mrefu

Mrefu Farm is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je kuna tukio lilishawahi kukupa depression

    Habar wana JF natumaini wote wazima poleni pia na majukumu yanayo wakeep busy . Nilisha wahi kupewa nisimamie mradi wa misitu ya serikali mwaka fulani, lakin kwa bahati mbaya zilidaka moto kwenye heka 150, zilipona heka 40 ambazo ndo zilikua kwenye matazamio ya uzalishaji , na ndo ilikua kama...
  2. JamiiForums Tanzania JamiiForums tegemeeni tamko kutoka kwa Makonda muda sio mrefu.

    Ni suala la muda tu , makonda anakuja kutoa tamko kuhusu jamiiforums. Tutegemee zaidi uhuru wa habari ukiminywa chini ya uongozi wake.
  3. JamiiForums Tanzania Tukielekea mwisho wa mwaka umetembea kwa miguu umbali mrefu kiasi gani ?

    Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kila mmoja wetu ana kumbukumbu inayomfanya acheke au kutikisa kichwa. Kwangu mimi, tukio lisilosahaulika ni safari ya miguu iliyoanza kwa mkasa na kuishia kwa ushindi. Baada ya kupoteza simu yangu na kukwama bila njia mbadala ya usafiri, nilijikuta...
  4. JamiiForums Tanzania Sheria ikoje rais akipata mental health problem na madaktari wakathibitisha itachukua muda mrefu kurudi kawaida au asirudi kabisa.

    Je rais wa nchi akipata tatizo la afya ya akili sheria inasemaje kuhusu yeye kuendelea kuongoza nchi? Kikawaida mtu mwenye tatizo la afya ya akili (sio lazima awe chizi kabisa ) ni ngumu kugundua kama ana hiyo shida, ila walio karibu yake wakishirikiana na madaktari ndio wanaweza kugundua hilo...
  5. JamiiForums Tanzania Mfalme ‘akiuawa’ huwa inachukua muda mrefu sana Taifa kupona

    Mwaka 235 A.D kule Roma aliuwawa Kaisari aitwaye Severus Alexander. Aliuwawa kwa hila za majasusi wake waitwao The Praetorian Guard ambao walikuwa ndiyo kikosi cha ulinzi na ujasusi cha watawala wa Roma. Mtu ulikuwa huwezi kutawala Roma bila kutumia hichi kikosi. Makaisari wa Roma walikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ipo siku Watanzania watampuuza Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi yao yote baada ya kutaabika kwa muda mrefu

    Siku yaja hivi karibuni Watanzania watawapuuza walioungana na makundi ya Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi mengine yote ya kihuni baada ya kutaabika kwa muda mrefu Taabu hizo zitatokana na adhabu kali za Serikali kwa makundi hayo ya kihuni kwasababu ya makosa ya uvunjifu wa Katiba na...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vilio vitaanza vya watawala muda sio mrefu kuanzia kesho

    Watawala watalia Kwa uchungu sana kuanzia kesho na kuendelea mnamuona kama chizi au anamkwara ila kuanzia kesho watawala mtaumia sana jiandaeni zamu yenu ya maumivu imefika endeleeni kumuona chizi
  8. JamiiForums Tanzania Ulipo wapo, Serikali ipo na mkono mrefu - Ukitaka siri fanya pekee yako (Kwenye Bar, Makanisani, Misikitini, Kokote wapo) Mange mkwanja tu anatoa siri

    Ukishaitambua Serikali ni nini hakika hutaweza kuanza kuleta mawazo mgando. Kona zote za nchi Serikali inafanya kazi, Sasa hivi serikali inaundwa kila kitu kitakuwa mahali pake. Vijana wa Gen Z watashangaa kuona babu zao wanawasaliti. Wataingizwa kwenye mkenge. Wazee wamekaa kwenye migawahawa...
  9. JamiiForums Tanzania Angalizo: Saa ya ukombozi ni sasa or else ukombozi wa nchi yetu utaendelea kuwa ndoto kwa kipindi kirefu sana kijacho

    Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa. Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya na kuusuka vizuri zaidi mtandao wao. Needless to say, our future attempts won’t make a significant...
  10. JamiiForums Tanzania Maamuzi yanapaswa yafanyike haraka, kuvuta muda hasara itakuwa kubwa na itatuchukua muda mrefu ku-recover.

