Msaada: Anaejua kuchora vibonzo kwenye simu anielekeze

Vigo Mnyama

Member
Jun 7, 2021
28
22
Naombeni msaada kwa yule anaejua kuchora vibonzo kwenye simu anielekeze na Mimi nitumie app gani nichore.
 
Sina idea sana na maswala ya edit ila kama ntakua sahihi kwani kwenye PC mnatumiaga nini.. Adobe Photoshop? Kama ni Adobe Photoshop basi kuna Adobe ya smartphone pia so nafikiri unaweza jaribu..
 
Naombeni msaada kwa yule anaejua kuchora vibonzo kwenye simu anielekeze na Mimi nitumie app gani nichore.
Huwa kikawaida kuna namna mbili.

1. Mwenye kipaji cha kuchora
Huyu kwake simu ni karatasi anatumia tu app na kalamu ama hata kidole, ila kalamu ni nzuri zaidi anachora kama anavyochora kwenye karatasi.
-kama una kifaa cha Samsung clip art studio ni nzuri ni software ya kulipia ila kwa samsung highend ni bure miezi sita
-zipo pia app za kawaida andika tu sketch kwenye store yako zitakuja kibao.

2. Mtu asie na kipaji cha kuchora
Hapa ndio utatumia photoshop ama software zifananiazo, zipo za vector based na pixel based.
-za rahisi kutumia ni kama suite ya microsoft office hasa hasa powerpoint
-ama unaweza tumia apps ambazo ni ngumu kutumia ila zinaweza kukupa matokeo mazuri, muda mwengine inabidi utumie app zaidi ya moja, mfano ni photoshop touch (inabidi ugoogle apk sababu imeshakua discontinued)
 
Nashukuru sana mkuu 🤝

Similar Discussions

Back
Top Bottom