mradi

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mabomba kwa ajili ya Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kutoka Bomba Kuu kwenda Igunga

    📍 Igunga, Tabora IGUNGA: TUTAFIKA MWAKA 2025 TUKIWA TUMEMTUA MAMA NDOO KICHWANI Mabomba kwa ajili ya Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kutoka Bomba Kuu kwenda Vijiji na Vitongoji vya Kata za Mwamashiga, Mbutu, Isakamaliwa, Kining'inila, Mwamakona, Igurubi na Kinungu. Mradi wenye...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Dk. Samia tunaomba mradi wa Bwawa la Nyerere uitwe Magufuli HEPP

    Kwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa mwezi wa 12 mwaka linafanya Kwa Sasa ndo Bwawa lenye maji mengi zaidi ya mtera , na Nyumba ya Mungu...
  3. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa kigeni mradi wa Barabara ya itoni Lusitu hawakusajiliwa.

    Wafanyakazi wa kigeni kutosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi katika ujenzi wa barabara ya Itoni – Lusitu kipande cha 1 cha mradi wa barabara: Kwa kiwango cha zege Nilibaini kuwa wafanyakazi tisa waliokuwa wanafanya kazi ya Mradi wa ujenzi wa Barabara ya Itoni - Lusitu kipande cha 1...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Sakata la hereni za ng'ombe bungeni, Msukuma amtaja mbunge wa Kibaha kufaidika na mradi huo

    Wakati wa kuwasilishwa na kujadiliwa kwa hoja ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, moja kati ya mambo yaliyochangiwa na wabunge wengi hasa wanaotoka maeneo ya wafugaji ni suala la HERENI ZA KIELEKTRONIKI KWA MIFUGO HASA NG'OMBE Katika hotuba iliyowasilishwa ilielezwa kuwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Utata Mradi wa Mwendokasi (Dart- Phase 4) unaohusisha kuchukuliwa eneo la Kunduchi- Mecco Mtongani

    Wananchi wa Kunduchi Mbuyuni wanatakiwa kuondoka kupisha mradi wa Serikali wa mwendokasi (DART -PHASE 4). Mradi huu umezua sitofahamu kati ya wananchi na waliteuliwa ku simamia mradi husika. Mradi ulitakiwa kuanza 2020 na eneo husika lilishatengwa (kiambatanisho namba 1). Tatizo linakuja ni...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Musukuma: Hereni kwa ng'ombe zina faida gani?

    Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Kasheku Musukuma amehoji Bungeni faida ya kuweka hereni kwenye ng’ombe na amemtaka Waziri wa Mifugo na Uvuvi kujinasua kwenye mtego huo. Musukuma amesema hayo wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyoomba kiasi cha...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi akomaa na mradi wa maji uliokwama wa Kifura, sasa kuanza kutoa huduma Agosti 31

    DKT. SAMIZI AKOMAA NA MRADI WA MAJI ULIOKWAMA WA KIFURA, SASA KUANZA KUTOA HUDUMA AGOSTI 31. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi anaendelea kusimama kidete kuwasemea wananchi wake pamoja na kutatua kero zao ili kusukuma maendeleo yao ambapo sasa amekomaa...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Magesa akemea upotoshaji mradi wa maji Chamkolongo

    MHANDISI MAGESA AKEMEA UPOTOSHAJI MRADI WA MAJI CHANKOLONGO Mbunge wa Jimbo la Busanda, Mhandisi Tumaini Magesa amewatoa hofu wananchi wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Katoro juu ya mradi wao wa maji wa Chamkolongo unaondelea kutelekelezwa kwani umefikia hatua za mwisho kumalizika na kupuuza maneno...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mradi wa HEET (Higher Education for Economic Transformation) ukiacha UDSM vyuo vingine zimamoto. Kwako Waziri wa Elimu Prof. Mkenda

    Salaam wanajukwaa, Hii nchi imejaa usanii mtupu vyuo vikuu vinacheza na serikali na donors hasa wadau wa maendeleo. Mpwayungu aliwavagaa walimu leo imeenda huko vyuo vikuu wanatengeza mitaala kwa kukaa maofisini, wanabuni masomo kwa hisia zao kihuni tu, hawafuati hatua stahiki, malecturers...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Chato wajiapiza 2025/2030 watamchagua Katwale. Kalemani hajaleta mradi wowote tangu Dkt. Magufuli afariki dunia

