msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba

    Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba Watu zaidi ya 3,000 wamepatiwa msaada wa kisheria na Wizara ya Katiba na Sheria, ndani ya siku 13 kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), Sabasaba, yanayoendelea. Kauli hiyo imetolewa na...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kukutana na Chaaba na Dudukwe

    Habari za humu wana jamii nina shida ya kukutana na CHAABA na rafikiye DUDUKE naomba maelezo hasa ni vipi na wapi naweza kukutana nao hao watu?
  3. JamiiForums Tanzania Usahili wa Kuandika, Wizara ya Mambo ya Nje

    Mambo vipi wakuu!? Kwa yeyote ambae ameshawahi kufanya usahili wa kuandika Wizara ya Mambo ya Nje (Foreign Service Officer), maswali yao huwa yanatoka maeneo gani??
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kupata hati ya nyumba mkoa wa arusha

    Habarini Nimepata makazi apa mkoa wa arusha maeneo ya olasiti Tokea nijenge nina mwaka sasa Nilikuwa naomba msaada jinsi gani ya kupata hati ya nyumba Kama mtu ana mtu huku aliopo kwenye hiyo mission anisaidie kuniunga nae Thanks
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu: Ni kweli mwanamke anaweza akawa na mimba hadi miezi 3 bila kujua???

    Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
  6. JamiiForums Tanzania China imeshasema haitakubali Urusi ishindwe na Ukraine kwa msaada wa NATO

    Dunia ijitayarishe kushuhudia vita vya kweli vya tatu vya dunia kutokana na mzozo wa Ukraine na Gaza. Kwa upande wa Gaza kinachoendelea ni rehma za Allah kuonesha uwezo wake ambapo Marekani na ukubwa wake na ukatili wa Israel inayoshirikiana nayo wataangushwa chini na watu dhaifu kuliko wote...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kweli mwanamke anaweza akawa na mimba hadi miezi 3 bila kujua???

    Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu ni bank gani hapa Dar naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy?

    Habari zenu Wana jukwaa,,, Naomba msaada kwa yule mwenye uzoefu.Ni bank Gani hapa Dar(Tz) naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy? Au taratibu za kufuatwa ili niweze kulipia hiyo gharama kwa ajili ya mahojiano,nimeshajaza Ds 160 form,nipo kwenye hatua ya pili ya malipo...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu, ndoa yangu inaenda kudidimia

    Nimeoa, ndoa yangu ina miezi 6 lakini mke wangu kaondoka nyumbani na kaniacha anadai talaka ananishutumu kuwa nina mahusiano na Mama yangu. Nyumbani kwetu tumezaliwa watatu na wote ni wakiume, mimi ndiyo mtoto wa kwanza, nina miaka 33 na nina kazi nzuri tu. Muda wote wa maisha yangu nimekuwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kuandika barua

    Habari za mchana wakubwa, Naomba kama kuna mtu ambae amesha Wahi kupata changamoto kama niliyo kutana nayo mimi anisaidie, kwa kifupi ni kwamba mimi Niko nchii jirani ya Zambia. Sasa kuna mdogo wangu alitaka kuja kunitembelea Baada ya kukamilisha taratibu zote za kupata hati ya kusafiria...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada : Naomba Mnisaidieni Namna Ya kuinstall Window 10 Pro Kwenye HP Chromebook 11 63/G4 (Kip).

    Habarini Za Mchana Huu , Poleni na majukumu , nimekuja kwenu WanaIT mnisaidie swala hili , maana swala hili limenishinda kwa kutumia mawazo yangu pekee. Majuzi kuna Hp Chromebook Ram 4 na Internal Storage SSD 16 nilfanikiwa kuactivate window, nikamkabidhi mwenye nayo akaondoka , sasa basi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya tatizo la kushtuka mara kwa mara

    Habari wana jamvi nimekuja na tatizo apo nisaidiwe nina tatizo la kushtuka baadhi ya muda bila kufanya kitu chochote yaan ata kama hakuna kitu cha hatari naweza kuwa nachesea simu nikiacha kuangalia simu tu naweza kushtuka mapigo ya moyo yakaenda mbio hlf yakakata,naomba ushaur wa haraka
  13. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom na Stanbic Benki wametoa msaada wa kijamii kwa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, ukiwemo wa viti mwendo, Simiyu.

    Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Ziwa, Straton Mchau (wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya Stanbic Tanzania Tawi la Mwanza Geoffrey Makondo wakikabidhi moja ya viti Mwendo 4 kwa Afisa elimu maalum - Halmashauri ya mji wa Bariadi Rutherford Magayane (kulia) na...
  14. JamiiForums Tanzania Wajuzi msaada dawa ya asili kutibu Homa ya Matumbo (Typhoid)

    Jamani msaada mti gani unaweza kupambana na hawa wadudu, wanao sababisha homa ya tumbo ?? Kama kuna muhanga aliyetumia mti fulani ukamsaidia Tunaomba taarifa.
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada mwenye contacts za Nempak Tanzania

    Jamani nahitaji mawasiliano ya Nempak. Kama Kuna mtu mwenye number zao za simu zinazopatikana anisaidie. Natanguliza shukran za dhati.
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa hatua za kufuata ili kufanya Biashara ya Internet

    Hivi karibuni nimepata wazo la kufanya Biashara ya Internet ISP akiwa TTCL kwenye maeneo ya Sokoni au Center zenye watu wengi kwa kuweka WiFi mteja atalipia kwa njia ya Vocha (number maalumu) mfano kwa Masaa 12 kwa Sh 1000 au 500 kwa masaa 6 n.k Hivyo ni hatua gani za Kufata kwa kuanzia na eneo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Kuweka majina matatu kwenye Cheti

    Cheti cha kuzaliwa kina majina matatu. Vyeti vyote vya shule vina najina mawili. Ni taratibu gani naweza kufanya ili majina yangu ya vyeti vya shule niweke jina la tatu ambalo liko kwenye cheti za kuzaliwa. Kindly advise, please!
  18. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali wa mfumo wa vyeti vya kuzaliwa

    Eti kwa sasa kila cheti say cha kuzaliwa lazima kiwe kwenye mfumo wa kitu kama ATM cards? please advise/assist if this is the policy now
  19. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata ajira ya kueleweka

    Habari za muda huu wakuu, mimi ni mhitimu wa shahada ya awali ya Bima na udhibiti viashiria hatarishi (Bachelor in insurance and risk management) 2022, kiukweli nashukuru sana tangu nimalize chuo sijawahi Kaa bila kazi nilipomaliza mwaka 2022 ni moja ya wanafunzi tuliofaulu vizuri na kuchukuliwa...
  20. JamiiForums Tanzania MSAADA: Kuwafikia wateja wengi kwa njia ya sms

    Wakuu kwema? Nilikua naomba mwenye kujua njia ya kuwatumia wateja wanao nizunguka sms hata bila ya kuwa na namba zao wote. Yani wateja walio karibu na biashara yangu tu ndio wapate meseji ya huduma nnazotoa. Asante, nasubiri mchango wenu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…