msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Singasung TV ikipasuka Screen inaweza kuplay USB/Flash nyimbo za audio?

    Wakuu kaTV kangu ka SingSung inch 24 imevunjika kioo. Nimeogonga kwa bahati mbaya. Nauliza TV ikipasuka kioo inaweza kupiga nyimbo kwa USB/flash ya kawaida. Yaani nina uhakika kila kitu kizima kasoro kioo tu ndio kimevunjika. Sasa kama inaweza kuplay USB nitumie njia gani maana kioo hakisomi...
  2. JamiiForums Tanzania Watumishi wengi wa serikali mnatia huruma mno, ni katikati ya mwezi ila nimepokea zaidi ya simu 10 mkiomba msaada wa pesa

    Ni watumishi wa serikali kutoka idara tofouti tofouti nyeti na zisizo nyeti, watumishi hawa wa Mama Samiah Suluhu Hassani wanatia huruma mno kila ifikapo katikati ya mwezi. Na kwa hili ilivyo kwa sasa ya vitu kupanda bei, kuna kufanya maendeleo kweli ukiwa mtumishi wa serikali? Niwaase...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Haji Manara alisoma vyuo gani huko Afrika Kusini na China?

    Kila siku anafanyiwa interviews na press conferences anafanya lakini sijawahi kusikia akiulizwa hili swali kabisa, Jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni msomi aliyebobea. Binafsi nilimsikia kipindi cha amplifier akihojiwa na Millard Ayo akijinasibu kwamba anayo DEGREE YA MASS COMMUNICATION toka...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada anaejua Kampuni inayosafirisha mizigo kwa meli kutoka UK

    Habarini wakuu wa jukwaa. Naomba kufahamu yeyote anaejua kampuni ya uhakika wanao safirisha loose cargo kutoka UK. Kuna Machine nataka ninunue zije kwa maji, kuzipandisha ndege kwa uzito wake gharama ya usafiri ni bei ya kiwanja. Pia Mashine nyingi zimejaa madukani, wafanyabiashara wanaleta...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tujuzane: Maisha Lugalo MATC yakoje, ni ya kishuleshule au kichuochuo, nifanye maamuzi sahihi

    Maisha ya kila siku Lugalo MATC yakoje? Ni kama sekondari? Maana naona joining instructions kama za sekondari! Nisaidieni nifaye maamuzi sahihi, sitaki maisha ya kishule shule, ki- sekondari tena. Mara uniform, mara ufagiio, mara kudeki bweni, mara kengele ya kula, kulala, kuoga etc etc...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba sample ya barua ya likizo isiyo na malipo

    Habari za usiku waungwana? Ninataka kupumzika kazi kwa muda wa angalau mwaka mmoja au miwili. Kuna jambo nataka kulifanya la kibinafsi. Mimi ni mtumishi wa serikali. Aliyewahi kuomba likizo isiyo na malipo au anayefahamu kwa undani hili jambo anipe mwanga. Thanks
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo unahitajika hapa

  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa IMEI simu ya HUAWEI Y5 PRIME

    Wakuu habari za humu. Ninaomba msaada wa namna ya kurudisha IMEI kwenye simu ya HUAWEI Y5 PRIME 2018. Kila nikiangalia inaonyesha null kwenye slot zote mbili...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NSSF

    Habari zenu Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu Hivi account ya NSSF status kwenye salio ikishasoma 0.00 Tshs huwa inachukua siku ngapi mpaka kulipwa?
  10. JamiiForums Tanzania Njoo utupe mbinu za kupata wateja online kwa wepesi

    Wasalaam Watu wengi sasa wameanza kuamini biashara kwa njia ya mtandao. Leo jioni nimekuwa kwenye ofisi moja idadi ya wateja na Mahala ilipo hakuna uhusiano. Baadae nikagundua wote wanawatolea online. Kuna jamaa aliishiwa hadi akataka kurudi kwao kigoma kutoka Dar. Jamaa sio msomi Hata wa...
  11. JamiiForums Tanzania Heart beat disorder inanimaliza, naombeni msaada ndugu zangu

    Nilipata tatizo la panick attacks na anxiety disorder kiasi cha miaka mitatu iliyopita hali iliyopelekea kuwa na mapigo ya moyo kwenda kasi, kuruka na moyo kupiga kwa nguvu kwa baadhi ya nyakati. Nilifanya vipimo vya moyo (ultra sound, ECO, na AKG lakini moyo ulikuwa normal kabisa, sikuonekana...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa swali lifuatalo

    Swali la nne vipengere vyote
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya uvimbe

    habr wana jf naomben msaada dawa ya kuondoa uvimbe kwa haraka mtu aliyepigwa na akavimba uso na macho pia
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikiwa na mwanamke uume unasinyaa

    Naombeni msaada ndugu zangu na sio masihara nikiwa na mwanamke uume hausimami kabisa unasinyaa na kubakia kichwa tu imenitokea hiyo hali mara mbili naombeni msaada na uume unapo simama haukazi sawa sawa unalegalega.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye uzoefu mikopo ya Azania bank kwa wanachama wa NSSF

    Wakuu nawasalimu. Naomba kama Kuna mtu ana uelewa na Hili anisaidie. Azania bank wanatoa mikopo kwa wanachama wa NSSF. Kama mtu aliachishwa kazi kipindi cha janga la Corona kwa sababu kampuni iliamua kupunguza wafanyakazi na hakutoa mafao yake NSSF na ameamua kutokuajiriwa tena anaweza kupata...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Rav4 Kilitime cc 1750 msaada

    Wakuu Kwa DHATI naomba mwenye kuijua vema hii gari, Mafuta inatumiaje,(Lt per km), Spea zake, AC (how good it is), kwa kifupi faida na hasara zake kwa hii gari. Naomba saana, Mwishowe kwa Mil 9.5 naweza pata namba D?
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wa namna ya kusafirisha parcel kisangani congo

    Rejea kichwa hapo juu. Kuna mzigo au parcel inatakiwa ifike kisangani kutokea Dsm. Wataalam na wadau wa road naombeni msaada.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya data network ya hii Galaxy note 9.

    Kwa kweli simu nilizoamini ni nzuri ni pamoja na Samsung lakini kwangu imekuwa tofauti, mwanzoni simu ilikuwa vizuri lakini sasa hivi natamani kurudi kwenye tecno na infinix, maana nikiwa safarini nawaona wenzangu wakivinjari kwenye mitandao ya kijamii mwanzo mwisho wa safari lakini hili la...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada.. Biashara ya samaki

    Nimepewa wazo la biashara ya Samaki wabichi. Unachukua samaki wabichi aina kadhaa kutoka kwa wavuvi Bagamoyo kwa vipimo vya ndoo unaepeleka moja kwa moja kwenye maduka ya samaki Kariakoo. Jamaa anasema inalipa vizuri ila hana uzoefu. Naomba mwenye uzoefu au anaefanya biashara hii anipe A B C...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Wanasaikolojia

    Huwa natatizwa sana. Unakuta mtu ana kila kitu nyumbani. Kama ni pombe aina zote zipo. Kama ni chakula kila kitu kipo, nyama za kila aina mpaka za porini. Kama ni nguo, ndio usiseme kabisa, maana kuna mashati hayajavaliwa sasa huu mwaka wa pili. Usafiri ndio usiseme kabisa. Gari tatu zote full...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…