mpya

  1. B

    Katiba Mpya ni watu, Marafiki wala Maadui hawawezi kuwa wa Kudumu

    Ni dhahiri kuwa NCCR, CUF, Chadema na wengine pia wapo wanahitaji katiba mpya sasa. Katiba mpya itakuwa mustakabala wetu ulio bora zaidi kama nchi. Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kuupinga mchakato wake. Tunaotaka mustakabala mpya tupo chini ya meza. Wasiotaka mustakabala mpya wako juu...
  2. B

    Katiba Mpya haitaletwa na walio Madarakani

    Hakuna asiyejua umuhimu wa katiba mpya katika zama zozote. Katiba mpya ni mustakabala ulio bora zaidi katika nchi katika wakati husika. Nani anaweza kupinga uwapo wake? Mustakabala huo hauwezi kuletwa na watawala madarakani katika wakati wowote. Kuwaomba, kuwalilia au kujaribu kuwalaumu kwa...
  3. EWURA: Hifadhi ya Petrol ya iliyopo Tanzania ni ya siku 27, jiandaeni kwa bei mpya Jumanne Aprili 5, 2022

    Watanzania wametakiwa kukubaliana na hali halisi kuhusu bei mpya ya nishati ya mafuta ikiwemo Petrol, Diesel, Mafuta ya Taa na Ndege ambayo itatangazwa Jumanne ijayo Aprili 5, 2022 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Mhandisi Godfrey Chibulunje amesema kupanda...
  4. Kukosekana kwa Katiba Mpya alaumiwe Hayati Magufuli

    Hayati John Pombe Magufuli, aliukuta mchakato wa katiba mpya umefika mahali pazuri pa kupigiwa kura. Hayati Magufuli akazipuuza harakati za miaka nenda rudi za waTanzania zilizolenga kuipata katiba mpya. Magufuli kwa kiburi na jeuri akasema kutengeneza katiba nzuri itakayowapa mwangaza mpya wa...
  5. W

    Teknolojia mpya ya ujenzi wa barabara.

    Bw. Joseph Katallah amekutana na uongozi wa Wakala wa Barabara Nchini (Tanroads) na kujadiliana nao kuhusu matumizi ya teknolojia mpya ya ujenzi wa barabara. Bw. Katallah anashirikiana na Kampuni ya Geopolymer Solutions LLC ya Marekani inayomilikiwa na Bw. Rodney Zubrod ambayo imebuni...
  6. B

    Ya CCM Dodoma hayatuhusu yetu ni Katiba Mpya

    Yatuhusu vipi ya hawa na barakoa zao? Au ya huyu na wahuni wake? Muhimu tutambue: 1. Wananchi walio wengi wanataka katiba mpya isipokuwa wenye maslahi binafsi na iliyopo. 2. Katiba Mpya haitapatikana kwa miito ya mitandaoni au maneno pekee. 3. Katiba Mpya haitapatikana bila ya watu (sisi)...
  7. Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mguu sawa. Mkeka wa Mama Umechanika analeta mpya

    Salaam Wakuu, Baada ya rais Samia kukaa mwaka mmoja na siku kadhaa madarakani, macho yake yamemuwezesha kuwaona Wakuu wa Wilaya na Mikoa Wachapakazi na wale Wauza Sura. Japo Mkeka wa Wakurugenzi haupo wazi, ila nao panga linawapitia. Makatibu Tawala kidogo Wanajitahidi. Wanamfurahisha Mama...
  8. Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

    DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP) Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa...
  9. M

    Kwa Jinsi CCM inavyopindua meza yake yenyewe, Bado tu Wana-CCM hamuoni umuhimu wa Katiba Mpya?

    Ni mwaka mmoja umepita sasa tangu Mwenyekiti wa CCM atwaliwe na Bwana! Ni kawaida Kwa Nchi yoyote Rais akifia madarakani hutokea mtikisiko! Hapa kwetu pia kulitokea na Bado kunaenfelea kutikisika! Hata hivyo huu wa kwetu ni wa kipekee! Kuna msemo unaitwa kupindua meza ! Labda pengine...
  10. B

    Mapinduzi baridi ndani ya chama kongwe, iliyokuwa CCM Mpya ya mwendazake yafukiwa rasmi

