msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Facebook account locked

    Wanajamvi naomba msaada: Nahisi kuna mtu alijaribu ku-login kwenye account mara kwa mara kwa kutumia wrong password.....! Matokeo yake facebook waka-lock account yangu. Sasa ili niweze ku-unlock account hii ni lazima nipokee code kupitia simu ambayo niliiweka kwenye account ya facebook, bahati...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kufika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, UDOM

    Wakuu habari, Naomba msaada wa maelekezo ya kufika hapo Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Udom nikitokea stand ya dalala Sabasaba. Asante sana 🙏
  3. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kimawazo nateseka

    Naongea kwa niaba ya aliekujabkuniomba ushauri! Nilikua kwenye mahusiano na kaka mmoja tangu 2014, mwaka 2016 tukaanza kuishi pamoja bila kufunga ndoa lakini ukweni tulitambulishana, wakati huo mimi nilikua nina kazi yeye bado hajapata mishe ya maana, tumekaa hvo hvo mpaka nikajifungua...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kusajili kampuni

    WAKUU mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu. Jamani nipo kwenye mchakato wa kusajiri kampuni shida niliyokutana nayo brela online kila nikiandika jina la kampuni inaniambia nimekosea jina la kampuni sijajua nakosea nini maana jina ni jipya na wala halifanani na jina lingine naombeni msaada wenu...
  5. JamiiForums Tanzania Mishahara ya Ngorongoro Conservation Area huwa ni kiasi gani?

    Habari wakuu. Tafadhali naomba msaada kujua mishahara ya ngorongoro conservation area? Naomba kujua hasa NCAA 3, NCAA 4 na NCAA 5. Na je hili jeshi usu huwa inachukua muda gani kuhitimu. Asanteni sana🙏🏾
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu vyuo vinavyotoa kozi za ICT online

    Ndugu wana jamvi, Naombeni kujua vyuo vinavyotoa kozi za ict ngazi ya certificate au diploma kwa hapa tanzania ,kwa njia ya mtandao. Nb.nina bachelor katika fani nyingine,o level nina C ya hesabu na D ya physics je naweza kuanza na diploma au certificate msaada tafadhali kwa mnajua hili
  7. JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza. Karibu Nieleze kidogo kuhusu subwoofer Je, unataka kununua, basi zingatia haya. Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama ya kukodi boti kwa ajili ya birthday party hapo mjini Darisalama

    Wakuu msaada kuna hela nilikuwa nimetunza kwa ajili ya kununua kiwanja lakini baada ya kufanya tathmini ya kina nikaona nitakuwa nimwfanya kitu Cha kitoto hasa ikizingatiwa hapa duniani tunapita tu, sisi hapa duniani ni wasafiri. Msaada nataka kujua Gharama ya kukodi boti hapo mjini kwa ajili...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada namba ya kutumia mizila Firefox.

    Naomba kujuzwa namna ya kuhifadhi(save) page for offline kwa fire fox(mozila) Kama ilivyo kwa operamin tafadhali.elimu Haina mwisho.
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa

    Wanabodi, Chadema ilijikwaa, ikaanguka, ikaangalia tuu pale ilipoangukia, ikainuka, ikaendelea na safari, bila kuangalia ilipojikwa, sasa imejikwaa tena pale pale, Ila bado haijaanguka, hivyo huu ni ushauri wa bure wa kuisaidia this time around, isianguke!. Mtu unapokuwa umejaaliwa uwezo wa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada Power bank kama hii nitapata wapi?

    Habarini za majukumu nina shida na Power bank Kama hii huwa zina 2600mah ..mwanzoni nilipata ilikuja na simu ya mtu itel zamani sana. Je, kwa Sasa naweza pata? Niko Arusha.
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Any idea ya Written Interview Afisa Ustawi wa Jamii Daraja la II?

    Wataalamu mambo vipi, kuna ndugu yangu aliomba nafasi kama Thread tittle inavyojieleza hapo juu hivi karibuni na tarehe 18 ya Jumamosi anatakiwa akafanye usaili (Written) Nilikuwa naomba kwa mwenye Idea yoyote au vitu vya msingi vya ku- focus key intention hapa ni kufaulu maana nimekuwa nikiona...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye Hotuba ya Bajeti za Wizara ya Fedha na Wizara ya Viwanda 2022/2023 tafadhali

    Jamani wananzengo. Naomba mwenye hizo documents namuomba ikiwezekana atuwekee hapa au anipe hata inbox nitashukuru sana.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ngorongoro tunawapa pointi za bure Kenya za kiplomasia. Tanzania tuna wasomi na viongozi wasio na Msaada kwa Taifa

    Habari JF, Kenya sio Muda wanaingia kwenye Uchaguzi mkuu hivyo sio rahisi kujihusisha kwenye huu mgogoro wa Ngorongoro labda wawe na mfumo imara sana katika Uongozi wa Nchi ambao hautegemei Rais anae kuwepo madarakani. Kinachofanyika Kenya ni kujizolea points za mezani kupitia huu mgogoro huu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Msaada please header files source code sizielewi

    Habari wadau hope mpo poa Niende kwenye mada sisi wengine kuclaim mambo ni mwiko tunataka kujua programming very in deep Sasa km ww ni programmer hope umewah kutumia preprocessors like stdio.H conio.H math.H iostream nk hizo ni preprocessor ambazo zinadefine in built in functions like...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye ajita portal inaishia hapa

  17. R

    JamiiForums Tanzania Msaada TTCL Copper Internet

    Habari za wakati wadau; Kwa ambao wamewahi kutumia huduma za TTC internet kwa upande wa Copper Cable connection naomba mnipe mrejesho juu ya utendaji wake ukoje katika speed na kadhalika installation cost ni sh ngapi means vifaa na ufundi total ni sh ngap nimeenda TTCL wameniambia vifaa...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada guys, Windows 7 inagoma kustart

    WINDOWS 7 Inagoma kustart na siba utaalam Wa computer, msaada guyz.
  19. JamiiForums Tanzania Gari kuzima relini

    Naomba kujuzwa Je, ni nini kinasababisha gari kukwama wakati wa kuvuka reli pindi treni inapokaribia?
  20. JamiiForums Tanzania Wadau, msaada: Natumia PC Dell Vostro yenye sifa zifuatazo, ila inachemka sana

    Wadau, Kwanza niweke wazi, mimi si mtaalamu sana wa PC. PC yangu ni DELL VOSTRO yenye specifications hizi kwenye picha. Ila sasa, inachemka sana. Shida inaweza kuwa nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…