msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kweli mbwa sio msaada kwa ulinzi yani mwizi kaingia ndani jumapili hii kabeba flat TV na mbwa

    Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka. Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa afya naombeni msaada

    Mimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila maana naona hapa sipati huduma nzuri sina mtu wa kunisaidia kutoka hapa ninatumia bima ya nhif ya...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Sumu zinazotumiwa na majasusi kumaliza adui zao kwa msaada wa grok

    Sumu zinazotumiwa na majasusi kuua mtu, hata akiwa kwenye msongamano wa watu, kwa kawaida huwa za hali ya juu, za haraka, na ngumu kugundulika. Baadhi ya sumu zilizotajwa katika visa vya kihistoria na vya sasa ni pamoja na:1. Novichok: Hii ni kemikali ya kulemaza neva iliyotengenezwa na Soviet...
  4. JamiiForums Tanzania Wataalam wa ujenzi na ramani msaada tutani

    Wataalam, Jengo ambo liko kwenye kiwanja chenye ukubwa wa skweamita 145 unaweza ku modify kwa kuweka frame ngapi zikatosha? Kwa ukubwa size medium Yan vyumba visiwe vikubwa sana Wala vidogo sana..
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malipo ya Paypal kwenye software ya Gavana

    Wakuu bila salamu ningependa kuuliza/kuomba msaada wa maelekezo najua kwatanzania paypal inazingua kutoa hela ila sina uhakika ikiwa kama inazingua kwenye kuweka. swali langu ni kwamba je nawezaje kulipia program ya gavana kwa kutumia paypal na je inawezekana kuweka voda visa bila shida kwenye...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Msaada! Hivi kati ya degree ya general nursing, nursing anaesthetic na clinical nutrition na physiotherapy ipi ina soko?

    Wakuu wajuzi wa mambo msaada naombeni mnipe mawazo kidogo hivi kati ya degree ya nursing anaesthetic,general nursing, clinical nutrition na physiotherapy ipi iko marketable wakuu?
  7. JamiiForums Tanzania Naomba anayejua hotel ya nyota 10 Dar msaada

    Nina mgeni wangu ataingia jijini mwezi ujao msaada wenu hotel ya hadhi ya 10 star
  8. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya ‘Kugeuza msaada kuwa biashara’ inaficha mikakati mitatu ya Marekani

    Gazeti la The Washington Post limechapisha makala ikisema, sera ya ushuru ya Marekani inasababisha ‘hali ya maafa’ barani Afrika. Kutoka sekta ya nguo nchini Lesotho, tasnia ya sanaa nchini Tunisia, hadi viwanda vya utengenezaji magari Afrika Kusini, hakuna nchi au sekta yoyote inayonusurika...
  9. JamiiForums Tanzania Baadhi ya members tusipende kuwa shambulia wanahitaji msaada wetu

    Watu kama Lovely Emmy , Ponjoro wa Kinondoni Covax Malaria 2 haszu , Manfried , The Mongolian Savage DIVISHENI FOO na wengine wengi, unaona kabisa ni aina ya watu msongo unawasumbua TUWASAIDIE
  10. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwenye Infinix hot 30i.

    Habariini. Natumia Infinix hot 30i. Ninatumia sim cards mbili halotel na Vodacom. Shida ipo hivi nimechagua sim 1 ambayo ni halotel kutuma meseji.Sasa nikituma meseji inaenda kwenye upande WA Vodacom ambapo sijaset Vodacom kutuma ujumbe.Shida itakuwa nini niendelee kutuma sms sim card 1 ya...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada majibu ya mtihani wa kiswahili

    Habari wana JF? nahitaji msaada wa majibu katika mtihani huu kwa kiswahili. kiukweli mimi umenishinda kabisa ni mtihani wa online 1. Ipi kati ya chaguo lifuatalo inawakilisha njia sahihi ya kuandika tarehe? a. 29 Novemba, 2020 b. 29,11,2020 c. 29/11/20 2. Ikiwa msemaji anafanya kosa la...
  12. JamiiForums Tanzania Naanza kushindwa mapema. Naombeni msaada wenu

    Kuna single mother mmoja nimemwelewa.nikasema ngoja nipendane naye sababu ana roho nzuri n.k. Ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto ananyonya vidole na anadeka sana. Mimi kwa kweli sipendi mtoto anyonye vidole. Nimejaribu sana kumwambia amkataze mtoto kunyonya vidole. Anasema aataacha tu mwenyewe...
  13. JamiiForums Tanzania Madaktari na Wataalamu wa afya msaada wenu kwenye hili (uwezekano wa kupata ujauzito)

    Habari wakuu, poleni na majukumu. Naombeni kujua kama Kuna uwezekano wa huyu Binti kupata ujauzito. Binti anasema mzunguko wake hubadilika japo kwasasa anasema ni siku 24 na anapata hedhi kwa siku 5, Sasa tarehe 9 mwezi huu wa 8 mda kama wa Saa 12 jioni aliniambia ameingia hedhi akamaliza...
  14. JamiiForums Tanzania NINAHITAJI MSAADA WENU WAPENDWA

    Ninayopitia mungu ndie anajua Mniombeee Nimazito mnoo Unseen forces Drained ernegy Naishiwa nguvu Nikionacho sicho Yaan wanakuja watu kwa sura ya mume wangu lakini sio Yote nimeamua kumuachia mungu afanye yake
  15. JamiiForums Tanzania MSAADA WA KISHERIA WA ARDHI

    Habari wanajf kwa ujumla. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja kwa kuanza kutoa maelezo mafupi. Mashamba ya familia yangu yapo kijiji jirani na mashamba hayo tuliyapata wakati huo tukiwa kijiji kimoja ila baada ya kujigawa ikawa mashamba yetu yapo kijiji kingine. Kuna viashiria vya...
  16. JamiiForums Tanzania MSAADA: Nimekuwa na addiction mbaya ya kula kwa watu

    Niko na miaka 28 sasa na naishi kwangu na kazi zangu ila nimekuwa addicted kula kwa watu. Yaani nimejaribu kuacha hiyo tabia ila najikuta kila siku lazima nitafute nyumba walau niende nikadoee chakula iwe cha mchana au jioni. Nifanyeje?
  17. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji msaada mambo ya IT (Website, blog, Softwares, Graphics Design, n.k)

    Kama unahitaji msaada mambo ya IT (Website, blog, Softwares, Graphics Design, n.k) nicheki 0756704145
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa anayejua namna ya kudownload application kwenye Tv

    Wakuu mimi ni mdau mkubwa wa soka la nje sasa Ligi zimerejea rasmi. Na kama mjuavyo kwa watu wa kawaida kama sisi kununua kifurushi cha 180k kupitia Dstv ili kuangalia mpira kwetu ni gharama sana. Hivyo wengi wetu tumeamua kutumia simu zetu kuangalia ligi ya uingereza kupita Application mbali...
  19. JamiiForums Tanzania Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

    Ni kweli kabisa! Kwa tabia hizi za kulipuana na kufukua makaburi itafika kipindi hata kama una shida wahitaji msaada utashindwa kuleta humu jukwaani Ni hayo tu
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu sasa n nimekua na ndoto ya kuwa kocha mkubwa wa mpira wa miguu lakini sina support

    Habari za muda huu ndugu zangu, mimi ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 23. ni kwa muda mrefu sasa n nimekua na ndoto ya kuwa kocha mkubwa wa mpira wa miguu lakini sina support. Kwa anayejali na ambaye atakua na uwezo ninaomba anisaidie ili niweze kutimiza ndoto zangu.Ninahitaji msaada wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…