    Mapinduzi baridi ndani ya chama kongwe, iliyokuwa CCM Mpya ya mwendazake yafukiwa rasmi Hakika sasa chama kikongwe chama dola kimefanya mabadiliko na kurudisha safu, makada na itikadi iliyokuwa imefukiwa na mwenyekiti mwendazake (revered) hayati (late) John Pombe Joseph Magufuli...
  11. B

    Kupinga Katiba Mpya sasa ni kujipalia Makaa bure

    Mijini wanasema kusoma hujui, hata kuangalia picha nako? Nini kilichojificha kwani? Watu wanataka katiba mpya. TWAWEZA 2017 hawa hapa: TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya Msimamo wa CUF, NCCR na CHADEMA unajulikana. Katiba mpya ni sasa. Kwa msimamo huu: Ndani ya...
  12. CHADEMA kuhodhi vuguvugu la kudai Katiba kana kwamba mahitaji ni yao pekee yanadhoofisha upatikanaji wa Katiba Mpya

    Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu. Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote. Kwanini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe, waalimu, wakulima na wavuvi...
  13. TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa iliyopatikana kutokana na Utafiti uliofanywa na Taasisi inayoaminika nchi Tanzania inayoitwa TWAWEZA , katika utafiti wao ulioitwa UNFINISHED BUSINESS . Bila shaka sasa kuna haja ya kufuata matakwa ya wengi.
  14. B

    Moto wa Katiba mpya Unapagawisha

    Moto wa katiba mpya unawahusu moja kwa moja watawala na watawaliwa. Unahusu haki na usawa wa watu. Moto huu unahusu utawala bora na mamlaka kwa wananchi. Moto huu ndiyo ulio pelekea Mh. Mbowe kukaa korokoroni kwa miezi 8. Mbowe ametoka na kazi inapoendelea kupagawa kupo pale pale. Kwamba...
  15. Prof. Lipumba: Rais Samia Kadanganywa na Kikosi kazi cha Demokrasia, hatukukubaliana vile

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ameoneshwa kusikitishwa na baadhi ya masuala yaliyowasilishwa na Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Nchini kinachoongozwa na Mwenyekiti Prof. Rwekaza Mukandala kwa kueleza kuwa...
  16. K

    Naomba kujuzwa bei ya PC aina ya Lenovo au Dell

    Wakuu habari, Ninaomba kujua Bei ya dukani kwa pc ya lenovo au dell. Pia naomba kujua utofauti wa utendaji kazi wa aina hizi mbili za pc mfano kutunza betri na ubora kwa ujumla. Kimsingi nahitaji kuelewa vitu vya msingi vya kuzingatia na kukagua wakati wa kununua pc hizi. Natanguliza...
  17. B

    Kuelekea Katiba Mpya, ukweli anaougopa CCM kuliko ukoma

    Inafahamika kuwa katiba mpya ndiyo ulio mwisho wa CCM kuwa madarakani. Kwenye katiba mpya CCM ni wepesi kama KANU Kenya au UNIP Zambia. Hawatakaa waikubali hali hiyo. Ni hivyo hivyo kwa ZANU PF Zimbabwe, RPF Rwanda au NRM Uganda. Bila usawa na haki hawana madaraka. Kwa sababu hiyo safari ya...
  18. B

    ACT Wazalendo kama CHADEMA na wengine pia wanataka Katiba Mpya

    Amesikika Abdul Nondo katika kipindi cha Medani za Siasa Star TV kwa niaba ya ACT, kwamba hata wao wanataka mno katiba mpya. Pamoja na tofauti zilizopo yumkini Chadema au NCCR au CUF na ACT wanaweza kufikia hatima inayoweza kutuletea sote raha. Ikumbukwe umoja ni nguvu. Bila kusahau adui yetu...
  19. B

    Hayupo mwenye kuridhia Katiba Mpya kwenye Mitano yake ya Mwanzo

    Ikumbukwe katiba iliyopo iliasisiwa kwa lengo la kuufanya utawala wa CCM kuendelea kudumu. Kidumu Chama cha Mapinduzi. Rais gani wa CCM ataafiki uwezekano wa mabadiliko ya katiba ndani ya awamu yake ya kwanza katika 2 anazopewa? Asijipende vipi mtu huyo? Inawezekana ni kwa mantiki hiyo...
  20. K

    Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025?

    Kikosi kazi ilitoa taarifa kwa Mhe. Rais kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi na mchakato wa Katiba mpya. Swali langu ni kama ifuatavyo:- Je Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025? Je, mchakato wa Katiba mpya utaanza lini?.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…