Msaada kwenye kujaza fomu ya mkopo HESLB

Melody2000

New Member
Joined
Jan 26, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Kwenye kujaza fomu ya mkopo HESLB kama majina ya mama yaliyopo kwenye cheti cha mtoto Cha kuzaliwa ni tofauti na majina yake yaliyopo kwenye kitambulisho chake kuzaliwa ni tofauti na majina yaliyopo kwenye kitambulisho chake cha taifa na hana cheti cha kuzaliwa inachukuliwa hatua gani hapo na mda uliobakia ni mchache...ili mtoto aweze kujaza fomu yake na ku submitt bila tatizo lolote
 
Ukipata boom, kama baba yako anatoka third world country, nikuhakikishie huo ndio mtaji wako, Sasa tamba halafu uone fainali utavyochakazwa goli nyingi
 
Kwenye kujaza fomu ya mkopo HESLB kama majina ya mama yaliyopo kwenye cheti cha mtoto Cha kuzaliwa ni tofauti na majina yake yaliyopo kwenye kitambulisho chake kuzaliwa ni tofauti na majina yaliyopo kwenye kitambulisho chake cha taifa na hana cheti cha kuzaliwa inachukuliwa hatua gani hapo na mda uliobakia ni mchache...ili mtoto aweze kujaza fomu yake na ku submitt bila tatizo lolot

Kwenye kujaza fomu ya mkopo HESLB kama majina ya mama yaliyopo kwenye cheti cha mtoto Cha kuzaliwa ni tofauti na majina yake yaliyopo kwenye kitambulisho chake kuzaliwa ni tofauti na majina yaliyopo kwenye kitambulisho chake cha taifa na hana cheti cha kuzaliwa inachukuliwa hatua gani hapo na mda uliobakia ni mchache...ili mtoto aweze kujaza fomu yake na ku submitt bila tatizo lolote
Arekebishe cheti cha kuzaliwa lifanane na nida tu chap
 
Kwenye kujaza fomu ya mkopo HESLB kama majina ya mama yaliyopo kwenye cheti cha mtoto Cha kuzaliwa ni tofauti na majina yake yaliyopo kwenye kitambulisho chake kuzaliwa ni tofauti na majina yaliyopo kwenye kitambulisho chake cha taifa na hana cheti cha kuzaliwa inachukuliwa hatua gani hapo na mda uliobakia ni mchache...ili mtoto aweze kujaza fomu yake na ku submitt bila tatizo lolote
Rekebesha kwenye cheti chako cha kuzaliwa yafanane na nida ya mama
 
Back
Top Bottom