    Wana Chato wamejiapiza kwamba uchaguzi wa ubunge unaokuja, wanakwenda na Katwale. Wanachato wanasema kwamba Katwale alikuwa chaguo lao lakini JPM alimpandikiza Kalemani. Gumzo kubwa wilayani Chato ni kwamba miradi yote wanayoiona Chato ni kazi ya JPM. Mbunge wao Kalemani hajafanikisha mradi...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Ujenzi wa mradi wa barabara ya Ntendo-Muze-Kilyamatundu (Km 179) kwa kiwango cha lami

    Serikali ya Tanzania kupitia TANROADS inajenga mradi wa barabara ya Ntendo- Muze-Kilyamatundu (Km 179) mkoani Rukwa kwa kiwango cha lami. Akizungumza mara ya baada ya kutembelea mradi huo, unaojengwa na kampuni ya China Geo – Engineering Corporation Ltd (CGC) leo Aprili 30-2023 Waziri Ujenzi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kusimamia mradi wa ufugaji

    Habari wakuu, Nina plan ya kuanzisha mradi wa kufuga nguruwe, mbuzi na kuku wa kienyeji, Niko dodoma, nahitaji kijana mwamininfu mwenye taaluma ya mifugo at least certificate level, awe mvumilivu (not too demanding) mwamininfu ambaye atakuwa anaishi hapo hapo, gharama za chakula na matibabu ya...
  13. MSONGA The Consultant

    JamiiForums Tanzania Unataka Pendekezo lako la Mradi lifanikiwe? Zingatia yafuatayo

    Pendekezo la Mradi yaani "Grant/Business Proposal" ni andiko linaloonyesha hitaji (need), fursa (opportunity), au tatizo (problem) lenye kuhitaji kuchuliwa hatua. Mmiliki wa tatizo, fursa au hitaji anaweza kuwa Taasisi, Kampuni, Jamii au hata mtu mmoja mmoja. Kupitia Pendekezo la Mradi...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania UVCCM Waliojiunga na mafunzo ya mradi wa jenga kesho iliyo bora (BBT) tukutane hapa

    Karibuni!!!
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi (JP Magufuli) Sengerema wafikia 72%, viongozi watembelea kukagua mradi

    Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Rogatus Mativila Viongozi mbalimbali wametembelea mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi ambalo pia linajulikana kama Daraja la JP Magufuli, leo Jumapili Aprili 23, 2023. Daraja hilo linapatikana Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, bado lipo kwenye hatua...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utiaji saini wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Sengerema - Nyehunge km 53.4 na Kivuko cha Buyagu-Mbalika. Aprili 23, 2023

    Utiaji saini wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Sengerema - Nyehunge km 53.4 kwa kiwango cha lami, Aprili 23, 2023. Godfrey Kasekenya, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Anasema: “Utashi na maoni ya Rais Dkt. Samia ni kuwa ili Tanzania iendelee moja ya kitu muhimu ni kujenga na kuboresha...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mradi unaojengwa Mpaka wa Tanzania na Burundi utakuwa na kituo kimoja ‘One border stop Project’

    Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kabingo-Kibondo-Kasulu-Manyovu wenye urefu wa Kilometa 260.6 unaoanzia Mpakani mwa Tanzania na Burundi upo katika hatua mbalimbali za ujenzi. Akielezea maendeleo ya mradi huo akianzia na eneo la Mpakani, Mhandisi Ngoko Mirumbe ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS...
  18. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania EWURA, Utaratibu wa kujenga Vituo vya Gesi asilia kwaajili ya Magari upoje?

    Mwanzoni nlijua ni TPDC peke yake kumbe shida na EWURA ni Shida. Wanakwamisha vibali vya kufunga vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye magari. Kwa sasa Tanzania nzima vituo vilikuwa viwili tu vya kujazia gesi yaani Ubungo na Tazara sasa kituo cha Tazara kikapata hitilafu wakaambiwa warekebishe...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mradi wa BBT Usipofanya Vizuri Tutawalaumu Wizara ya Kilimo

    KOMREDI KAWAIDA - MRADI WA B.B.T USIPOFANYA VIZURI TUTAWALAUMU WIZARA YA KILIMO Kilombero. Wakati Wizara ya Kilimo ikitekeleza mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM), Mohammed Kawaida amesema chochote kitakachokwama lawama ataitupia wizara hiyo. Kauli...
  20. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Uvinza–Malagarasi (Kilometa 51) umetoa ajira 216

    Mradi wa Uvinza–Malagarasi (Kilometa 51) ambao gharama zake ni Tsh. Bilioni 62.7, ni sehemu ya barabara kutoka Kigoma, Uvinza, Malagarasi na Tabora ambapo kwa jumla urefu wake ni Kilometa 214. Akizungumzia mradi huo, Mhandisi Ngoko Mirumbe ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS Kigoma amesema...
Back
Top Bottom