msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada kujua tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa client gani.

    Wakuu habarini, naomba kujuzwa tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa contractor gani. Supply and Installation of 220/33 kV, 2 x 10 MVA substation Extension in Mtera. Tender hii ilitangazwa mwaka 2013 kama sijakosea. Natangauliza shukrani.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ni ipi kozi nzuri kati ya hizi?

    Kwa wataalamu wa IT Na ICT, na masoko jinsi yalivyo. Course ipi ni nzuri? 1 . Web designing 2. Vfx and animation 3. Software and programming languages 4. Tally 5. Cyber security 6. Computer hardware and maintainance 7. Computer hardware anda networking 8. 9. 10. Ongeza chaguo jingine ikibidi...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi nina Elimu ya Certificate in Community health

    Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavosema mimi ni kijana mwenye miaka 22 nimesoma hadi ngazi ya certificate in community health Natafuta kazi katika mashirika binafsi (NGO) yanayoshughulikia masuala ya kijamii hata Kwa kujitolea kwa ujumla naweza fanya kazi kama social worker pia...
  4. JamiiForums Tanzania Waungwana msaada

    Jamani simu yangu kila nikiandika FROG zinatokea imoj za VYURA WA KIJANI sijajua shida ni nini.
  5. JamiiForums Tanzania Brand gani nzuri ya vyoo?

    Wadau wenye experience ya brand nzuri ya vyoo, masinki ya jikoni na chooni please naomba msaada kunijuza. Hata Kama unafahamu maduka yanayo uza vifaa ivyo vyenye ubora.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: .Ni wapi naweza pata diagnosis ya anxiety disorder na gharama zake ziko vipi.

    Salaam wataalamu wa afya. Kama kichwa kinavyoelekeza naitaji msaada kuhusiana na anxiety disorder. Kwamba niwapi nawezafanyiwa diagnosis na gharama zake.
  7. JamiiForums Tanzania Msaada hili ni jeshi gani?

    Wakuu habarini!katika pita pita zangu huko Fb picha inayotrend kwa sasa ni huyu mjeshi Hapo hiyo chuma kampa dogo bila hiyana dogo nae kainua chuma. S Sasa swali langu hili ni jeshi gani hapa Bongo lala?je kama ingekuwa na lisasi na dogo akakumbuka Movie zetu za komando kipenzi si hatari hii?au...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu huu ujenzi

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri. Nna kaunjezi kapo kwenye level ya kupaua sasa pesa ya mbao ipo mfuko wa shati ila ya bati itapatikana baada ya kama mwezi na nusu. Mimi nilitaka kuweka hii pesa mpaka ninunue bati ambazo nitaomba ushauri muda ukifika. Ila kwa sasa naomba ushauri maana...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada tiba ya Kisonono

    Natumai mu wazima wa afya, Kwa yeyote anayefahamu tiba ya kisonono anisaidie, nilikwenda hospital nikapewa dozi ya vidonge. Dozi ilikuwa ni metro siku 2,cpro siku 5 na doxn siku 7 lakini haikusaidia kitu. Nimerudi hospital tena nikaandikiwa sindano moja kila wiki kwa wiki tatu pamoja na...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wako tafadhali ili nipate matibabu

    Naliinua na kulitukuza jina lako We Bwana, Baba Muumba wa vyote vyenye uhai na visivyo hai. Habari zangu ndugu zangu, imekuwa karibu miezi miwili nikiwa kimya hapa jukwaani, sababu hasa za ukimya wangu ni maradhi yanayonisumbua na kunitesa kiasi kupelekea kutomudu majukumu yangu ipasavyo. Mwezi...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusiana na Interview

    Habari Jamii Forums; Nili apply internal vacancy sasa nimepata email na kupigiwa simu kuhusiana na interview. Email imeandika EES Discussion Nimejaribu ku google EES ni Employee Effort Score. Mwenyewe uwelewa wa undani zaidi kuhusiana na interview ya namna hii inakuwaje na baadhi ya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Mganga atakayeweza kunisaidia kurudisha mali zangu zilizoporwa

    Wakuu nahitaji msaada Mganga wa kuunganishwa na mganga atakayeweza nisaaidia kurudisha mali zangu zilizoporwa, pamoja na kuwa adhibu wahusika, Malipo ni baada ya kazi (vitu kurudishwa na wahusika kufahamika) Natanguliza Shukrani
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu Kuhusu Miradi Inayojengwa na Msaada wa Fedha za COVID-19

    Nimekuwa nikiona kupitia luninga jinsi viongozi wa Kata, Tarafa, Wilaya, Mikoa na hata Taifa wanavyohangaika na kukamilishwa kwa miradi hii. Walipewa agizo kuwa miradi hii iwe imemalizika katika muda wa miezi mitatu. Mimi binafsi natofautiana na agizo hili. Kwa Mhandisi anayejua maana ya ujenzi...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Anaejua kuchora vibonzo kwenye simu anielekeze

    Naombeni msaada kwa yule anaejua kuchora vibonzo kwenye simu anielekeze na Mimi nitumie app gani nichore.
  15. JamiiForums Tanzania Tunamsifu Bernard Morrison, ila kwa 75% hana Msaada kwa Simba SC na ni Mzigo, lakini kwa 25% ndiyo huwa anatusaidia

    1. Hakabi akipoteza 2. Anajiona Messi tayari 3. Ana Dharau zilizopitiliza za Mpira 4. Mchoyo (Mbinafsi) 5. Anaharibu Mashambulizi ya Tija 6. Amejipa Mamlaka asiyoyaweza 7. Utoto na Upuuzi vimeshamzoea Klabu iache Kumdekeza na Benchi la la Ufundi limwambie Klabu ( Simba SC ) Kwanza na...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wandugu

    Gego linaniota pia pembezon mwa taya kuna vitissue vinaota hapa nilipo mandible tissue zinaniuma sana nitumie dawa gani nitulize haya maumivu,leo nimeshindwa kabs kutafuna vyakula,nikiachama ubaridi ukiingia kinywani napatwa na maumivu makali sana Tangu asubuh nakunywa maziwa na maji tuu.
  17. JamiiForums Tanzania Naomba Msaada anayejua Bookshop ninayoweza kupata kitabu "Urban Geography ",A Global Perspective, 3rd Edition...kimeandikwa na Michael Pacione

    Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimepita Bookshops kadhaa hapa Dsm nimekosa hicho kitabu,kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu nikakipata nitashukuru. Asante kwa msaada wako
  18. JamiiForums Tanzania Msaada kwa waliowahi kujaza fomu ya mapunjo NSSF

    Habari zenu, Nimesikia kwamba inapotokea mwajiri wako hajamaliza kuweka michango yako yote lakini kutokana na shida zako ukaamua kuchukua kwanza michango iliyopo halafu muajiri wako akimaliza kupeleka michango iliyobaki kuna fomu unatakiwa ujaze inayoutwa "fomu ya mapunjo" ili uweze kulipwa...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhama iphone moja kwenda nyingine bila kupoteza data

    Msaada anaejua jinsi ya ku migrate kutoka iphone moja kwenda nyingine bila kupoteza data kutoka old phone kwenda kwenye new phone
  20. JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo unahitajika

    Wajuba poleni na majukumu ya kuendelea kulijenga taifa letu wengi wetu tunapitia changamoto za kukatika umeme,maji na baadhi ya bidhaa kupanda wenye mamlaka huu mzigo tumewatwisha ninyi Nije kwenye mada mjuba mwenzenu Kati ya ndoto zangu kubwa nilizowahi kuwa nazo tangu nakua ni kuja kumiliki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…