Christian msangi
Member
- Jul 24, 2018
- 67
- 115
Habar ya saizi wana JF wote nakuja kwenu mdau mwenzenu nikiwa nahitaji msaada wenu, mimi nna taaluma ya welding technology napauwa magodawn kanisa mageti glill dor nk.
Nimefanikiwa kupata Welding Machine Drill machine Grander machine nahitaji msaada wa kazi mahali popote pale nifanye ili nipate rent nipo dar
Nimefanikiwa kupata Welding Machine Drill machine Grander machine nahitaji msaada wa kazi mahali popote pale nifanye ili nipate rent nipo dar