msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania?

    Habari, Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania? Mimi ninashinda ya masikio kupiga kelele kutokana na sikio la ndani kuwa na shida. Nimehangaika sana mahospitalini lakini shida niliyonayo ni haitibiki (Tinnitus) ni ugonjwa wa kawaida na unawakumba watu wengine Duniani. Naomba mwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Tiba ya vitu kumbea mwilini

    Habari za wakati Huu, Naomba kwa mtu aliyewahi kupona tatizo la kutembelewa na vitu mwilin kama vile mkononi, mgongoni atusaidie dawa yake ni nini? Au kama kuna mtaalamu (Daktari) anayejua matibabu ya hii hali anisaidie sababu ni hali inayokera na inatokea mda wowote. Natanguliza shukrani.
  3. JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeifahamu Zanzuli Secondary

    Habari wana JF Kuna mdogo wangu anaingia kidato cha Tano, kapangiwa shule inaitwa ZANZULI SECONDARY ipo SHINYANGA. Cha ajabu ni kwamba Joining instruction form ya shule hii haipatikani kabisa kwenye tovuti ya tamisemi. Na hata nikiingia google siipati kabisa, nakutana na shule inaitwa ZUNZULI...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Vitafunwa sahihi kwa mtu mwenye Madonda ya tumbo

    Wakuu nauliza vitafunwa vipi sahihi kwa mtu mwenye Madonda ya tumbo,atumie vitanwa Gani kwa ajili ya chai
  5. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu kujitolea kazi ya kujitolea

    Nilikuwa nauliza hivi, nimemaliza chuo Mwezi huu.. Matokeo bado hayajatoka mpaka mwezi wa nane. Je kwa mfano nataka kuandika barua mahali Fulani nikiwa na Lengo la kujitolea... Nina takiwa kuambatanisha kitu gani ili kuthibitisha kuwa na taaluma ya kazi husika?? Ahsante karibuni kwa ushauri mzuri
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Madonda ya tumbo yananitesa tumbo linauma sana

    Habar wakuu nimekua nikisumbuliwa na vidonda vya tumbo mda Sasa tangu 2019 nilipima mpaka endoscopy nkaonekana na vitatu vidonda na acid,,nimetumia dawa za hospital kila aina Bado msaada wenu wa tiba kwa waliopona kupata changamoto ya Madonda ya tumbo sugu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Twende Butiama: Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania wakabidhi msaada Shule ya Msingi Mkata, Handeni

    Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada jamani

    Nataka kuingia ESS portal ila Kila nikilog in Kuna Ujumbe ukakuja kuwa check your internet connection hali ya kuwa nipo online na GB za kutosha.. Unahidi itakuwa ni noni tatizo mdau..,?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kiimani

    Jamani wanajamvi kuna jamaa alinialika kwenye group niseme la maombi amenialika siku nyingi niende leo nikaamua kwenda katika mambo aliyonihubiiria ni kama yafuatayo: 1.Ulazimishwaji wa kuwa wakristo wakipagani. Jamaa amenieleza kwamba kulingana na ufunuo kwamba Marekani wakiungana na kanisa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA OPPO A83 HAISUPPORT WHATSAPP NA YOUTUBE

    HABARI WADAU, Kichwa kinajieleza, nimejaribu kutafiti nikabaini Google inc ambao ndio wamiliki wa Android wameblock whatsapp na Youtube kwenye Android 7 kushuka chini, japokuwa whatsapp wenyewe hawana tatizo na device zenye matoleo hayo. sasa kama kuna maujanja ya kufanya naomba kuelekezwa...
  11. F

    JamiiForums Tanzania msaada wa kisheria kuhusu mchakato wa madai ya kuachiswa kazi

    Habari Nahitaji ushauri nlikua nimeajiriwa na benjamin mkapa foundation chini ya mradi wa USAId Afya endelevu,baada ya agizo la trump la kusitisha miradi ya USAID la january tukarudishwa kazin february then march ikatolewa notisi nyingine ya kusitisha mradi wa afya endelevu,ambao mwajiri ambae...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa civil procedure code current version

    Please mwenye soft copy aniwekee hapa!
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua jina la huu wimbo

    https://www.instagram.com/reel/DKXY9NGtTdT/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg== Samahani wakuu, Kwa anayejua lina la huu wimbo naomba anisaidie ili nikaupakue. Natanguliza shukrani
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Sipendi mazungumzo marefu

    Wakuu nimekua najitafakari jinsi nilivyo na hulka ya kuchukua mazungumzo kwa mfano ni kawaida kuona watu wanapiga story au wanabishana labda mpira kwa muda mrefu hata masaa kadhaa wanaongea na kuongea. Au utakuta mtu anasema anaenda kupiga story na jamaa zake au marafiki wakati kwangu ni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kufunga fremless glass door

    Habar wakuu natafuta kampuni au mafundi wazur wakufunga na kutengeneza fremless glass door katika ofisi zangu ziwe namuoneka mzuri wakisasa,material yatakayitumika yawe imara
  16. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gari limeibiwa Mbeya

    Habari wanajamii . Naomba kutoa taarifa na kuomba msaada kwa yeyote atakaye liona gari husika anitaarifu. Gari Hilo limeibiwa jijini Mbeya na fundi makenika aitwaye Ibrahim Mwakyusa. Ameiba gari katika mazingira ya kulitengeneza. Mwizi wa gari ni Ibrahim Mwakyusa mwenye namba 0752895006...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kufika hospital ya KIBAHA ya serikali

    Habari za Asubuhi Naomba anayefahamu namna ya kufika KIBAHA hospital. Ni hospital ya serikali na kwa maelezo machache pia Ina madaktari wazuri wa macho. Binafsi natokea Tabata Kinyerezi na mpaka muda huu nimeshaanza safari now nipo Malamba Mawili so Maelekezo yaanzie Mbezi Stand Naomba...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya tumbo langu linanguruma sana

    Habari zenu wanajamii naomba ufafanuzi juu ya tumbo langu inafika siku linanguruma sana hlf nikienda haja napata choo kilain kiufupi huwa naharisha mwisho choo kinakuwa kama makamasi ila hii hali inakuja na kukata kwa vipindi tofauti hii inakuwa inasababishwa na kitu gani?
  19. JamiiForums Tanzania Msaada naomba kitabu hiki

    Kitabu kinaitwa mobile phone repairing soft copy mwenye nacho naomba
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wakuu

    Wakuu naishi Morogoro mjini hapa na nilikuwa natafuta sehemu ambapo kuna msaada wa kujifunza meditation, ni hilo tu wakuu mwenye kujua anijulishe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…