msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Application Ajira portal

    Habari ndugu zangu, Samahani kwa kuwasumbua naombeni msaada wa kuhusu application za ajira katika mfumo wa ajira portal nilikuwa nauliza kama kuna tangazo la kazi linahitaji applicants wawe na diploma. Je, mtu mwenye degree akijaribu kuapply nafasi hiyo hiyo inayohitaji diploma holders itakubali?
  2. JamiiForums Tanzania Msaada wa tatizo la Kiafya

    Habar za mida ndugu zangu. Mimi nahitaji msaada wenu kuna tatizo linanisumbua. 1. Katikati ya kifua na tumbo panavuta Sana kwa ndani mpaka nahisi kama nimeweka mzigo mkubwa maana nahisi uzito. 2. Nahisi Ganzi kichwani, Mbavuni, tumboni na hii inapelekea mbavu na kifua kuhisi kama nimebanwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Wakuu msaada wa kuondoa tatizo la maandishi kuwa makubwa upande wa sms nashidwa jinsi ya kuyapunguza, nimeenda kule kwenye settings ipo small sawa sawa , ila shida ni kwenye upande wa sms tu
  4. JamiiForums Tanzania Kama umekutana na shida ya kusaidia au kusaidiwa pita hapa

    Suala la kumsaidia mtu au watu katika maisha ni jambo la kawaida kwa wanadamu, yaani ni kawaida kwa wanadamu kusaidiana. Kuna baadhi ya watu tendo la kumsaidia mtu au kitu kwao ni kama tendo la ulazima, kwani hata ujizuie vipi lakini msukumo unaotoka moyoni ni mkubwa. Msukumo huo unaweza...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada Kutoka kwa wakazi wa Kifanya kuhusu kilimo cha Ndizi

    Mimi ni ngeni ktk kata ya Kifanya, nilibahatika kupata mashamba ya miti na baadae kuongeza ya parachichi. Eneo nililoongeza lipo kijiji cha mikongo njia ya kuelekea songea. Altitude yake ni m800 mpaka m1200. Je eneo hilo ndizi zitafanya vizuri? nimeona mashamba ya ndizi za moro zile fupi...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wahusika NIDA msaada tafadhali

    Hellow, naombeni msaada wenu. Nina shida kwenye namba yangu ya NIDA. MAJINA yangu yalikosewa kwenye NIDA Jina la katikati likakaa mwisho na la mwisho likakaa katikati yakatofautiana na ya kwenye vyeti vyangu vya taaluma Nikafuatilia ofis za NIDA wilaya , nikaelekezwa cha kufanya nkafuata hatua...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Kisaikolojia nahisi mimi kumtongoza mwanamke ni kama najishusha, na najidhalilisha.

    Sijui hii hali kama kuna wengine Ishawahi wakuta, Umri wangu Niko kwenye late 20's miaka ya nyuma nilikua tongoza tongoza, aisee lakini sasa sijui nimekuaje, kama mwaka uliopita nimetongoza mdada mmoja tu, the whole year. Mimi sio domo zege, sina stress kubwa/msongo wa mawazo, sina aibu ya...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mke anatafutwa

    Kuna Mwanamke anatafutwa, tunaomba utusaidie kutuonesha alipojificha. Kama mnavyojua, safari ya kumtafuta mwenza wa maisha ina njia nyingi, na hakuna njia maalumu ndio maana nchi zilizoendelea wana mpaka dating sites zinazowaunganisha wenza. Kijana wetu anatafuta mwenza ama mke kwa njia...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu PES 2017 kwenye kompyuta

    Habari wakuu wa tech. Nina game la mpira PES 2017 kwenye kompyuta yangu nikiwa na patch ya 2023. Juzi nimepiga Windows mpya game ikagoma kuplay ikihitaji baadhi ya files, hivyo anikaamua kubadilisha HDD yenye windows na kuweka nyingine ambayo huwa natumia kwenye laptop. Sawa game lina play ila...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Gharama ya LATRA kupata kadi ya taksi za mtandaoni

    Habari wanazengo, Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata kadi ya Latra kwa ajili ya kufungua akaunt za Uber na bolt gharama yake ni sh ngapi kufanikiwa
  11. JamiiForums Tanzania Familia ya aliyefia Uwanjani waomba msaada kusafirisha mwili

