msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. danhoport

    JamiiForums Tanzania Msaada funguo ya pikipiki imegoma kuwasha wala kutoa sterring lock

    Ni pikipiki aina ya boxer 125, imegoma ghafla tu niliipaki usiku nikazima ila cha ajabu asubuhi imekataa kutoa lock, wataalamu shida inaweza kuwa nini na inasababishwa na nini na je ni kawaida tu au kuna shida mahali?
  2. Madaga

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kupata wimbo huu

    Habari ndugu zangu wapenda muziki wa dansi! Ninatafuta wimbo wa zamani wa bendi ya dansi, uliosikika sana miaka ya 2002/2003 kwenye redio. Sikumbuki jina la wimbo wala bendi, lakini mashairi yake yalikuwa na maneno kama: "Masai kavamia pori kakutana na Wamakonde, Wamemchoma mishale ya sumu...
  3. Kipenseli

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetumiwa verification code nisiyoielewa

    Wakuu naomba kufahamu, nimetumiwa text na Hawa jamaa kukiwa na verification code as if nimerequest process mahali Fulani, je itakua kampuni gani?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

    Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?
  5. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni hatua gani kisheria naweza kumchukulia fundi msumbufu.

    Umuofia kwenu, Aise kuna fundi nilimpa kazi na malipo 85% kazi ilikua ya makubaliano ya kukamilika kwa wiki Moja, lakini sasa yapata mwezi na mwelekeo wa kukamilika haupo. Mbaya zaidi hana dharula yoyote yupo na anaendelea na kazi za wateja wengine nikimuhimiza kua ananikwamisha analeta...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kumi kwenye eneo la sqm 500 hapa temeke

    Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
  7. masanda

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kumpata archeologist

    Habarini. Nina hitaji mtu yeyote anayeoma archeology hasa UDSM au chuo kingine. Pia kama unamjua mwalimu anayefundisha somo hilo pia naomba mawasiliano yake. Sababu ni kwamba nina mabaki ya mnyama (sijajua kama ni binadamu au la) ambayo niliyapata chini ya ardhi umbali wa futi 80 nilipokuwa...
  8. Mtunisia mweusi

    JamiiForums Tanzania Msaada mpenzi wangu mpya hisia zake hazipandi mpaka nimpulize mwili mzima na kumtekenya miguuni.

    Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha. Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za kutosha mwilini(nakupenda sana kipenzi changu konjeta♥️♥️). Sikutaka kumchelewesha kama...
  9. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Trump effect: Je, kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada

    Je kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada. Inajulikana madhara ya haraka ni wenzetu wengi kusitishiwa ajira zao. Je kwa upande wa utoaji huduma hali ikoje huko uliko? Naskia kuna wanaoambiwa watapewa dawa za mwezi kwa mwezi badala ya miezi 3 au 6. Hali...
  10. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kujisajili website ya Zimamoto

    Uzi tayari.
  11. Iam back_Euphoria

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa maarifa ya kiroho

    Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana jr DR Mambo Jambo...
  12. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa Template ya katibo ya NGO toleo la kiingereza

    Kwema wakuu? Nina hitaji Muongozo wa katiba ya NGO ambayo ni English version. Online site ya board ya NGOs iko suspended. Mwenye kuwa nayo ninaomba anisaidie. Asanteni.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya lataka kusitishwa kwa msaada wa EU kwa Rwanda kuhusu mzozo wa Kongo

    Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe. Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya nchi hiyo na waasi wa M-23 ambao wengine wamekuwa wakidai kwamba huchochewa na wazungu japo hawatoi...
  14. CHURADUME

    JamiiForums Tanzania MSAADA SAMSUNG A21 SIMPLE CHARGING WAY

    Nmeletewa samsung a21 simple haichaji mime chunguza nikagundua charging ic ndio shida kuipata ikawa ngumu ikabidi niunge battry direct lakini changamoto ni kuwa batty inachajiwa ila simu haionyeshi chaji mpaka udisconnect battery na urudishe ndio unaona limefikia wapi ila ukiiacha inatumika...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Makisio ya kodi na ushuru bandarini

    Wakuu wazima? Katika process za kutoa kontena bandarini, naomba mwenye uelewa anifungue macho hapa. Ni kodi zipi na asilimia ngapi hulipwa kwa kontena la 40HQ, mzigo ni machines za kiwandani, rawmaterials na packages. Itapendeza kama nikipata mchanganuo wa gharama zote. Natanguliza shukrani..
  16. Entim

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada: Nahitaji frame Kariakoo, mtaa wa kuuza pochi za kike

    Wakuu, nawasalimu kwa jina la JMT. Nimeingia Dar, takribani miezi 3 iliopita nikitokea Mtwara baada ya kufunga biashara yangu Mtwara MC Uchumi umeshuka kwa kasi na ninaelekea kupoteza mtaji, hadi natamani kujinyonga. Nimejaribu biashara mtandaoni nimeishia kuchata na watu, eg mtu anauliza bei...
  17. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuandika maandishi mahali na kuyahifadhi ili baadae kuyachapisha au kuyahamishia mahali pengine

    Msaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote. Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost...
  18. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Msaada sio lazima lakini ukimpa MTU uhakika wa kupata Kazi basi msaidie.

    Moja Kwa moja kwenye mada. Mkuu wee ni MTU mzima Mwenye familia na watoto kama Mimi pengine umenizidi umri au nimekuzidi umri. Umenipigia simu asubuhi ya Jana tumepanga fresh sana mipango na akuniambia kuna Kazi unataka unipe ambayo itanisogeza kimtindo nikakwambia Mimi nipo fresh kabisa...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Msaada, Mashine ya Embroidery Vichwa Vitatu

    Kwema wakuu? Kama ambavyo wengine tumeifanya jf kuwa google na chatgpt wa kikwetu kwetu. Naulizia wapi nawezapata mashine ya Embroidery vichwa vitatu? Kwa maana nyingine naulizia duka linalouza mashine kwa hapa Dar. Asanteni
  20. jitwangabalogi

    JamiiForums Tanzania Msaada, mafunzo ya reik,pranic healing dar es salaam.

    Naomba msaada Kwa anaejua au kufahamu sehemu ninayoweza kupata mafunzo haya ya reik,pranic healing Kwa hapa dar es salaam naomba anisaidie.
Back
Top Bottom