msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa kusoma kozi ya bodi ya ununuzi na ugavi(PSPTB)

    Habari za mda wakuu? Napenda kuuliza vigezo vipi vinatakiwa kujiunga na mitiani ya bodi ya ununuzi na ugavi kwa mtu mwenye elimu ya kidato cha nne ? Anaanza na hatua ipi? nawasilisha kwa msaada zaidi
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje?

    Wakuu, naomba kwa anayejua anisaidie. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje? Inapatikana wapi au mazingira au maduka gani kwa hapa Tanzania? asanteni sana.
  3. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kufuta kovu ambalo si la muda mrefu

    Msaada namna ya kufuta kovu ambalo si la muda mrefu.Ndugu yangu kaunguzwa na toyo ilimlalia mguuni.Sasa amebaki na kovu,tunaomba msaada maelekezo ya dawa kwa anayejua tafadhari. Asante.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Mmakonde yeyote aliyopo humu naomba msaada wa kunitafsiria wimbo huu, chilambo Cha vene!

    Ni wimbo unaoitwa 'Chilambo Cha vene' uliopigwa na mwamba Halila Tongolanga "Field Marshal". Aisee wimbo umenishika vibaya huo miaka na miaka lakini si mjuzi wa kutosha wa kimakonde hivyo naomba msaada wako wa tafsiri ewe Mmakonde usiye na majivuno..... Natanguliza shukrani, Nawatakia Christmas...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba msaada. Ni shule gani Dar es salaam ya kata yenye hostel

    Naomba anayejua shule jijini Dar ambayo ni kutwa ila inazo hostel ndani ya eneo la shule iwe hostel ya wasichana. Asante
  6. JamiiForums Tanzania Ajali ya gari la polisi imetokea uwanja wa ndege Dar

    Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Fundi wa mashine za Hay na Silage

    Salaam kwenu Bila shaka Mwenyenzi Mungu anawajalia kila lililo jema Natarajia kuanzisha mradi wangu wa kutengeneza na kuuza MAJANI ya malisho ya mifugo (ngombe, mbuzi, kondoo......). Kwa kuanzia nimenunua baadhi ya vifaa kama vile: tractor, drum mower, round hay baler, hay rake, chaff cutter...
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kisaikolojia nimeathirika

    Kwa kweli nmeathirika sana kisaikolojia. Mwanamke akiwa na tumbo kubwa binafsi nashindwa kabisa kupata hamu ya kufanya naye mapenzi. Hili jambo limeniathiri sana. Kuna dada mmoja nampenda ananipenda mara kadhaa najaribu kufanya naye najikuta natumia nguvu kubwa sana ili nimalize. Inanidi ni...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada Kwa wajuzi wa protocol za usahili katika Tume ya utumishi wa mahakama.

    .
  10. JamiiForums Tanzania Msaada - interview ofisi ya bunge

    "Habari za kila mtu, naomba msaada wenu. Nimeona mwezi wa 5 kuna watu walifanya usaili wa nafasi ya Afisa Usimamizi wa Fedha Daraja la II kwenye Ofisi ya Bunge. Je, mtu anaweza kunipa ufafanuzi au kushiriki uzoefu wake kuhusu mtindo wa usaili, maswali au maandalizi yanayohitajika? Asanteni mapema!"
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani naweza fanya kwa mtaji wa laki 3?

    Wakuu, ni biashara gani mtu anaweza kuanzisha ndani ya miezi 6 hadi mwaka, akiwa na kipato cha Shilingi laki 3 kwa mwezi, ambayo akijitahidi ina uwezekano wa 95% ya kufanikisha au kuboresha maisha yake?
  12. JamiiForums Tanzania KERO Msaada wa NIDA Verification kugoma kwenye kusajili Kampuni au Shirika, licha ya Taarifa kuwa sahihi

    Hello Wakuu. Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii. Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again" Nimeenda office ya NIDA wilayani nimehakiki kila taarifa na kuangalia status za NIDA inaonesha haina shida wala kukosewa...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa kujikwamua kwa kunipa kazi

    Habar ya saizi wana JF wote nakuja kwenu mdau mwenzenu nikiwa nahitaji msaada wenu, mimi nna taaluma ya welding technology napauwa magodawn kanisa mageti glill dor nk. Nimefanikiwa kupata Welding Machine Drill machine Grander machine nahitaji msaada wa kazi mahali popote pale nifanye ili...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu! Nimekuwa mtu wa kimoja chali nifanyeje?

    Wakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa. Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kitabu cha financial accounting by Frank Wood anisaidie

    Kama habari isemavyo hapo juu naomba msaada aliyena kitabu hicho pdf anisaidie.nitashukuru sana kwa msaada
  16. JamiiForums Tanzania Huba zitooo! Nimeangukia toto la kisomaliii, msaada wenuu

    Mzuka wana j. f... Nitangulize pole zangu kwanzaa kwa kadhia za maandamanoo, aisee ata mm mwenzenu tarehe 30 almanusra niende kwa rabana maulana mazeee dah staki kukumbukaa..Nlitokea kitaa huku mazese na shati langu la kijani kama kawaidaa, ghafla vijana wa gen Z wakanikimbiza mno dah... Ikawa...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani yasaini mkataba wa msaada wa afya na Kenya

    Marekani imesaini mkataba wa msaada wa afya wa dola bilioni 2.5 na Kenya, ambao ni mkataba wa kwanza wa aina hiyo wa pande mbili baada ya Rais Donald Trump kulivunja shirika la misaada la Marekani - USAID. Chini ya makubaliano hayo, Marekani itaipa Kenya dola bilioni 1.6 katika kipindi cha...
  18. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali iachane na kukumbatia dini kama silaha ya msaada itaiponza

    Serikali ya Tanzania kukumbatia dini hasa viongozi wa kikristo na kiislam kutaiponza kwani hawa ndiyo chachu ya anguko la HAKI kwa kufanya kinyume na wanayoyahubiri wamekuwa wezi,vibaraaka,mafisadi,wango,matajiri,nk kwa maslahi yao na viongozi mafisadi. Hawana hekima na busara za kutumika...
  19. JamiiForums Tanzania UDSM main campus mliwekea taa za Barabarani kwa Msaada ila sasa zote zimekufa

    1. Wazee wa jalalani walipewa Msaada na LIONS CLUB kufungiwa taa za solar kwenye barabara na mitaa main campus (bure) ukipita usiku hizo taa zimekufa karibu zote kumebaki Giza totoro. Mule ndani kwa sasa kumekua hatari sana. Hivi Uongozi hapo wanaweza nini zaidi ya kununua Magari ya kifahari...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada wa U.T.I sugu

    Shapata tiba shukrani wakuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…