    Kwa sasa hakuna kinachoendelea nchini, viwanja vya ndege vimefungwa, bandari imefungwa, mtaani watu biashara zimesimama, huduma za ki bank nazo zimesitishwa (kwa sasa huwezi kufanya muamala wowote iwe kwa simu au bank). Kufika kesho maamuzi yanatakiwa yawe yamefanyika na nchi irudi kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Joel Nanauka anaenda kuibomoa heshima na hadhi aliyoijenga kwa muda mrefu

    Asipojitafakari atageuka kuwa kama akina Msukuma, Kibajaji na wasomi wengine wa CCM.
  12. JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi hili mkalitazame limekua kero kwa muda mrefu sana

    Habari wakuu wote nawasalimu Kumekua na changamoto kwenye swala upatikanaji wa hati miliki kutoka wizarani, Kwa utaratibu uliopo ni hivi Mtu anapotaka kumilikishwa ardhi inabidi awe na 1) Mkataba wa mauziano + Mkataba wa asili Hii mfano kama umenunua kiwanja kutoka kwa kampuni ama mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zamani tuliamini Albino hawazikwi wanapoteaga kumbe wanatekwa, ni nani aliendesha huo mtandao kwa usiri mkubwa kwa muda mrefu ?

    Hapo zamani kwa miaka mingi tuliaminishwa kwamba Albino hafi anapotea. Kumbe nyuma ya pazia wanatekwa wakihusoshwa zaidi na imani za kishirikina wakiwa kama sehemu za kafara. Ni kwa muda mrefu sana haya yaliendelea, ni nani au kina nani walikuwa waendeshaji wa huu mtandao ?
  15. JamiiForums Tanzania Kuna mtu kitamlamba muda sio mrefu

    Uzi tayari Picha inajieleza
  16. JamiiForums Tanzania Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

    Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Wanao mkosoa Putin kwa kuchelewesha kumaliza operesheni yake ya kijeshi huko Ukraine wanategemea hisia zaidi ya hoja

    Leo nimekaa na kutafakari ingekuaje kama NATO na EU wasingekuq nyuma ya Ukraine katika vita vyake na Russia. Ingekua sasa Putin ameshajenga ikulu pale Kyiv na sasa anakunywa mvinyo wake pendwa Spanish red wine. Uo ni ukweli na ushahidi upo pale Georgia mwaka 2008 alipovamia kuwakomboa watu wa...
  18. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Ronaldo amvisha pete GF wake wa muda mrefu Georgina. Je, amejifunza yaliyomkuta Birdman kwa Toni Braxton?

    Mimi sio nabii ila kama Ronaldo hajamsainisha babe mama wake Georgina mkataba wa prenup kulinda assets zake kabla ya kufunga ndoa na mrembo huyo. Yatamkuta yale ya Birdman kwa mshangazi Toni Braxton au ya mastaa wengine wa kiume. Birdman alijaa kwenye mfumo. Baada ya kuwa kwenye mahusiano na...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Mbolea za YARA zimekuwa changamoto kupatikana kwa RUZUKU muda mrefu sasa hasa ukanda wa pwani.

    Ni zaidi ya miaka 2 sasa mbolea za YARA ukiulizia kwa wauzaji hawataki kuuza kwa Ruzuku, wanadai hawalipwi kwa wakati na wananunua “cash” na wao wakiuza kwa ruzuku pesa yao inachelewa sana kulipwa. Ukiwapigia YARA sio rahisi kuwapata hata simu zao ni changamoto kupokelewa na wakipokea kwa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni Asset ya Rostam Aziz ya Muda Mrefu Kimsingi Kawauza Wenzie wa ACT

    Bwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard Chartered Hongkon yenye uhusiano na Rostam. JPM hakumpenda zitto maana alimjua ipasavyo vile vile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…