msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada ya kutengeneza jina la biashara

    Habari zenu, Naomba msaada wa kutengeneza jina la biashara ambalo litakuwa rahisi kutamkwa na fupi. Biashara ninayotaka nianzishe inahusu vinywaji vya aina zote. Jina nilifikiria hili: Isaba General Drinks. Kabla ya julisajili naombeni mawazo ya kuliboresha ila mwanzo kazima jina Isaba...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari Nahitaji kitabu cha lejendari Mr II Jongwe, Sugu au Taita

    Mwenye navyo au mwenye nacho ani dm, tafadhari .
  3. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupunguza wivu

    Ama kweli malovee hayana mwenyewe. Yaani na uhenga wangu nimekamatika na katoto ka mwaka 2000. Muda wote tu nakahisi kama kanachepuka. Japo sijakakamata na ishu yoyote ya kutia shaka lakini nashangaa tu moyo unanienda mbio muda wote nkikafikilia. Wadau ninyi huwa mnafanyaje kupunguza wivu? Uzi...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu tatizo la nyufa ukuta wa nyumba

    Wanajf ninaomba ushauri wa haraka wa nini kifanyike kwani kuta za kakibanda kangu kaliopo Katavi mahali ambapo matetemeko makubwa ya ardhi mithili ya mabomu yanapita Mara kwa Mara zimetoa nyufa nyingi!Nyufa zinaanzia chini na kuishia dirishani,zingine zimepitiliza!Nimeambatanisha na
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kubadili tarehe na mwaka wa kuzaliwa NIDA

    Naombeni, msaada hili linawezekana? Mwanangu majina yote ni sawa na picha shida date birth, je itachukua muda gani na gharama kiasi gani?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ganzi nyayoni inasababishwa na nini? Na nini tiba yake?

    Habarini za jioni Wana JF. Humu ni sehemu ambayo nimejifunza mengi. Watu wamepata utatuzi wa yale yanayowasibu. Kama mada inavyosema, nina tatizo la ganzi nyayoni. Hii husababishwa na nini? Nini tiba yake? Natanguliza shukrani kwa msaada wenu.
  7. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali wa chaguo la ujenzi wa nyumba

    Habari za kwako mpenzi msomaji na mwanachama wa Jamvi la hoja mchanganyiko. Mie ninahitaji kuanza kujenga kibanda changu na mimi, hebu naomba mnisaidie katika ya Nyumba hizi ipi ni nafuu katika gharama za ujenzi. Nyumba A Nyumba B
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Site yangu imefungiwa Facebook

    Naombeni msaada wakuu site yangu imefungiwa facebook nawezaje ku fix tatizo hili ili facebook niwe nashare link kwenye page yangu na kwenye ma group?
  9. JamiiForums Tanzania Msaada Redio ya gari

    Habari za Muda huu Kwa wataalamu naombeni msaada Redio ya gari Ina frequency 76-90. Nitaweka kubadili frequency zisome 88-107 au njia mbadala nipate frequency za kibongo.
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufuta account yangu ya FB, nimesahau Password na nime-log out muda tu

    Ndugu zangu habarini za asubuhi. Jamani nahitaji msaada jinsi ya kufuta account yangu ya FB, lakini nimesahau Pasword na nime-log out muda tu. Nimejitahidi sana kuomba Pasword Lkn imekuwa changamoto, Ule msimbo hautumwi. Nimeomba kila siku ndani ya siku 25 lkn imeshindikana. Hata sijui ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maoni kuhusu ununuzi wa kiwanja

    Wakuu habari zenu. Kuna kiwanja Kiko sehemu nzuri sana kimetangazwa kuuzwa. Mwenye kiwanja alishafariki, alikuwa anaishi na mwanamke lakini walitengana kabla marehemu hajafa, na baada ya kufariki familia ilimpa baadhi ya maeneo mke walietangana Ili aweze kumudu kuwahudumia watoto alioacha...
  12. JamiiForums Tanzania Wale wa Geography msaada wenu hapa tafadhali

  13. A

    JamiiForums Tanzania Msaada ::Rafiki yangu akiwa Home anapiga show mbovu ila akiwa Away anapiga show kali sana

    Habari ! Ni rafiki yangu na Ni classmate wangu amenishirikisha hili Jambo la kupiga show mbovu home ila akitoka akienda sehemu yoyote anapiga show kali sana!, Mimi kwa upande wangu nimeshindwa kumpa jibu la kueleweka maana sijui , hivyo humu ndani kuna watu wanaelewa Sana hivyo ningeomba kupata...
  14. JamiiForums Tanzania MSAADA: Tatizo ni meno kuwa na rangi nyeusi (Meno 🦷)

    HABARINI ZA WEEKEND WANA JF, Natumai mu buheri wa afya. Kwa Ufupi Mimi ni kijana wa kiume miaka 22. Ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo apa Tanzania. Nimeandika huu uzi kuomba msaada ni dawa gani nzuri ya meno au tiba ambayo itatumika kungarisha meno. Apa tatizo ni meno kuwa na rangi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kazi yangu

    Habari kwenu nyote, Bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, naanza kwa utambulisho mfupi ili niweze kusaidika kama ninavyotarajia maana JF kuna wataalam wa kila namna Mimi ni mwalimu, nimekua kwenye hii kazi kwa muda wa miaka minne sasa, nimekua nikifundisha katika...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba msaada nijue namna ya kudai haki yangu kwenye hili

    Wakuu naomba nisaidiwe. Nimetoka Mwanza Leo August 5 na basi la Kampuni ya Kapriconi lenye namba za usajili T 320 ADC tukiwa tunaelekea Mbeya. Tumefika saa 3 na nusu usiku , ghafla gari ikaamua kuishia iringa na Sisi abiria kuambiwa tupande coaster na ikaondoka fasts. Kwenye Kosta mlangoni...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada katika ku apply chuo must

    Nimesha Lipa ila naona kwenye application hakuna kinacho endelea
  18. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu DHL, UPS NA Fedex

    Ipi huduma bora na nafuu kati ya hizo? Je, DHL huwa wanachaji gharama unapopokea mzigo? Mzigo wangu NI bahasha tu ya documents. Ninaipokea kutoka Afrika Kusini.
  19. JamiiForums Tanzania Msaada nataka kumbadilishia mazoea

    Ma legends, Nimepata changamoto ya kusafiri na huyu wife material! Changamoto ninayopitia ni kuwa kila tukianza safari ya utalii wa ndani, huwa tunaanza kwa pamoja, kanda ya kaskazini. Tunapotoka kanda ya kaskazini mimi huwa niweke pozi kanda ya ziwa. Hapo nitakaa muda kadhaa nikirukaruka...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu mgawanyo wa fedha za malipo ya marehemu

    Habari humu ndani naomba kupata mwongozo kidogo Baba yangu alikuwa na mji hapa dar na amefariki sasa mji wake umetwaliwa na TRC kwa ajili ya ujenzi wa SGR sasa malipo yake ndio naitaji kujua mgawanyiko wake unakuwaje tuko watoto sita na mama , kuna jambo moja nataka kuongeza hapo sisi watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…