyu mdogo wangu yeye alikuwa anatumiaje.
Amesafiri nami nimefika kwake nitakuwa hapa kwa 3 weeks so ni gari ambayo nitaitumia sana kabla sijarudi nchi za watu...
Ishi na watu vizuri Sana, usikubali kuwa chanzo cha migogoro Katia Maisha yako ya kila Siku.
Ila usiweke matumaini kuwa watu wako wa karibu ndio msaada wako kamwe usifanye hivyo.
Wanakuja kutusaidia kwenye Maisha yetu ni watu baki ambao hatuwajui kabisa.
Usitegemee marafiki zako ndio msaada...
Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa usalama. Kampuni kama hizi zina vifaa na uzoefu unaoweza kuwa msaada mkubwa, hasa katika hali kama hii...
Mimi nalia na Hawa CRDB BANK.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo tu, nilichukua lipa ya CRDB nikaiweka ofsini kwangu, mteja wangu kanilipa kupitia hiyo lipa, pesa haikufika kwenye akaunti yangu na ilihali kwenye benki yake (NMB)inaonekana pesa imelipwa.
Week ya tatu hii nafuatilia hakuna msaada...
Wakuu habari, laptop yangu nikiwasha inaandika Operating system not found!
TATIZO linaweza kuwa lipi na jinsi gani ya kufix Hilo TATIZO?
NAOMBA KUWASILISHA
Naomba ufafanuzi kwa wazoefu juu ya Mabati kwaajili ya kuezeka nyumba. Ni mabati gani ambayo ni bora zaidi ambayo hayana changamoto za kupauka na gharama zake. Maana sasa hivi viwanda ni vingi sana na kila mtu anavutia kwake.
Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.
Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo...
Naomba msaada wanajamii forum. Yeyote anayeweza kuisaidia kumpata mtu anaitwa Osward Rweyemamu au jina kingine Mc Egron Rweyemamu.
Alikuwa anajihusisha Sana na mambo ya ujenzi. Hata Kama mawasiliano ya mke wake au ndugu yake. Nashukuru kwa atakaye nisaidia.
Asante sana.
Habari. Mwenye kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza turubai za P.E zile nyepesi za blue ninaomba mawasiliano yao. Nimejaribu kutafuta mtandaoni sijafanimiwa. Asante
Wakuu za jumapili.
Laptop yangu aina ya HP, Leo imezingua sjui nmebonyeza wapi, cursor haitembei ,imestuck.
Naombeni msaada please maana Nina kazi za kiofisi inabidi nizikamilishd
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.