    Familia ya marehemu William Ernest aliyefariki jana katika Uwanja wa Taifa alipokwenda kushuhudia mechi ya fainali ya kwanza ya Yanga dhidi ya USM Alger wanaomba msaada wa Serikali na Yanga ili kusafirisha mwili jijini Dodoma. Akizungumza na Mwananchi mtoto wa marehemu Dora William, amesema kwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kiufundi upwork PRFILE

    Tafadhali naomba mwenye kujua kuweka profile picture ktk angle nzuri. Nime-upload profile picture upwork ila imekaa horizontally badala ya vertical sijajua kwa nini. Hakuna rotation angle option only edit. Nimejaribu mara mbili zote zinapanda hivyo hivyo. Je ndivyo ilivyodizainiwa?
  13. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada. Nadhani nina tatizo, hii si hali ya kawaida

    Ni miaka mingi sana kuna jambo nikiona mwanamke anafanya nachanganyikiwa kabisa. Na huwa napenda sana linanisisimua sana mwili. Napenda sana kumwona mwanamke anakojoa. Yaani kama ni mpenzi wangu nitataka achuchumae akoje nimwone huku nashika shika mkojo wake. Halafu nimnawishe. Au kama...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Toyota Raum steering wheel ina vibrate

    Majuzi nilipata Pancha kwenye barabara ya lami yenye mashimo tairi ikachanika. Tairi ilikuwa tubeless. Kwa kuwa Nilikuwa kwenye mji mdogo sikupata tairi tubeless hivyo nikaweka yenye tube. Baada ya hapo usukani hautulii. Kabla ya hapo kwenye barabara iliyonyooka ningeweza kuachia usukani na...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

    Salamu kwenu jukwaa! Kama maada inavyosema, sijaleta kichekesho ila nimeleta shida mbele yenu wana-jukwaa. Tanzania ni nchi kubwa sana na ninaamini kuna watu waliwahi kukumbana na shida ya kuondokewa na ndugu yao katika mazingira yaliyoacha shaka kubwa kama ambavyo imetutokea sisi na...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

    Habari zenu Wana JF, Naomba msaada kufahamu madhara ya kuacha kuripoti wito wa kujiunga na JKT kwa wale waliomaliza A level. Je, cheti cha kumaliza mafunzo ya JKT huwa kinahitajika kwa ambaye anataka kufanya maombi vyuo vikuu vya Serikali kama UDSM, Tanzania Institute of Accountancy na IFM...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hii bili ya maji

    Habari zenu. Ni hivi nyumba ninayoishi ilikatiwa maji sababu mwenye nyumba hakwenda kulipa ingawa sisi tulimtumia bili yake kama kawaida. Sasa maji yalivokatwa niliangalia deni kupitia application ya kwenye simu yangu, lilikuwa ni 40185.2 wakasema lilipwe kabla ya May 21. Basi sisi tukaachana...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hii bili ya maji

    Habari zenu. Ni hivi nyumba ninayoishi ilikatiwa maji sababu mwenye nyumba hakwenda kulipa ingawa sisi tulimtumia bili yake kama kawaida. Sasa maji yalivokatwa niliangalia deni kupitia application ya kwenye simu yangu, lilikuwa ni 40185.2 wakasema lilipwe kabla ya May 21. Basi sisi tukaachana...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna Komandoo wa shida: Kuwa Mshauri na kuomba msaada unapokwama

    Watu wengi huamini kwamba mtu anayebeba matatizo ya wengine yeye hana ya kwake. Hali hii humfanya mhusika akipata tatizo ashindwe kusema. Fikiria mtu aliyekushauri uache bangi, siku akikuambia ameangukia kwenye kuvuta utamwelewa? Tunapenda kusema mtu akiwa na depression aseme. Lakini akisema...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Nimejisababishia makengeza

    Sikuile naangalia UEFA akaja jamaa na kibaraghashia… Sasa pale kwenye kibandaumiza kulikuwa na TV mbili zote zinaonesha mechi moja ila zinatofautiana quality na rangi. Moja ilikuwa imepauka nyasi zinaonekana kama za njano na nyingine ilikuwa kama imekoza sana yani nyasi zinaonekana Dark green...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…