mr.chengachenga
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 125
- 70
Habari kwenu nyote,
Bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, naanza kwa utambulisho mfupi ili niweze kusaidika kama ninavyotarajia maana JF kuna wataalam wa kila namna
Mimi ni mwalimu, nimekua kwenye hii kazi kwa muda wa miaka minne sasa, nimekua nikifundisha katika shule mojawapo hapa Dsm(private school).
Sasa nina mipango ya kuhama kutoka kufundisha shule za private za kawaida kwenda shule za kimataifa(international schools), mpaka sasa kitu ninachokijua ni kuwa wanatumia mtaala tofauti na sisi...sina taarifa za kutosha kuhusu hizi shule.
Mambo ninayohitaji kuyafahamu kuhusu hizi shule ni pamoja na
-Sifa za walimub wanaohitajika humo kwenye mifumo yao(nitafurai kama nitaweza pata mtu anayefundisha huko au aliyewai ili ajibu hili swali).
-Aina za madarasa zilivyo (grades) pia ushauri ni wapi naweza anzia.
Elimu niliyonayo ni Diploma in primary teaching education..
Hii niliipata baada ya kufanya Grade IIIA.
Na kama sina vigezo naomba ushauri wa namna bora ya kupata vigezo hivyo(like which steps to be followed).
Nilisikia hua wanatoa nafasi za kujitolea katika hizi shule(sina hakika) lakin kama wanatoa je ni inakua kujitolea kwa 100% au ni kuna namna mtu anaweza kupata japo pesa kidogo kwa ajili ya kujikimu katika kipindi hicho cha kuoata uzoefu?
Sababu za kutaka kuingia katika hizi shule za kimataifa ni pamoja na
-Maslai ya kiuchumi,(kwa sasa bado ni muajiriwa ila salar yangu haijavuka 700k jambo linalonifanya nione kazi mbaya japo nashukuru Mungu maisha yanaenda salama.
-Kutanua uelewa binafsi wa yanayoendelea duniani.
-Kukuza network/kujuana na watu zaid(watu wa faida)
NB: Tusaidiane kama unaufahamu wa haya mambo,,,wa tz tusiishie kulalamika wagen wanatuzidi,tupeane connection hizo.Mungu awabariki