Msaada kwa waliowahi kujaza fomu ya mapunjo NSSF

Zero Competition

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
278
500
Habari zenu,

Nimesikia kwamba inapotokea mwajiri wako hajamaliza kuweka michango yako yote lakini kutokana na shida zako ukaamua kuchukua kwanza michango iliyopo halafu muajiri wako akimaliza kupeleka michango iliyobaki kuna fomu unatakiwa ujaze inayoutwa "fomu ya mapunjo" ili uweze kulipwa michango iliyobakia.

Sasa swali langu ni kwamba je, mfano mimi nina professional lakini nimelipwa michango yangu iliyokuepo baada ya kukaa muda mrefu bila kupata ajira nyingine halafu mwajiri wangu baada ya muda flani akaenda kumalizia kulipa michango yangu ikiyobakia.

Nikishijaza hiyo fomu ya mapunjo NSSF wataniweka hela yangu yote iliyobakia kwa mkupuo au ndo yale mambo ya kulipana asilimia 33.3?

Naomba msaada kufahamishwa juu ya hili hasa wale wenye uzoefu wa haya masuala.

Asanteni
 

ivunya

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
2,228
2,000
Utapewa asalimia 33.3 ni fao la kukosa ajira.

Ili ulipwe yote una professional lazima upitia hatua ya kwanza ya malipo ya 33.3%

Ukae mwaka ndipo uende ukajaze fomu ulipwe pesa nyingine iliyobaki
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom