Nimeanza kusex tena baada ya muda mrefu kujizuia

BLACK_

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2020
Posts
1,751
Reaction score
3,903
jambo wadau wote wa Jf
-Awali ya yote niwape pole na mapambano ya kimaisha na kiujumla nawapa pole kwa maumivu ambayo tunaletewa na serikali hii ya kishenzi ya samua suluhu.

note:sio mwandishi mzuri

Nirudi kwenye maada ni kwamba mimi ni kijana wa makamo around 26s hivi,nimepitia vipindi tofaut katika maisha ila kubwa kuliko ni hili la kujizuia kufanya mapenzi kwa muda wa miaka 2
hizi ndizo hali nilizo zi experience kwa muda huo....

1.nilikuwa mwenye hofu

2.mwenye stress ambae najaribu kutafuta maana ya maisha na nika kosa

3.nilikuwa najihisi mwenye nguvu sana,sio spiritual au physical.(najihisi)

4.sauti nzito yenye ukali ndani yake

5.kushindwa kupata usingizi mnono

6.kuota ndoto nyevu kila nikila vyakula kama karanga,korosho,chocolate,ndizi mbivu na mkuyati.au kila mwisho wa mwezi

7.kujiamini

8.kupoteza kumbukumbu

9.kuchukia kuzaliwa na kujiuliza sana kuhusu maana ya maisha(nilikula sana vi filosofi vya hapa na pale sana)

10.uume wangu ulikuwa una kama kutu kwenye kichwa ambayo huwezi sugua kwa oshea,(kutu is real things wazee)

11.kusimamisha uume kila muda asa nikiwa karibu na mwanamke

baada ya kuanza kufanya mapenzi tena,

nimekuwa mwenye furaha,sitafuti tena maana ya maisha bali nayapa maana kwa kufanya yale nayopenda everything seem normal to me ni vile nilikuwa najidanganya mwenyewe,nafurahia kuishi nafanya mapenzi na cum kila nikihitaji

don't stress over the things you can't control

Ishi maisha yako

ni ayo tu....

1787414086673.jpg
 
Wakati Katiba ya Tanzania inabakwa left n right.
Wewe unatuambia

everything seem normal to me
 
Back
Top Bottom